Saudi Arabia imechinja watu 100 mwaka huu, magaidi na wauza unga

Comoro ina vita gani? Je Uzbekistan kuna vita gani?
Albania kuna vita gani?
1. Albania si Nchi ya kiisilamu na wala sio nchi masikini sijui umeiweka hapo kwa nini

2. Uzbekistan ilikua na Vita for long time kama nchi Nyengine za USSR ukanda huo, civil war yao imeisha 2001.

Mwaka 2002 Gdp per capita yao ilikuwa $383

Mwaka 2023 Gpd per capita ni $2400 huo ukuaji ni zaidi ya Asilimia 600 ndani ya miaka 23 tu, trend ikiendelea miaka 20 ijayo wanazipita baadhi ya Nchi za ulaya mashariki.

For comparison Tanzania mwaka 2002 Tulikua na Gdp per capita $400 (Tuliwapita) ila sasa hivi wametupita zaidi ya mara mbili, kasi hio ya ukuaji Uchumi utafananisha na nchi gani zetu hizi?

3. Hao comoro wenyewe hawapo stable vita kila siku, even that Gdp per capita yao hakuna Nchi ya Africa Mashariki inagusa.
 
Mko humu kupotosha watu wasiojua. Binafsi niko huku na Sijaona ujinga unao waaminisha watu, Airport-Search lazima iwe Kali hiyo ni kwa ajiri ya Usalama. Usalama ukilegea lazima tu Magaidi wataitumia nafasi hiyo. Kufanya vitendo hivyo.
Kukaguliwa mpaka uchu si tatizo Magaidi wakiutumia udhaifu wenu wakapenya na kufanyiwa Ugaidi
 
Albania si Nchi ya kiisilamu na wala sio nchi masikini sijui umeiweka hapo kwa nini
Majority ya Waalbania ni Waislam. Ni nchi masikini sana kulinganisha na wenzake walioko bara moja
2. Uzbekistan ilikua na Vita for long time kama nchi Nyengine za USSR ukanda huo, civil war yao imeisha 2001
Uzbekstan haijawahi kuwa na vita. Nitajie hivyo vita walivyopigana kwa ushahidi hata wa link ya mtandao.
Hao comoro wenyewe hawapo stable vita kila siku, even that Gdp per capita yao hakuna Nchi ya Africa Mashariki inagusa
Comoro haina vita. Mbona siyo tajiri?

Unapojibu jikitr kwenye hoja uliyoleta kuwa nchi za Kiislam zisipokuwa na vita zinakuwa tajiri.
Hakuna nchi ya kiislam iliwahi kuwa tajiri kwa level ya nchi za Ulaya kabla ya makafir kuja na ugunduzi wa mafuta na matumizi yake. Haipo. Kama ipo nitajie.
 
Majority ya Waalbania ni Waislam. Ni nchi masikini sana kulinganisha na wenzake walioko bara moja
Eh waisilamu Albania ni asilimia 45% ni Dini kubwa ila uisilamu sio pekee majority

Pia Albania si masikini compare na wenzake wanafanana wote vipato nchi za hapo Serbia, Bosnia, Macedonia, Georgia, Ukraine, Moldova, Kosovo etc

Tatu Albania ilikua na Vita Vingi tu kama Nchi Nyengine za Slavic, Mambo ya Kina Yugoslavia 1991 mpaka 2001, baada ya hapo nao wanafanya vizuri tu sasa hivi.
Uzbekstan haijawahi kuwa na vita. Nitajie hivyo vita walivyopigana kwa ushahidi hata wa link ya mtandao.
Vita Vyote vya Tajikistan Civil wars na Afghanistan civil wars Uzbekistan ameshiriki, waasi wa Uzbeki walikua ni Allies wa Taliban

Source

Nchi yenyewe imekuwa independent 1991 toka kwa Urusi
For the sake of discussion let's say Comoro sio Nchi Tajiri, unaongelea vipi hizo nchi Nyengine za kiisilamu ambazo majority zinajiweza? Una mfano mzuri hapa Africa nchi za kiisilamu na zisizo za kiisilamu zipoje hali zao?

Una mfano mzuri South East Asia napo kupoje?

Una mfano mzuri middle East napo kupoje?

