baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Soma tena comment yako rekebisha haielewekiIlipochina hao 100 Mwislam yupi alinyanyua mdogo kuionya Saudia?
Soma tena comment yako rekebisha haielewekiIlipochina hao 100 Mwislam yupi alinyanyua mdogo kuionya Saudia?
Comoro ina vita gani? Je Uzbekistan kuna vita gani?nchi yoyote ya kiisilamu ikiwa na Amani fasta tu inatoboa kiuchumi
1. Albania si Nchi ya kiisilamu na wala sio nchi masikini sijui umeiweka hapo kwa niniComoro ina vita gani? Je Uzbekistan kuna vita gani?
Albania kuna vita gani?
Mko humu kupotosha watu wasiojua. Binafsi niko huku na Sijaona ujinga unao waaminisha watu, Airport-Search lazima iwe Kali hiyo ni kwa ajiri ya Usalama. Usalama ukilegea lazima tu Magaidi wataitumia nafasi hiyo. Kufanya vitendo hivyo.Endelea kujifanya Tambara la deki, utatumiwa na kila Uchafu. Hao unaowaabudu kina Marekani, Uingereza Etc. Nchi zao mwarabu anaenda kama anaenda mkoani anatoa tu taarifa masaa 24, Visa on arrival. Hasumbuliwi.
Wewe unaesumbuka humu ukifika wanakukagua mpaka Uchi, na wala hawapendi muende Nchi zao,
Sasa kaa chini jiulize mume wako unaemtetea kila siku kwanini anafanya hivyo.
Majority ya Waalbania ni Waislam. Ni nchi masikini sana kulinganisha na wenzake walioko bara mojaAlbania si Nchi ya kiisilamu na wala sio nchi masikini sijui umeiweka hapo kwa nini
Uzbekstan haijawahi kuwa na vita. Nitajie hivyo vita walivyopigana kwa ushahidi hata wa link ya mtandao.2. Uzbekistan ilikua na Vita for long time kama nchi Nyengine za USSR ukanda huo, civil war yao imeisha 2001
Comoro haina vita. Mbona siyo tajiri?Hao comoro wenyewe hawapo stable vita kila siku, even that Gdp per capita yao hakuna Nchi ya Africa Mashariki inagusa
Eh waisilamu Albania ni asilimia 45% ni Dini kubwa ila uisilamu sio pekee majorityMajority ya Waalbania ni Waislam. Ni nchi masikini sana kulinganisha na wenzake walioko bara moja
Vita Vyote vya Tajikistan Civil wars na Afghanistan civil wars Uzbekistan ameshiriki, waasi wa Uzbeki walikua ni Allies wa TalibanUzbekstan haijawahi kuwa na vita. Nitajie hivyo vita walivyopigana kwa ushahidi hata wa link ya mtandao.
For the sake of discussion let's say Comoro sio Nchi Tajiri, unaongelea vipi hizo nchi Nyengine za kiisilamu ambazo majority zinajiweza? Una mfano mzuri hapa Africa nchi za kiisilamu na zisizo za kiisilamu zipoje hali zao?Comoro haina vita. Mbona siyo tajiri?
Unapojibu jikitr kwenye hoja uliyoleta kuwa nchi za Kiislam zisipokuwa na vita zinakuwa tajiri.
Hakuna nchi ya kiislam iliwahi kuwa tajiri kwa level ya nchi za Ulaya kabla ya makafir kuja na ugunduzi wa mafuta na matumizi yake. Haipo. Kama ipo nitajie.
ila mnakaguliwa nyie Watanzania, Kenya etc na sio wao. Wewe kupata visa uhangaike mara sijui green card mara utafute Mwanasheria na upuuzi kibao. Ila mwenzako anatoa tu taarifa kesho nakuja, akifika anaulizwa utakaa miezi mingapi anaendelea na mishe zake.Mko humu kupotosha watu wasiojua. Binafsi niko huku na Sijaona ujinga unao waaminisha watu, Airport-Search lazima iwe Kali hiyo ni kwa ajiri ya Usalama. Usalama ukilegea lazima tu Magaidi wataitumia nafasi hiyo. Kufanya vitendo hivyo.
