Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

nyie mmemkomalia mwenzenu je mpo salama?hamvai matambala badala ya pedi? kama mnataka kuwa natural msioge kwasababu kupaka maji mwilini sio asili bakia kama ulivyo.mimi ndiye boy wake napenda ajikwalue
 
Yaani amejiharibu hivi wanawake kwa nini hawajiamini na rangi zao
 
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.

Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.

======



Uso umechokaaaaa
 
Back
Top Bottom