Saudi investors eye Tanzanian farmland

Saudi investors eye Tanzanian farmland

Swahiba zangu bado tu mnajadili hii kitu. Acheni Bwana. Twendeni katika EPA. This is not an issue. LAND Inakuumeni sana. Sasa na sisi ndio maana tunasema mafuta yakitoka katika Land ya Watu wale - ni yao. Msiwadahil.

You just made me laugh! But honestly, land inauma sana mpaka ndani ya moyo. Mimi bibi yangu alikuwa mkulima, a good one. Naamini sana katika kilimo - ingawaji silimi. Ishallah! mungu akijali nitalima!
 
You just made me laugh! But honestly, land inauma sana mpaka ndani ya moyo. Mimi bibi yangu alikuwa mkulima, a good one. Naamini sana katika kilimo - ingawaji silimi. Ishallah! mungu akijali nitalima!
Sawa na sisi kule kwetu hatuna Land ( it is limited) Sasa inatoka rajuwa katika Land hiyo mnataka kuwakamua Watoto wetu . No way
 
Swahiba zangu bado tu mnajadili hii kitu. Acheni Bwana. Twendeni katika EPA. This is not an issue. LAND Inakuumeni sana. Sasa na sisi ndio maana tunasema mafuta yakitoka katika Land ya Watu wale - ni yao. Msiwadahil.
Pakacha,

You just made me laugh! But honestly, land inauma sana mpaka ndani ya moyo. Mimi bibi yangu alikuwa mkulima, a good one. Naamini sana katika kilimo - ingawaji silimi. Nakumbuka tulipokuwa wadogo, tulikuwa tunaenda kumsalimia bibi kijijini - tulimfungashia sukari, chumvi, na sabuni. Tukifika tulikuwa tunapewa ubwabwa na kuku. Jioni tunatembea mashambani tunajificha na kucheza huko. Nakumbuka sura ya bibi yangu, ilikuwa ni ya furaha sana na kujidai! Tukiaga tunafungishwiwa madebe na madebe ya vyakula kwa visukari vyetu vya kilo ishirini natano. Nakumbuka mpaka leo, mchele ule wa bibi ulikuwa ni mtamu sana, na bado nikiula ni mtamu sana kuliko kitu chochote nilichowahi kula. Inawezekana ni sawa na michele mingine, lakini nadhani furaha ya kujivunia jasho inaongeza radha! Ishallah! mungu akijali nitalima!

We need to start producing to understand the power it brings. there is no good feeling knowing you can feed yourself by your own sweat! Not only that it will force you think to acquire more harvest!
 
Pakacha,

You just made me laugh! But honestly, land inauma sana mpaka ndani ya moyo. Mimi bibi yangu alikuwa mkulima, a good one. Naamini sana katika kilimo - ingawaji silimi. Nakumbuka tulipokuwa wadogo, tulikuwa tunaenda kumsalimia bibi kijijini - tulimfungashia sukari, chumvi, na sabuni. Tukifika tulikuwa tunapewa ubwabwa na kuku. Jioni tunatembea mashambani tunajificha na kucheza huko. Nakumbuka sura ya bibi yangu, ilikuwa ni ya furaha sana na kujidai! Tukiaga tunafungishwiwa madebe na madebe ya vyakula kwa visukari vyetu vya kilo ishirini natano. Nakumbuka mpaka leo, mchele ule wa bibi ulikuwa ni mtamu sana, na bado nikiula ni mtamu sana kuliko kitu chochote nilichowahi kula. Inawezekana ni sawa na michele mingine, lakini nadhani furaha ya kujivunia jasho inaongeza radha! Ishallah! mungu akijali nitalima!

