Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood.
Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia Centcom na IDF.
MORE TO COME🍿
Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia Centcom na IDF.
MORE TO COME🍿