N nuporo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,534 Reaction score 3,387 Oct 9, 2023 #1 Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa tukio lilotokea siku ya jumamosi netanyau kaapa Gaza itakuwa sio sehemu ya mnyama yeyote kuishi Haiwezekani Mvamie watu na kuanza kuwaua na kuanza kujipiga selfie.
Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe. Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao. Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani.. Lakini kwa tukio lilotokea siku ya jumamosi netanyau kaapa Gaza itakuwa sio sehemu ya mnyama yeyote kuishi Haiwezekani Mvamie watu na kuanza kuwaua na kuanza kujipiga selfie.
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,730 Reaction score 9,088 Oct 9, 2023 #2 Uislam uliasisiwa na Wakatoloki.
N nuporo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,534 Reaction score 3,387 Oct 9, 2023 Thread starter #3 Nazjaz said: Uislam uliasisiwa na Wakatoloki. Click to expand... Hiyo ni kweli
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2018 Posts 5,085 Reaction score 9,022 Oct 9, 2023 #4 Gaza itakuwa sio sehemu ya mnyama yoyote kuishi..hahaha hizo ni ndoto za mchana,
N Nkanini JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 7,157 Reaction score 17,390 Oct 9, 2023 #5 By December HAMAS hawatakua watawala wa Gaza, operation hii aliyewashauri kuifanya wataijutia,ni amani ya kukutana kwenye Meza ndio yenye ukweli, Hamas wamefanya uamuzi wa kipumbavu mno
By December HAMAS hawatakua watawala wa Gaza, operation hii aliyewashauri kuifanya wataijutia,ni amani ya kukutana kwenye Meza ndio yenye ukweli, Hamas wamefanya uamuzi wa kipumbavu mno
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 9, 2023 #6 Ila tukubali tu na hayo Mayahudi nayo ni mabaguzi, makatili na mauaji. Hivyo wacha na yenyewe yapate funzo.
Ila tukubali tu na hayo Mayahudi nayo ni mabaguzi, makatili na mauaji. Hivyo wacha na yenyewe yapate funzo.