Kukaguliwa mpaka uchu si tatizo Magaidi wakiutumia udhaifu wenu wakapenya na kufanyiwa Ugaidi
Albania ni masikini labda kama unataka tu ubishi. Na pia Albania haijawahi kuwa sehemu ya Yugoslavia labda kama waliamua kupigana tu wenyewe maana kila palipo Waislam huwa hawakosi sababu ya kupigana.Albania si masikini
Vita vya Takijistan ila wao wakaamua kwenda kushiriki😂😂Vita Vyote vya Tajikistan Civil wars na Afghanistan civil wars Uzbekistan ameshiriki, waasi wa Uzbeki walikua ni Allies wa Taliban
Zipi zilikuwa na maendeleo level tu ya nchi za Ulaya kabla ya ugunduzi wa mafuta? Nitajie.For the sake of discussion let's say Comoro sio Nchi Tajiri, unaongelea vipi hizo nchi Nyengine za kiisilamu ambazo majority zinajiweza?
Egypt, Algeria, Niger, Mali, Sudan, Chadmfano mzuri hapa Africa nchi za kiisilamu na zisizo za kiisilamu zipoje hali zao?
Unajua kwa nini wanapenda kupigana wenyewe kwa wenyewe kama Wasomali?comoro haina Amani mara kwa mara kuna uasi na civil wars wenyewe kwa wenyewe wanapigania.
Toa vigezo kwanini Albania ni masikini na leta pia ushahidi Albania ni dola ya kiisilamu tunabishana ujinga.Albania ni masikini labda kama unataka tu ubishi. Na pia Albania haijawahi kuwa sehemu ya Yugoslavia labda kama waliamua kupigana tu wenyewe maana kila palipo Waislam huwa hawakosi sababu ya kupigana.
Nchi ni Changa imeundwa 1991, nchi ina waasi lazima umalize waasi ili uunde nchi, wamepigana civil war mpaka 2001, since 2001 bila vita uchumi umekua asilimia 600, toka wanapitwa uchumi na Tanzania mwaka 2001 mpaka wametupita mara 2 yetu huoni ni mafanikio hayo?Vita vya Takijistan ila wao wakaamua kwenda kushiriki😂😂
1. Ulaya wame colonise nchi nyingi za kiislamu, mfano huko South East Asia kote walikua wanatawaliwa why nchi inayotawaliwa iwe na uchumi sawa na Ulaya? Baada ya Hizo nchi kupata Uhuru wamejituma sasa hivi wana Uchumi unaofikia Hizo nchi za Ulaya mfano mzuri ni hapo Malyasia, Brunei ambao wamejipata Mapema na sasa Hivi Indonesia ambayo baada ya mapinduzi ya mwisho wa miaka 90 inakua kwa kasi kushinda nchi nyingi ukanda huo.Zipi zilikuwa na maendeleo level tu ya nchi za Ulaya kabla ya ugunduzi wa mafuta? Nitajie.
Nchi zote za sahel zina vita vya wenyewe miaka na miaka zitoe, Egpty, Algeria, Libya ya Ghadafi, Morocco, Zote zipo vizuri zaidi Kiuchumi, na sasa hivi Algeria by Far ndio nchi inayofanya vizuri zaidi kiuchumi na soon inaingia level za Ulaya kwa project zinazofanywa hapo.Egypt, Algeria, Niger, Mali, Sudan, Chad
Vs
South Africa, Botswana, Gabon, Equtoria Guinea, Angola, Cape Verde
Sijui ila my point stand, Nchi Nyingi za kiisilamu zenye amani inatoboa na kutokomeza umasikini.Unajua kwa nini wanapenda kupigana wenyewe kwa wenyewe kama Wasomali?
