Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

Inamaana waarabu wakisema eid mwezi ujao wamatumbi itabidi watii sheria😂😂 vya kuetewa havina misimamo.
 
Kada mkuu wa BAKWATA keshafanya yake. Sijui anapata faida gani huyu mzee.
 
Inamaana waarabu wakisema eid mwezi ujao wamatumbi itabidi watii sheria[emoji23][emoji23] vya kuetewa havina misimamo.
Hoja zipo mbili;
1.mwezi wa kitaifa ni mwezi unaoonekana ndani ya tz.
2.mwezi wa kimataifa ni mwezi unaoonekana popote ktk dunia.
Bakwata wanafuata hoja namba 1,
Na wengine wanafuata namba 2 kwa kigezo dunia ni moja na uislam ni dini moja na umma mmoja.
Bakwata
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…