Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

Kwa nini sisi hatununui haya mafuta ya bure kutoka Urusi hata kupitia mgongo wa India & China
Natamani hii comment imufikie January Makamba. Sijui think tank yetu ikoje! Wakati tunalia lia kuwa mafuta yanepanda na kuongeza mfumuko wa bei, badala yake tulipaswa kutumia fursa hii adhimu kwa kununua mafuta ya Chee Kutoka Russia
 
Sasa ulaya inatumia mafuta ya urusi kwa bei bwelele, Russia hana namna, bila kuuza mafuta kwa bei sawa na maji ya mwauwasa njaa inawaua.
Russia shida yake mafuta yanunuliwe kwa ruble na ndicho brics wanachofanya. Kisha mafuta hayo hayo Saudi Arabia anamuuzia Mmarekani kwa bei juu 😂😂😂 sasa nani ni mwehu hapo?
 
Hebu pata picha wote tunauza bidhaa sawa ila mmoja wetu amekumbwa na mtikisiko wa kiuchumi na anauza zile bidhaa zake kwa bei ya chini kabisa ambayo wewe ukinunua na kuuza unapata margin kubwa sana, hivi utaacha?

Usishangae na US kajibanza hapo anaonekana Msaudi ndio ananunua kumbe nyuma yake wapo wadosi,watu wa mpira wanaita No looking pass macho yanaangalia kulia pass imepigwa kushoto.
Sasa gharama za miundo mbinu mipya kusafirisha hayo mafuta tena toka Saud Arabia hadi USA ni za kitoto kuliko angekuwa anayachukulia RUSSIA 1 kwa 1?

Au pia USA alishapenyeza bomba la 1 kwa 1 kunyonya mafuta toka huko Saud Arabia hadi USA kama ilivyo kwa Qatar?
 
"Sisi kama Russia"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa hicho si- nikichaaa sisi kama Russia tunachotaka nikiuza mafuta tu kama ana nunua us kwetu ni ushindi mkubwa sana Kwa sababu alijifanya kuipiga ban biashara yetu mean while kumbe Bado anauhitaji nayo , ndio vizuri kwanza bidhaa ya Russia ndio inazidi kuwa hot cake
 
Hebu pata picha wote tunauza bidhaa sawa ila mmoja wetu amekumbwa na mtikisiko wa kiuchumi na anauza zile bidhaa zake kwa bei ya chini kabisa ambayo wewe ukinunua na kuuza unapata margin kubwa sana, hivi utaacha?

Usishangae na US kajibanza hapo anaonekana Msaudi ndio ananunua kumbe nyuma yake wapo wadosi,watu wa mpira wanaita No looking pass macho yanaangalia kulia pass imepigwa kushoto.
Mafuta yamepanda sana Kwa hiyo Putin kashusha kidogo tu lakini juu ya bei kabla ya vikwazo,hesabu zinaonesha mauzo yamepungua kidogobila faida imepanda.
 
Kuna mchezo fulani wa ki-Russia unaitwa chess, ni wa kutumia akili sana na huwa hauhitaji papara wala haraka ya kumaliza..mnaweza mkacheza hata siku mbili. Muhimu ushindi.

Ngoja tuone hiyo 'brightness' ya huyo mu-amerika.
Anapambana na mtu mwenye akili nyingi na taasisi imara, sio Ghadaff huyu ujue..!!
Gaddafi bhana alizingua but rip Mzee wetu ,walimvuta karibu mpk akaamini western washakuwa rafiki zake mpk misaada akawa anampa rais wa ufaransa kamdhamini mpk uchaguzi kumbe wanamchola tu walivyomgeuka hakuamini anampigia simu rais wa ufaransa hapokei jamaa alikuwa na intelligence dhaifu sana alitkiwa kuwa karibu na Russians baada kujua western wanamuwinda km mwenzake Iran kakimbilia Russia
 
Hayo mafuta anayonunua Saudi Arabia huwa anapiga yutani na kuwauzia ulaya na marekani
 
Gaddafi bhana alizingua but rip Mzee wetu ,walimvuta karibu mpk akaamini western washakuwa rafiki zake mpk misaada akawa anampa rais wa ufaransa kamdhamini mpk uchaguzi kumbe wanamchola tu walivyomgeuka hakuamini anampigia simu rais wa ufaransa hapokei jamaa alikuwa na intelligence dhaifu sana alitkiwa kuwa karibu na Russians baada kujua western wanamuwinda km mwenzake Iran kakimbilia Russia
Western ni wahuni tu wale hawana utu wala urafiki.
Wako sawa na mbwa mwitu...ukiona anatikisa mkia usidhani anakufurahia ni kwamba anakusogeza akutafune.
 
Sasa gharama za miundo mbinu mipya kusafirisha hayo mafuta tena toka Saud Arabia hadi USA ni za kitoto kuliko angekuwa anayachukulia RUSSIA 1 kwa 1?

Au pia USA alishapenyeza bomba la 1 kwa 1 kunyonya mafuta toka huko Saud Arabia hadi USA kama ilivyo kwa Qatar?
USA ni Mzee wa logistics muhimu bidhaa iwepo hahah!
 
Ni America ndiye ananunua wese lote hilo, the bright US do that.
Kama ni US ndio ananunua unadhani nani anaathirika maana lengo la Russia ni kuuza mafuta regardless anauziwa nani, hao US wao wenyewe ndio walioweka sanctions sasa kama wanazunguka na kununua kupitia Saudia basi US ni wehu.
 
Back
Top Bottom