Comoro Gdp per capita ni $1500 while Kidunia ipo chini definetely ukanda wetu ipo juu na comoro haina Amani mara kwa mara kuna uasi na civil wars wenyewe kwa wenyewe wanapigania.
 
ila mnakaguliwa nyie Watanzania, Kenya etc na sio wao. Wewe kupata visa uhangaike mara sijui green card mara utafute Mwanasheria na upuuzi kibao. Ila mwenzako anatoa tu taarifa kesho nakuja, akifika anaulizwa utakaa miezi mingapi anaendelea na mishe zake.

Sasa hapo nani Tambara la deki? Wewe unaekesha Kuwatetea halafu huthaminiwi ama ambaye hana time nao na Anathaminiwa?
 
Albania si masikini
Albania ni masikini labda kama unataka tu ubishi. Na pia Albania haijawahi kuwa sehemu ya Yugoslavia labda kama waliamua kupigana tu wenyewe maana kila palipo Waislam huwa hawakosi sababu ya kupigana.


Vita Vyote vya Tajikistan Civil wars na Afghanistan civil wars Uzbekistan ameshiriki, waasi wa Uzbeki walikua ni Allies wa Taliban
Vita vya Takijistan ila wao wakaamua kwenda kushiriki😂😂

For the sake of discussion let's say Comoro sio Nchi Tajiri, unaongelea vipi hizo nchi Nyengine za kiisilamu ambazo majority zinajiweza?
Zipi zilikuwa na maendeleo level tu ya nchi za Ulaya kabla ya ugunduzi wa mafuta? Nitajie.
mfano mzuri hapa Africa nchi za kiisilamu na zisizo za kiisilamu zipoje hali zao?
Egypt, Algeria, Niger, Mali, Sudan, Chad
Vs
South Africa, Botswana, Gabon, Equtoria Guinea, Angola, Cape Verde
comoro haina Amani mara kwa mara kuna uasi na civil wars wenyewe kwa wenyewe wanapigania.
Unajua kwa nini wanapenda kupigana wenyewe kwa wenyewe kama Wasomali?
 
Albania ni masikini labda kama unataka tu ubishi. Na pia Albania haijawahi kuwa sehemu ya Yugoslavia labda kama waliamua kupigana tu wenyewe maana kila palipo Waislam huwa hawakosi sababu ya kupigana.
Toa vigezo kwanini Albania ni masikini na leta pia ushahidi Albania ni dola ya kiisilamu tunabishana ujinga.
Vita vya Takijistan ila wao wakaamua kwenda kushiriki😂😂
Nchi ni Changa imeundwa 1991, nchi ina waasi lazima umalize waasi ili uunde nchi, wamepigana civil war mpaka 2001, since 2001 bila vita uchumi umekua asilimia 600, toka wanapitwa uchumi na Tanzania mwaka 2001 mpaka wametupita mara 2 yetu huoni ni mafanikio hayo?
Zipi zilikuwa na maendeleo level tu ya nchi za Ulaya kabla ya ugunduzi wa mafuta? Nitajie.
1. Ulaya wame colonise nchi nyingi za kiislamu, mfano huko South East Asia kote walikua wanatawaliwa why nchi inayotawaliwa iwe na uchumi sawa na Ulaya? Baada ya Hizo nchi kupata Uhuru wamejituma sasa hivi wana Uchumi unaofikia Hizo nchi za Ulaya mfano mzuri ni hapo Malyasia, Brunei ambao wamejipata Mapema na sasa Hivi Indonesia ambayo baada ya mapinduzi ya mwisho wa miaka 90 inakua kwa kasi kushinda nchi nyingi ukanda huo.

2. Nchi za Gulf ni Tajiri, hata kabla ya wazungu kuja hapo, Uingereza katawala karibia Dunia nzima ila kafika Nchi za gulf kataka Ushirikiano, atawapatia ulinzi na wao watamsaidia mambo yake, at that time hakuna hata mafuta, sababu waarabu walikua wakitembea sana na meli Duniani kote walimsaidia kupambana na pirates mpaka mafuta yalivyokuja kugunduliwa

Hio Muscat enzi hizo 1980s, una ushahidi mwengine kibao Zanzibar, Bagamoyo, Tanga, Dar etc jinsi gani walivyokua wakijenga miji na utajiri wao.

Same kwa Dubai ambayo at that time ilikua ni jiji la biashara, wahindi na Wairan wakiwa wamejaa kibao.

