Saudi Arabia imechinja watu 100 mwaka huu, magaidi na wauza unga


Yesu alihubiri upendo na akaonyesha huo upendo, hakuchinja mtu, ila miaka 500 baadaye akaja Mohammad akapindisha kila kilichohubiriwa na Yesu, akawa anahubiri upendo huku akichinja na kuuza watoto utumwani, na mpaka leo mnaendeleza ukatili wake, mumeshikilia watoto wa Wayahudi mateka.
 

Wapi sheria ya Wayahudi ilimpa ruhusa kuuza watoto wa Wayahudi wakawe watumwa, huo ugaidi na ukatili mnaendelea nawo hadi leo, kama kweli alikua ametumwa na Mungu, angekua na huruma kwa hivyo vichanga hata avitunze.
Acha kujizima data, mataifa ya waislamu asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye ruhusa ya kubadili dini, hawaruhusiwi kutumia ubongo wao, wanakaririshwa huo uzombi miaka yote......Ukitaka nikuletee data hapa nitajaza server za watu bure.
 
Wewe leo wa kubishana Na CIA unawakana?

Na ushaambiwa kahukumiwa na Sheria za kiyahudi hio case has nothing to do with uisilamu bado tu unataka uihusishe na mtume? Si sheria ya uisilamu wala si mtume aliefanya hivyo bali ni wayahudi N hawaja anza leo wala jana kuua watoto.

Mtume alitaka kuhukumu na wenyewe wakakataa kuhukumiwa na mtume wakataka sheria yao ya kiyahudi iwahukumu.

Na kupata Proof zaidi hayo makabila ya kiyahudi yaliyomsaliti mtume yalikuwa matatu Banu Qurayza, Banu Qainuqa na Banu Nadir. Banu Qainuqa Waka plot Assassination ya Mtume na Banu Nadir Wakatoa siri kwa Abu Sufyan wote walihukumiwa na mtume na hukumu yao walikuwa exiled hakuna hata mmoja alieuliwa. So kama issue ni Mtume angewaua wote lakini walihukumiwa na mtume damu haikumwagika na walihukumiwa kwa sheria ya kiyahudi hukumu yake ndio Kifo.
 
Naunga mkono kutokomezwa kwa magaidi kwa namna yoyote ile
 
Lakini kumbuka Boko Haram ni walewale wanaojiita waislam kama wewe na wenyewe wanadai wanampigania mungu wao anayeitwa allah ambaye na wewe ndiye unaemwabudu..!!
 
ahaaa.wakifnya waislam ni kosa ila wakifanya wakristo sawa
 
Taja hiyo jumuia ya kiislam iliyopongeza..ni ipi??..
Na uislam unaongozwa na jumuia?
Unajua maana ya kutumika?
 
Umekuja na ngonjera nyngn mtume basi angelikua tajiri mwa mitume ilhali kwny utume wake hakufanya biashara
Hebu tuliza fuvu lako usijivuruge Scott Perry ulikua unajua habari zake...isitoshe humu jf wagalatia mbn hamkosi mada?
 
Baada ya kuona matukio kama haya Taznania, nimeanza kupinga hawa watu kuitwa magaidi. Hawa watu wana madai yao ya kweli lakini watawala hawataki kuwasikiliza wana waita magaidi.
 
Mimi sio mwislamu ila ninachojua waislamu wanaofuata dini yao huwa ni waaminifu na wema sana. Wana ubinadamu. Hata misaada yao utaona mara nyingi ni kuchimba visima vya maji. Hizi dini zote ukizifuatilia lazima ukute kuna kikundi cha watu wanazitumia kwa maslahi yao. Mfano Kanisa Katoliki limetajwa kwenye kashfa nyingi kubwa kuliko hata hivyo vikundi vya Jihad. Cha muhimu tuheshimiane na kukubali kutokukubaliana.
 
Lakini kumbuka Boko Haram ni walewale wanaojiita waislam kama wewe na wenyewe wanadai wanampigania mungu wao anayeitwa allah ambaye na wewe ndiye unaemwabudu..!!
Ndo Scott Perry ufafanuzi ulisema ivoo?
 

Subiri ukutane na waislamu wanaofuata uisllamu vizuri ndio utakoma, unafahamu Mohammad muasisi wa dini ya Uislamu alichinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani wakateseke, sasa ikiwa muasisi alifanya ugaidi kama huo, unategemea nini kwa wafuasi wake.
 
Umekuja na ngonjera nyngn mtume basi angelikua tajiri mwa mitume ilhali kwny utume wake hakufanya biashara
Hebu tuliza fuvu lako usijivuruge Scott Perry ulikua unajua habari zake...isitoshe humu jf wagalatia mbn hamkosi mada?

Sijaongea sehemu kuhusu utajiri wa huyo mtume, nimewatajia ugaidi na ukatili wake kuua Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani wakateseke.
 

Hamna sehemu nimeijadili CIA, mimi naongea kuhusu maandiko yenu hata kabla CIA imebuniwa, mtume Mohammad alichinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani wakateseke, hapo huo ulikua ugaidi na utatili uliokubuhu, na bado hata sijataja ukatili wa kingono aliofanyia katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, halafu unadiriki kuabudu mtu kama huyo.
 
Any religion is a big scam ya ku Control binadamu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…