Wakati nakuja hapo Ben Gurion wote tulipanga mstari kusachiwa walikuwepo wazungu,wa hindi na sisi Wamatumbi alichofanyiwa mazungumzo na sisi hivyo hivyo hakukuwa na ubaguzi wowote ule.ila mnakaguliwa nyie Watanzania, Kenya etc na sio wao. Wewe kupata visa uhangaike mara sijui green card mara utafute Mwanasheria na upuuzi kibao. Ila mwenzako anatoa tu taarifa kesho nakuja, akifika anaulizwa utakaa miezi mingapi anaendelea na mishe zake.
Sasa hapo nani Tambara la deki? Wewe unaekesha Kuwatetea halafu huthaminiwi ama ambaye hana time nao na Anathaminiwa?
unaijua vizuri biblia?
Watu wa naongelea Ulaya na Marekani we unataja hicho ki nchi cha misaada ambacho kinakalia wenzake tu kwa mabavu?Wakati nakuja hapo Ben Gurion wote tulipanga mstari kusachiwa walikuwepo wazungu,wa hindi na sisi Wamatumbi alichofanyiwa mazungumzo na sisi hivyo hivyo hakukuwa na ubaguzi wowote ule.
Labda tu wakigundua wewe ni mwarabu utaratibu utabadirika na hii ni kwa ajili ya usalama maana waarabu hawawaamini hii ni kwa sababu ya ugaidi wao. Lakini mambo mengine yanaenda sawa.
Kwa tatizo la usalama ni bora hata wakusachi mpaka kwenye uchi wako maana wakizembea watu wakatekwa nchi itaingia kwenye shida kubwa sana. Kwa Israel safety is number one. Maana wamepitia magumu mengi kupitia hayo wamejifunza hivyo ni haki yao kubana sana kuhusu ulinzi na haina ubaya maana linahusu usalama wetu.
Kuhusu kupata visa kila nchi wana utaratibu wao huwezi kuuingilia.
Huko ulaya na Marekani nimekuachia wewe mimi niko ndani ya Israel kiboko cha Magaidi.Watu wa naongelea Ulaya na Marekani we unataja hicho ki nchi cha misaada ambacho kinakalia wenzake tu kwa mabavu?
Banu Qurayza wamehukumiwa na sheria za kiyahudi na Swahaba ambaye ni israelite, historia ipo wazi kila mtu anaijua ila hamridhiki kila siku mpaka mtafute sababu za Uongo uongo.
Vipi kwenye Hizo Nchi
-waislamu hawana Furaha Malyasia?
-Waisilamu hawana Furaha Saudia?
-waisilamu hawana Furaha Qatar?
-waisilamu hawana Furaha Brunei?
-Waisilamu hawana Furaha UAE/Dubai?
-Waisilamu hawana Furaha Oman?
-Waisilamu hawana Furaha Bahrain?
-Waisilamu hawana Furaha Kuwait?
-Waisilamu hawana Furaha Indonesia?
-Waisilamu hawana Furaha Kazakhstan?
- vipi walikua na Furaha Iraq nani kawaondolea
-Walikua na maendeleo Makubwa Libya nani kayaondoa?
-walikua na Furaha Palestina Nani kawaondolea?
-Walikua na Furaha Lebanon nani kaiondoa?