Egypt, Algeria, Niger, Mali, Sudan, Chad
Vs
South Africa, Botswana, Gabon, Equtoria Guinea, Angola, Cape Verde
Nchi zote za sahel zina vita vya wenyewe miaka na miaka zitoe, Egpty, Algeria, Libya ya Ghadafi, Morocco, Zote zipo vizuri zaidi Kiuchumi, na sasa hivi Algeria by Far ndio nchi inayofanya vizuri zaidi kiuchumi na soon inaingia level za Ulaya kwa project zinazofanywa hapo.

Hata ukija ukanda wetu huu wa wasomali ambao hawana vita kama vile Djibouti walikua maskini wa kutupwa ila sasa hivi hao washa anza kutupita kwa kasi

Na Angola ni mfano mzuri sana wa kuipa point hizo nchi za kiisilamu, Angola ana mafuta kushinda nchi yoyote ya Africa, ukitaja nchi zinazofanya vizuri kiuchumi hawamo, utajiri wote wanamiliki wachache, Mafuta ya Angola ipe nchi yoyote ya North Africa inatoboa fasta tu. Gini coefficient Angola ni 0.6

Same kwa South Africa na Botswana wote Gini coefficient kubwa South ni kubwa kushinda hata Angola 0.63 na Botwasana wana Afadhali ila still inequality kubwa 0.5

Ila vice versa is true nchi kama Algeria Gini coefficient ni 0.27 that's better kushinda hata Europe average, Inapitwa tu na nchi kama Norway, Iceland, Netherlands etc ambazo zina Welfare ya maana.
Unajua kwa nini wanapenda kupigana wenyewe kwa wenyewe kama Wasomali?
Sijui ila my point stand, Nchi Nyingi za kiisilamu zenye amani inatoboa na kutokomeza umasikini.
 
Wakati nakuja hapo Ben Gurion wote tulipanga mstari kusachiwa walikuwepo wazungu,wa hindi na sisi Wamatumbi alichofanyiwa mazungumzo na sisi hivyo hivyo hakukuwa na ubaguzi wowote ule.

Labda tu wakigundua wewe ni mwarabu utaratibu utabadirika na hii ni kwa ajili ya usalama maana waarabu hawawaamini hii ni kwa sababu ya ugaidi wao. Lakini mambo mengine yanaenda sawa.
Kwa tatizo la usalama ni bora hata wakusachi mpaka kwenye uchi wako maana wakizembea watu wakatekwa nchi itaingia kwenye shida kubwa sana. Kwa Israel safety is number one. Maana wamepitia magumu mengi kupitia hayo wamejifunza hivyo ni haki yao kubana sana kuhusu ulinzi na haina ubaya maana linahusu usalama wetu.
Kuhusu kupata visa kila nchi wana utaratibu wao huwezi kuuingilia.
 
unaijua vizuri biblia?

Yesu wakati anaondoka alihubiri ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto, miaka 500 baadaye akaja muarabu Mohammad na kuanzisha dini yake na kuanza chinja chinja huku akiuza watoto wa Wayahudi mateka, na mpaka leo hii mnaendelea na huo ugaidi wake
 
Watu wa naongelea Ulaya na Marekani we unataja hicho ki nchi cha misaada ambacho kinakalia wenzake tu kwa mabavu?
 
Watu wa naongelea Ulaya na Marekani we unataja hicho ki nchi cha misaada ambacho kinakalia wenzake tu kwa mabavu?
Huko ulaya na Marekani nimekuachia wewe mimi niko ndani ya Israel kiboko cha Magaidi.
 

Kwa hivyo kuuza watoto wa Wayahudi utumwani ilikua kwenye sheria za Kiyahudi, huyo mtume wenu kama hakua gaidi nini kilimshinda kutunza hao watoto, akaishia kuchinja wazazi na kuuza watoto wakateseke.....huo ni ugaidi mbovu sana na mpaka leo mnaendelea na huo ugaidi mumeshikilia watoto wa Wayahudi mateka.

Hayo mataifa yote umetaja ya waislamu ndio yenye ukatili, akijairibu mtu hata mmoja kuwa na akili ahame uislamu anaishia kuteswa hadi balaa, hamna uhuru wa kutumia akili huko.
 
