Akili za Waarabu wanazijua wenyewe - yaani hata hawajui kwamba wemeingizwa mkenge na Pompeo, Natenyahu na Trump lengo likiwa ni kuipatia Israel airbases ambazo zipo karibu na Iran ili mwisho wa siku zitumiwe na Israel/USA fighters and Bombers kuishambuliani Iran - yaani Saudi Arabia na Qatar zitajikuta zinaingizwa kwenye vita na Iran bila ya kutegemea - ninacho kiona mimi Saudi Arabia itachajazwa vilivyo na ballistic missiles za Iran, viwanda vya Saudia vya Petrochemicals Complex ndio vita shambuliwa kwanza, Qatar vile vile itashambuliwa na kupata hasara.