Kuna mchezo fulani wa ki-Russia unaitwa chess, ni wa kutumia akili sana na huwa hauhitaji papara wala haraka ya kumaliza..mnaweza mkacheza hata siku mbili. Muhimu ushindi.Ni America ndiye ananunua wese lote hilo, the bright US do that.
Na anaeumia ni nani hapo!?Hilo changa la macho ,US ananunua kupitia mgongo wa saud maana mafuta ya Russia yamekua bei chee that because of low demand anayefaidika ni US hapo kazi kwenu ,juz biden alikua saud kuhakikisha mambo yanaenda sawa
Mwarabu haaminikiVery likely kuna Mkono wa Marekani kwenye hili Saga..
Kwa jinsi Mataifa Jirani yake walivyo na bifu naye, Saudia lazima awe Loyal sana kwa USA, na hawezi kufanya hii move bila baraka zake..
Na huenda wamemwelekeza kabisa aiponde USA ili ionekane hawako pamoja..
Yaani ushawishi wa US imeshuka sana inabidi arudi kwenye drawing board. Halafu inasemeka Crown Prince hamkubali Biden kabisa
Hebu pata picha wote tunauza bidhaa sawa ila mmoja wetu amekumbwa na mtikisiko wa kiuchumi na anauza zile bidhaa zake kwa bei ya chini kabisa ambayo wewe ukinunua na kuuza unapata margin kubwa sana, hivi utaacha?
Usishangae na US kajibanza hapo anaonekana Msaudi ndio ananunua kumbe nyuma yake wapo wadosi,watu wa mpira wanaita No looking pass macho yanaangalia kulia pass imepigwa kushoto.
[emoji16][emoji16][emoji16] mpaka Biden kanyanyuka na kwenda Kwa salmin usifanye masihara ame minywa pabaya , nakumbuka mwaka 2018 wakati Russia ana host World final niliwaona Putin na salmin wakiwa wamekaa pamoja in private room walikuwa wako in touch sana of course Wana chemistry nzuri ya kibiashara baina ya mataifa Yao Kwa SasaYaani ushawishi wa US imeshuka sana inabidi arudi kwenye drawing board. Halafu inasemeka Crown Prince hamkubali Biden kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa hicho si- nikichaaa sisi kama Russia tunachotaka nikiuza mafuta tu kama ana nunua us kwetu ni ushindi mkubwa sana Kwa sababu alijifanya kuipiga ban biashara yetu mean while kumbe Bado anauhitaji nayo , ndio vizuri kwanza bidhaa ya Russia ndio inazidi kuwa hot cakeHilo changa la macho ,US ananunua kupitia mgongo wa saud maana mafuta ya Russia yamekua bei chee that because of low demand anayefaidika ni US hapo kazi kwenu ,juz biden alikua saud kuhakikisha mambo yanaenda sawa
Huku Russia akiwa hajui !? [emoji16][emoji16][emoji16]Ni America ndiye ananunua wese lote hilo, the bright US do that.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jana nimeona habari kuwa marekani anawaomba Urusi warudishe space ya anga ya pamoja
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mchezo fulani wa ki-Russia unaitwa chess, ni wa kutumia akili sana na huwa hauhitaji papara wala haraka ya kumaliza..mnaweza mkacheza hata siku mbili. Muhimu ushindi.
Ngoja tuone hiyo 'brightness' ya huyo mu-amerika.
Anapambana na mtu mwenye akili nyingi na taasisi imara, sio Ghadaff huyu ujue..!!
Nimeshangaa eti Wana sifu huo ujinga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Na anaeumia ni nani hapo!?
Mkuu ndio maana tunaambiwa ukiona wakubwa wanagombana kaa kimya maana si ajabu biden wanawasilianaga na Putin sis hatujui[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa hicho si- nikichaaa sisi kama Russia tunachotaka nikiuza mafuta tu kama ana nunua us kwetu ni ushindi mkubwa sana Kwa sababu alijifanya kuipiga ban biashara yetu mean while kumbe Bado anauhitaji nayo , ndio vizuri kwanza bidhaa ya Russia ndio inazidi kuwa hot cake
Kwelii awa wakubwa ukijiingiza kichwa kichwa utashangaa unalia na hakuna wakukufuta machoziMkuu ndio maana tunaambiwa ukiona wakubwa wanagombana kaa kimya maana si ajabu biden wanawasilianaga na Putin sis hatujui
Watu mnawaonaga kama USA ndio watu wenye akili kuliko wote duniani,kumbe sio kweli.Hilo changa la macho ,US ananunua kupitia mgongo wa saud maana mafuta ya Russia yamekua bei chee that because of low demand anayefaidika ni US hapo kazi kwenu ,juz biden alikua saud kuhakikisha mambo yanaenda sawa
Watakuambia,Urusi ana vutwa TU ili aingie kwenye 18 za USA huko angani halafu wajam mitambo yote ya Urusi Dunia nzima.Jana nimeona habari kuwa marekani anawaomba Urusi warudishe space ya anga ya pamoja
Umeongea point.Huyu mwana mfalme nichalii flani hivi matata hapendi ujinga wa kupelekeshwa yeye kahamia BRICS, nini maana yake? Ina maana silaha za US ambazo anazo Russia atazipata na kuzifanyia utafiti
Sasa ulaya inatumia mafuta ya urusi kwa bei bwelele, Russia hana namna, bila kuuza mafuta kwa bei sawa na maji ya mwauwasa njaa inawaua.