Atajuaje wakati his excitements ziko wazi?Sasa kwani wewe hujui kuwa Saudia, Marekani na Israel ni washirika damdam wa toka kitambo toka nitoke?. Au wewe kinachokusumbua ni kuwa Saudia ni waislamu?
Unawashwa na kipi zaidi? Kwamba saudia hapaswi kuungana na Israel kisa ni makafir kwa hio apokee mabomu kutoka kwa mwislamu mwenzake yemen?Sasa kwani wewe hujui kuwa Saudia, Marekani na Israel ni washirika damdam wa toka kitambo toka nitoke?. Au wewe kinachokusumbua ni kuwa Saudia ni waislamu?
Nijue nini zaidi kwamba saudia once alifadhili vikundi vya kigaidi?Atajuaje wakati his excitements ziko wazi?
Biased
Mpeni chakula atulie
Saudia kama Taifa huru anaweza kushirikiana na Taifa lolote analotaka, nashangaa unaona hilo ni big deal hadi kulianzishia mada.Unawashwa na kipi zaidi? Kwamba saudia hapaswi kuungana na Israel kisa ni makafir kwa hio apokee mabomu kutoka kwa mwislamu mwenzake yemen?
Allah kakimbia kawaachia msalaBaada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood.
Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia Centcom na IDF.
MORE TO COME🍿
View attachment 3671612
View attachment 3671614
Hakuna aliyefadhili ugaidi duniani zaidi ya 🇺🇸Nijue nini zaidi kwamba saudia once alifadhili vikundi vya kigaidi?
Nihitaji chakula kipi zaidi ya kuona islamists wakigombana wao kwa wao, si ndio asili yenu😁😁
Ungekuwa wewe ungebaki?Allah kakimbia kawaachia msala