Yesu wakati anaondoka alihubiri ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto, miaka 500 baadaye akaja muarabu Mohammad na kuanzisha dini yake na kuanza chinja chinja huku akiuza watoto wa Wayahudi mateka, na mpaka leo hii mnaendelea na huo ugaidi wake
usipinde swali.wayahudi chini ya joshua waliua sana watu wakisaudiwa na mungu wao.unajitoa ufahamu?
 
Yesu wakati anaondoka alihubiri ukipigwa shavu la kulia geuza la kushoto, miaka 500 baadaye akaja muarabu Mohammad na kuanzisha dini yake na kuanza chinja chinja huku akiuza watoto wa Wayahudi mateka, na mpaka leo hii mnaendelea na huo ugaidi wake
Ndugu, ni muhimu tujadili masuala ya imani kwa heshima na ukweli. Yesu alihubiri upendo, rehema na msamaha — na pia alituagiza ‘wapendeni adui zenu’. Vivyo hivyo, Muhammad (s.a.w.) katika Uislamu anahubiri amani, haki na huruma, na aliwafundisha wafuasi wake kuheshimu wanadamu wote.

Historia ni pana na yenye pande nyingi, na si kila tendo baya linalofanywa na watu wa dini fulani linawakilisha mafundisho ya dini hiyo japo dini zote ni "UTAPELI". Vurugu na vita vimetokea katika dini zote kwa nyakati tofauti, mara nyingi kwa sababu ya siasa, siyo imani.

Tukihukumu watu wote kwa misingi ya vitendo vya wachache, tunavuruga haki na tija ya mazungumzo yetu. Tujenge hoja kwa maarifa, si kwa matusi au chuki. Amani iwe juu yako.
 
Boss Banu Qurayza walikua na mkataba na mtume, wa kavunja mkataba na kumchoma mtume auliwe na maadui zake, badala kukamatwa wakakataa kuhukumiwa na mtume wakataka wahukumiwe na sheria yao ya kiyahudi, mtume akakubali sheria ya kiyahudi ikatoa hukumu tatizo lipo wapi? Sheria ya kiyahudi inamhusu nini mtume hadi lawama umpe yeye? Uongo wenu huu danganyaneni huko huko.
Hayo mataifa yote umetaja ya waislamu ndio yenye ukatili, akijairibu mtu hata mmoja kuwa na akili ahame uislamu anaishia kuteswa hadi balaa, hamna uhuru wa kutumia akili huko.
Mataifa yote hayo ya kiarabu kuna watu wamebadili dini na hawateswi wapo, sheria za kiisilamu zipo wazi kuhusu muda gani kubadili Dini ni kosa na muda gani ipo discouraged.

Wewe unaeBudu Wamarekani Cia wenyewe hawaongei unayoongea wewe na report zao kuhusu hizo nchi zipo




Soma ujielimishe.

Nchi kama Oman kuna hadi Masheikh wahindu ambao wana maeneo Wanatawala.
 
Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu na wewe ukajua kwamba hilo jambo ni la kipumbavu na bado ukalifanya, huyo mtu atakudharau. By JK. Nyerere 01 May, 1995
Hivi, tukubaliane hapa, Boko haramu na vikundi vingine vyote vya Kiislamu, vimeanzishwa na kuwa financed na USA ili kuua raia wenzao wa nchi husika na sio kuua labda Wamarekani au watu wa mataifa mengine, vikundi hivyo hivyo vinatumia mwavuli wa dini ya Kiislamu, Waislamu hao hao wanajua kwamba wanatumika na Wamarekani ili kuwaua raia wenzao wa nchini mwao, halafu jumuia ya Kiislamu duniani hutaisikia ikivikemea vikundi hivyo instead inavipongezaga including kwenye hili jukwaa; hivi hadi hapo wa kudharauliwa ni nani? Waislamu au Wamarekani?
 
usipinde swali.wayahudi chini ya joshua waliua sana watu wakisaudiwa na mungu wao.unajitoa ufahamu?

Hatuongei kuhusu Joshua, tunaongea kuhusu palikua na ulazima gani Mohammad kuanzisha dini mpya yenye kuchinja chinja watu baada ya miaka 500 Yesu kuondoka, Yesu aliacha kama amehubiri tupendane, miaka 50 akaja Mohammad na kuanza kuchinja chinja na kuuza watoto mateka huku akigegeda katoto ka miaka 9, huyo mzee alikua mchafu, mnatia kichefu chefu kumuabudu aisei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…