Huko Syria, Afghanistan etc nani kawafanya leo wawe wakimbizi?
usipinde swali.wayahudi chini ya joshua waliua sana watu wakisaudiwa na mungu wao.unajitoa ufahamu?Yesu wakati anaondoka alihubiri ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto, miaka 500 baadaye akaja muarabu Mohammad na kuanzisha dini yake na kuanza chinja chinja huku akiuza watoto wa Wayahudi mateka, na mpaka leo hii mnaendelea na huo ugaidi wake
Ndugu, ni muhimu tujadili masuala ya imani kwa heshima na ukweli. Yesu alihubiri upendo, rehema na msamaha — na pia alituagiza ‘wapendeni adui zenu’. Vivyo hivyo, Muhammad (s.a.w.) katika Uislamu anahubiri amani, haki na huruma, na aliwafundisha wafuasi wake kuheshimu wanadamu wote.Yesu wakati anaondoka alihubiri ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto, miaka 500 baadaye akaja muarabu Mohammad na kuanzisha dini yake na kuanza chinja chinja huku akiuza watoto wa Wayahudi mateka, na mpaka leo hii mnaendelea na huo ugaidi wake
Boss Banu Qurayza walikua na mkataba na mtume, wa kavunja mkataba na kumchoma mtume auliwe na maadui zake, badala kukamatwa wakakataa kuhukumiwa na mtume wakataka wahukumiwe na sheria yao ya kiyahudi, mtume akakubali sheria ya kiyahudi ikatoa hukumu tatizo lipo wapi? Sheria ya kiyahudi inamhusu nini mtume hadi lawama umpe yeye? Uongo wenu huu danganyaneni huko huko.Kwa hivyo kuuza watoto wa Wayahudi utumwani ilikua kwenye sheria za Kiyahudi, huyo mtume wenu kama hakua gaidi nini kilimshinda kutunza hao watoto, akaishia kuchinja wazazi na kuuza watoto wakateseke.....huo ni ugaidi mbovu sana na mpaka leo mnaendelea na huo ugaidi mumeshikilia watoto wa Wayahudi mateka.
Mataifa yote hayo ya kiarabu kuna watu wamebadili dini na hawateswi wapo, sheria za kiisilamu zipo wazi kuhusu muda gani kubadili Dini ni kosa na muda gani ipo discouraged.Hayo mataifa yote umetaja ya waislamu ndio yenye ukatili, akijairibu mtu hata mmoja kuwa na akili ahame uislamu anaishia kuteswa hadi balaa, hamna uhuru wa kutumia akili huko.
Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu na wewe ukajua kwamba hilo jambo ni la kipumbavu na bado ukalifanya, huyo mtu atakudharau. By JK. Nyerere 01 May, 1995Hakuna jambo hata moja hapo uliloandika linalohusu imani na misingi ya dini ya kiislam ulichojaa ni chuki zako binafsi na uislam utakufa utaucha...mwenyezimungu mola wetu mlezi ni mjuzi mwny subira utakukuruka weeh utazama tuu kwny udongo
Hitimisho langu ni hili kwako na vibaraka wenzio mnaoeneza propaganda na kuuchafua uislam...ambao wamejaa kila pembe ya mlimojaa jamii kubwa ya uislam kufanya mambo yasiyohusu misingi yake
Mfano hapo Saudia wanasheria za dini na sheria za nchi sasa kukamatwa na madawa na ukachinjwa ni wazi hiyo ni sheria ya nchi si ya dini...na wanachofanya boko haram na vikundi vingine vilivyojaa mashariki ya mbali na Africa jibu lake ni hili..kila jambo litafichuka kwa wkt wake kwa uwezo wake Allah subhanallah wataghllah..haiwezekani boko haram wasumbue miaka nenda rudi wasikamatwe...eti' wakaenda mpk Mossad kuchunguza vimeshindikana kumbe kipo nyuma ya pazia kinachoendelea...Juzi tena havina hata vya kueleza hapa miungu wenu watu wamesema Traore akamatwe..
Mfalme Leopard wa ubelgiji tumshukuru sana waafrika kipindi hicho akatoa pendekezo jamani tuwasaidie hawa waafrika japo elimu ya kusoma na kuandika na maarifa tuu ndo mana'ke mpk leo mwafrika huwezi kuzalisha japo Pin tu na sindano mpk uagize china au India
usipinde swali.wayahudi chini ya joshua waliua sana watu wakisaudiwa na mungu wao.unajitoa ufahamu?