Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Angefanya plastic surgery ya hyo nose basi

Usikosoe kazi ya muumba.kila mtu kaumbwa kwa sababu zake!we umepewa hiki umekosa kile,yule anacho kile we umekikosa!!kama unaona pua yake ndo mbaya kulko mbona kaolewa na wapo wenye pua nzuri hawajaolewa mpaka wamefikisha 40 years!! Sio vizuri nikiwe!!
 
nyie mmemkomalia mwenzenu je mpo salama?hamvai matambala badala ya pedi? kama mnataka kuwa natural msioge kwasababu kupaka maji mwilini sio asili bakia kama ulivyo.mimi ndiye boy wake napenda ajikwalue
 
Yaani amejiharibu hivi wanawake kwa nini hawajiamini na rangi zao
 

Uso umechokaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…