Acha yauane haya majamaa yahafaiSaudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
View attachment 3549967
Ndugu zetu katika imani😀😀Saudi misri wakuda tu
Hili mbwiga kweli,hao kobazi mpaka sasa ni kichapo bila kufuturu wanapokea.Yeye Mwenyewe anawaogopa Al Houth amsogelee Iran .bona kichekesho.
Iran bado anatumia old stock kumbuka Hypersonic bado zinasubiri amri tu.
Dogo we huwajui bado Mashia hawaogopi kufa Trump hizo habari anajitungia eti Iran wanataka mazungumzo au labda wana wanalijua huwa haliheshimu mazungumzo vipi wazungumze na mtu haheshimu mazungumzo.Hili mbwiga kweli,hao kobazi mpaka sasa ni kichapo bila kufuturu wanapokea.
We nyau uko hapo unashangaa tu.
Kama supreme leader Ayatollah kauliwa amri haijatoka, tusubiri wafanyiwe nini ili hizo hypersonic zitumike?Yeye Mwenyewe anawaogopa Al Houth amsogelee Iran .bona kichekesho.
Iran bado anatumia old stock kumbuka Hypersonic bado zinasubiri amri tu.
Siwameisha zitumia leo we uko wapi Tela Aviv inanuka moshi tuKama supreme leader Ayatollah kauliwa amri haijatoka, tusubiri wafanyiwe nini ili hizo hypersonic zitumike?
Huyo anaongea tu hauwezi mziki wa Iran, ikiwa USA anapigwa kama mtoto yeye na Israel yeye atafanya nini.Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
View attachment 3549967
Hizo Hypersonic feki zimesha sagwasagwa na hazipo tena.Kama supreme leader Ayatollah kauliwa amri haijatoka, tusubiri wafanyiwe nini ili hizo hypersonic zitumike?
Hizo Hypersonic feki zimesha sagwasagwa na hazipo tena.