Tanzania tumekuwa vichwa vya wendawazimu...
Tuna watalaam kibao wa kilimo ambao tumeshindwa kuwatumia kwa kilimo...
Tumeshindwa kufanya commercial agriculture na tusifikiri hata siku moja kwa tutanufaika kwa kupewa chakula cha chee na Waarabu hao...
Jirani zetu wa kenya wanajua hili maana wasaudia waliomba ardhi kama hiyo mwanzoni mwa mwaka huu wakati kenya ilipokuwa inawaomba mkopo wa dola kama Bil1 hivi kwa ujenzi wa bandari huko mombasa nao wao wakenya wakastukia dili...
Sasa inaonekana kwamba Mbwa kamtupia fisi fupa lililomshinda...
Sera yetu ya ardhi inasemwa mwananchi wa kawaida ana lease ardhi kwa miaka 33 na ku-renew, sasa iweje hao jamaa wapewe miaka 99...
Waitumie hadi mtoto Mtanzania aliyezaliwa leo azae na kujifungua wajuu zake... hivi atawalithisha nini?
Kikwete amuka amuka kaka toka usingizini, fikiria nini hao waraabu wanachotaka kufanya sisi kama Tanzania hatuwezi kukifanya... Kwa nini basi serikali isianzishe kampuni lake la kilimo ambalo litadhalisha katika hizo hecta 500 000 kwa miaka 99 kwa faida ya watanzania wote? Kama hatuna technologia , kwa nini basi tusinunue toka kampuni kama Kubota Japan ambao wao ni mabingwa kwa kilimo cha mpunga? au kwa nini basi tusikodishe kampuni yeyote ile ya kilimo ili ilimie kwa niaba ya serikali na wananchi wetu?
Sikubaliani mara mia zidishwa laki tano na 99 kwa hao waarabu kupewa ardhi hiyo wanayoinyemelea....
wakipewa, sisi Tanzania Kwisha Kazi..., Tutaanza kuwa kama Zimbabwe ndani ya miaka 40 tangu wapewe...
Akina January Makamba, kama ardhi hiyo ikigawiwa kwa hao waarabu , basi sisi watanzania tutajua kwamba domo lenu halikutoa ushauri nasaha kwa huyo bosi wenu Kikwete, bali lilishibishwa tende za waarabu na kulicheza ngoma ya uajemini...
Tunabiga kelele kila siku kuhusu sera ya ardhi katika East africa, na wakija hao Waarabu tunawaoneshwa kwamba iawezekana....
Ni ajabu sana hawa viongozi...
Please step down for and let other Competent Tanzanian take the lead... Kwa nini safari ambazo hazina maana? Yaani mtu anakualika kwakwe ili akuombe... hii ni akili kweli?
Do the Math Why Saud Investors: Hizi Shule zetu bomu kabisa, hazifundishi mtu kujitegemea zinafundisha kuvaa tai na kupata kamshahara tu, na akipata gari na kajumba ka vyumba 3 basi kwisha kazi, kilichobaki ni kwenda kwa waganga kuloga ili kupanda cheo tu basi. That is how these idiot guys look like (JK/Makamba).
============================
Simple Mathematics
Tractor 500 $40,000.00 $20,000,000.00
Pivot Irrigation 20 $200,000.00 $4,000,000.00
Hanvester 20 $50,000.00 $1,000,000.00
Storage/Godown 10 $500,000.00 $5,000,000.00
Cost $30,000,000.00
# of Hectare Production/h
Rice Price/ton
Two Season Minimum price Total Sales
Tone
5,000,000 20 $400.00 $40,000,000,000.00
Cost
Equipment $30,000,000.00
Labor $5,000,000.00
Fertilizer $10,000,000.00
Misc Ex $10,000,000.00
Total cost $55,000,000.00
Profit $39,945,000,000.00
Govt Budget $7,000,000,000.00
Surplus $32,945,000,000.00