Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

Mkuu ndio maana tunaambiwa ukiona wakubwa wanagombana kaa kimya maana si ajabu biden wanawasilianaga na Putin sis hatujui
Inawezekana but national interest muhimu kwanza even Wana wasiliana but at end of the day Kila mtu lazima avutie kama kwake
 
Kwa nini sisi hatununui haya mafuta ya bure kutoka Urusi hata kupitia mgongo wa India & China
Natamani hii comment imufikie January Makamba. Sijui think tank yetu ikoje! Wakati tunalia lia kuwa mafuta yanepanda na kuongeza mfumuko wa bei, badala yake tulipaswa kutumia fursa hii adhimu kwa kununua mafuta ya Chee Kutoka Russia
 
Sasa ulaya inatumia mafuta ya urusi kwa bei bwelele, Russia hana namna, bila kuuza mafuta kwa bei sawa na maji ya mwauwasa njaa inawaua.
Russia shida yake mafuta yanunuliwe kwa ruble na ndicho brics wanachofanya. Kisha mafuta hayo hayo Saudi Arabia anamuuzia Mmarekani kwa bei juu 😂😂😂 sasa nani ni mwehu hapo?
 
Sasa gharama za miundo mbinu mipya kusafirisha hayo mafuta tena toka Saud Arabia hadi USA ni za kitoto kuliko angekuwa anayachukulia RUSSIA 1 kwa 1?

Au pia USA alishapenyeza bomba la 1 kwa 1 kunyonya mafuta toka huko Saud Arabia hadi USA kama ilivyo kwa Qatar?
 
"Sisi kama Russia"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mafuta yamepanda sana Kwa hiyo Putin kashusha kidogo tu lakini juu ya bei kabla ya vikwazo,hesabu zinaonesha mauzo yamepungua kidogobila faida imepanda.
 
Gaddafi bhana alizingua but rip Mzee wetu ,walimvuta karibu mpk akaamini western washakuwa rafiki zake mpk misaada akawa anampa rais wa ufaransa kamdhamini mpk uchaguzi kumbe wanamchola tu walivyomgeuka hakuamini anampigia simu rais wa ufaransa hapokei jamaa alikuwa na intelligence dhaifu sana alitkiwa kuwa karibu na Russians baada kujua western wanamuwinda km mwenzake Iran kakimbilia Russia
 
Hayo mafuta anayonunua Saudi Arabia huwa anapiga yutani na kuwauzia ulaya na marekani
 
Western ni wahuni tu wale hawana utu wala urafiki.
Wako sawa na mbwa mwitu...ukiona anatikisa mkia usidhani anakufurahia ni kwamba anakusogeza akutafune.
 
USA ni Mzee wa logistics muhimu bidhaa iwepo hahah!
 
Ni America ndiye ananunua wese lote hilo, the bright US do that.
Kama ni US ndio ananunua unadhani nani anaathirika maana lengo la Russia ni kuuza mafuta regardless anauziwa nani, hao US wao wenyewe ndio walioweka sanctions sasa kama wanazunguka na kununua kupitia Saudia basi US ni wehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…