Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
1000356549.jpg
 
Iran huwa hajui namna nzuri ya kutumia silaha zake?
Mbona ni kama anarusha rusha tu ili mradi

Badala ya kuelekezea Israel au US yeye analipua kokote tu

Basi apigwe tu hakuna namna
 
Yeye Mwenyewe anawaogopa Al Houth amsogelee Iran .bona kichekesho.

Iran bado anatumia old stock kumbuka Hypersonic bado zinasubiri amri tu.
 
Cha msingi iran iombe po tu mambo yaishe, haitaweza kupigana na hao waarabu wenzake wakati tayari wana backup ya USA
 
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
View attachment 3549967
Acha yauane haya majamaa yahafai
 
Yeye Mwenyewe anawaogopa Al Houth amsogelee Iran .bona kichekesho.

Iran bado anatumia old stock kumbuka Hypersonic bado zinasubiri amri tu.
Hili mbwiga kweli,hao kobazi mpaka sasa ni kichapo bila kufuturu wanapokea.
We nyau uko hapo unashangaa tu.
 
Dogo we huwajui bado Mashia hawaogopi kufa Trump hizo habari anajitungia eti Iran wanataka mazungumzo au labda wana wanalijua huwa haliheshimu mazungumzo vipi wazungumze na mtu haheshimu mazungumzo.
 
Yeye Mwenyewe anawaogopa Al Houth amsogelee Iran .bona kichekesho.

Iran bado anatumia old stock kumbuka Hypersonic bado zinasubiri amri tu.
Kama supreme leader Ayatollah kauliwa amri haijatoka, tusubiri wafanyiwe nini ili hizo hypersonic zitumike?
 
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
View attachment 3549967
Huyo anaongea tu hauwezi mziki wa Iran, ikiwa USA anapigwa kama mtoto yeye na Israel yeye atafanya nini.
 
Back
Top Bottom