Saudi Arabia imechinja watu 100 mwaka huu, magaidi na wauza unga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika wenzangu ambao huwa mna hasira na dini hata kuzidi muarabu mwenyewe hadi mnachinja Waarfika wenzenu.

Sitakaa nisahau tukio la magaidi wa kiislamu kuteka mabasi Kenya na kuanza kuchinja kila asiye muislamu, walikua wanahoji yeyote ambaye hakua anaweza kukariri shahada au maswali ya msingi ya kiislamu, ilikua anakatwa kichwa moja kwa moja, itachukua muda sana kubadili taswira yangu kwa huo uzombi wenu
Hii hapa mlichokifanya kwa Wakenya Bus passengers massacred
=============================

Saudi Arabia executed two people convicted of terrorism related charges, the interior ministry said Saturday, bringing the total number of executions carried out this year to at least 100, according to an AFP tally.

The ministry's announcement posted on social media said the two Saudi nationals had been executed for their involvement in "terrorism", including joining a terrorist organisation and attending training camps abroad, where they learned to produce explosives.

"After they were referred to the competent court, a ruling was issued confirming the charges against them and ordering their execution as a punishment," read the statement.
According to an AFP tally, of the 100 people executed this year, 59 were individuals convicted of drug-related crimes, 43 of whom were foreign nationals.

Hakuna jambo hata moja hapo uliloandika linalohusu imani na misingi ya dini ya kiislam ulichojaa ni chuki zako binafsi na uislam utakufa utaucha...mwenyezimungu mola wetu mlezi ni mjuzi mwny subira utakukuruka weeh utazama tuu kwny udongo
Hitimisho langu ni hili kwako na vibaraka wenzio mnaoeneza propaganda na kuuchafua uislam...ambao wamejaa kila pembe ya mlimojaa jamii kubwa ya uislam kufanya mambo yasiyohusu misingi yake
Mfano hapo Saudia wanasheria za dini na sheria za nchi sasa kukamatwa na madawa na ukachinjwa ni wazi hiyo ni sheria ya nchi si ya dini...na wanachofanya boko haram na vikundi vingine vilivyojaa mashariki ya mbali na Africa jibu lake ni hili..kila jambo litafichuka kwa wkt wake kwa uwezo wake Allah subhanallah wataghllah..haiwezekani boko haram wasumbue miaka nenda rudi wasikamatwe...eti' wakaenda mpk Mossad kuchunguza vimeshindikana kumbe kipo nyuma ya pazia kinachoendelea...Juzi tena havina hata vya kueleza hapa miungu wenu watu wamesema Traore akamatwe..
Mfalme Leopard wa ubelgiji tumshukuru sana waafrika kipindi hicho akatoa pendekezo jamani tuwasaidie hawa waafrika japo elimu ya kusoma na kuandika na maarifa tuu ndo mana'ke mpk leo mwafrika huwezi kuzalisha japo Pin tu na sindano mpk uagize china au India
 
Attachments

  • Screenshot_20250503-184938_Chrome.jpg
    Screenshot_20250503-184938_Chrome.jpg
    733.1 KB · Views: 36
Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika wenzangu ambao huwa mna hasira na dini hata kuzidi muarabu mwenyewe hadi mnachinja Waarfika wenzenu.

Sitakaa nisahau tukio la magaidi wa kiislamu kuteka mabasi Kenya na kuanza kuchinja kila asiye muislamu, walikua wanahoji yeyote ambaye hakua anaweza kukariri shahada au maswali ya msingi ya kiislamu, ilikua anakatwa kichwa moja kwa moja, itachukua muda sana kubadili taswira yangu kwa huo uzombi wenu
Hii hapa mlichokifanya kwa Wakenya Bus passengers massacred
=============================

Saudi Arabia executed two people convicted of terrorism related charges, the interior ministry said Saturday, bringing the total number of executions carried out this year to at least 100, according to an AFP tally.

The ministry's announcement posted on social media said the two Saudi nationals had been executed for their involvement in "terrorism", including joining a terrorist organisation and attending training camps abroad, where they learned to produce explosives.

"After they were referred to the competent court, a ruling was issued confirming the charges against them and ordering their execution as a punishment," read the statement.
According to an AFP tally, of the 100 people executed this year, 59 were individuals convicted of drug-related crimes, 43 of whom were foreign nationals.

Makundi ya Kigaidi waulize Marekani na Israel, wao ndio wanaowapa hela na wao ndio wanaowatibu wakiumia, wanaowapa silaha, mafunzo etc.

Sasa hivi wanaume zako wapo Congo baada ya VITA vya Gaza kupungua makali automatic na Congo kuna Isis sasa hivi

Hao hao walioua Gaza hao hao wataua Ndugu zako Congo, utanyamaza kimya Kibaraka wa Kujitolea.
 
Jihadists wameingia mitini tayari...!!!😛😛😛😛
Kamtafute Scott Perry congress man uone alivyopasua jipu.....mnafadhili vikundi vya wanamgambo wa kiislam ili kuleta vurugu uonekane uislam ni dini ya vurugu...sababu tuu mshajiona wagalatia dini yenu haishi matamko na vituko daily mara Nabii Tito mara huku Zumaridi...ukienda the rest of Africa wachungaji wenu wanaongea na Yesu mara kamuota mara waraka yanii tafrani...sasa mkaona huku mbn utulivu umezidi...
Mlkaleta huo ujanja ujana wa propaganda wa vurugu vurugu uislam ni ugaidi sijui wanatuchukia...nakwambia Uislamu na kitabu chake Quran takatifu haviathiriki na mazingira wala najisi yyt...kingine mwenyezimungu ndani Quran anajinasibu na kuwasifu yani ndani ya uislamu kuna waumini wanao mnyenyekea kwanini awasifu waumini asiusifu uislam?
 
Back
Top Bottom