We need to start producing to understand the power it brings. there is no good feeling knowing you can feed yourself by your own sweat! Not only that it will force you think to acquire more harvest!
Mchele wa Kyela Ndugu yangu - ni mzuri ndio huo. Lakini hebu niambie utauzaaje kule Uarabuni, bila kuwa na Kampuni ya huko Inayochukua jukumu la ku-produce na ku-market mchele huo. Hata bibi yetu alime- hatauza. Na acha tu wewe hizo kampuni za hao Wasaudia ndio zinauza mchele hata huku UK- sasa unaona namna gani mchele wa bibi unavyowea kusambaa duniani. Sasa wewe baki na Land yako- na watoto uwarithishe udongo na manjasi.
 
Hapa Petu,
Since you are engaged with people or HakiArdhi could you ask them to draft it with right context and send it here to the forum. We could read to make sure the context is right, and then send a letter to the responsible authorities. i think it is very important to write and re-write out position, even if that is required to do it everyday! Even if there are other initiative going on, but a simple statement can easily be red by majority.
Of all people Mkandara?...come on now, U must be kidding.
First, I stand on the other side of policies which govern the issue and to my belief, changes can only be achieved if CCM is out of power..then a different insitution, a different estimation strategy would takes advantage of the variation across the country in the insurance of land- use certificates needed to enforce these rights...'cause right now all member of CCM are Real Estate Agencies and Tanzania is on SALE..how can U make them think otherwise..
The only suggestion in terms of educating the mass, we should examine the impact of land reform in other countries, where results indicates that land right reforms led to significant increases share of total areas devoted to multi-year crops, availability of resources therein (irrigation system) as well as provide proper assistance to those committed to farming...
 
revolutionalist vs reformist! where do you stand! If you not believing in reforms, then even the ballot box should be invalid to you! what your approach then! Tuingie msituni! Mapori yenyewe yako wapi kaka!
 
Last edited:
Kujitosheleza kunashindikana kwa sisi wenyewe kushindwa kutumia ardhi nzuri, mabonde na mito kulima na kupata ziada. sasa kuna ubaya gani kama ardhi iliyopo ambayo hatuitumii tukaikodosha kwa watu ambao wana uwezo wa kuitumia vyema, wakafanya umwagiliaji , wakatumia mashine za kisasa kuendeleza kilimo bora na wakavuna chakula kingi kwa ajili yao na pengine kutugaia sisi wenyewe tunaoshindwa kulima? Mpunga Bonde la Mto Rufiji, Mpunga Kilombero, Mpunga hata kule Mwanza pembezoni mwa ziwa unalimika vizuri tu. Tumefikia wapi?

Nakupa shavu wa kwetu. Aidha walichotaka hao vilemba ni mradi wa ubia, watatoa mashine na utaalamu na kama kawaida ajira kwa wananchi wetu na baadae kugawana mapato, kibaya kipi hapo?
 
I like the "kutugaiya" part!
Mtegemea cha ndugu hufa maskini.Tukiwa na mawazo kuwa ngoja tuwape ili nao watugaiye basi hatufiki mbali.
Mkuu,
Watanzania hawajashindwa kulima bali wanachohitaji ni support ya kuweza kulima kisasa kwa maana ya pembejeo, matrekta, mipango ya umwagiliaji maana kutegemea mvua nako kunatuangusha, miundombinu ili mazao yao yaweze kufika kwenye masoko n.k.Na serikali inaweza kufanikisha hili kama kutakuwepo na matumizi mazuri ya mapato ya taifa.Kutafuta watu waje walime vyao tu..sijui! Ningeelewa kama wangekuja kuwekeza wakalima ili tuweze kuwa na mazao ya chakula ya kutosha ili tuepukane na aibu ya njaa inayolikumba taifa mara kwa mara.

Kama kuna ajenda nyengine basi na tuiseme lakini hii labda hivi, tungefanya hivi, kama tutafanya hivi ipo kwa karibu miaka 50 sasa. Tusijidanganye kuwa tutaleta maendeleo kwa hali tulizonazo sasa bila ya kushirikiana na walionacho. Kuwa nacho inawezekana mtaji, inawezekana utaalamu na inawezekana will. Watanzania hatuna hata kimoja kati ya hivyo.
Nini tofauti iliyopo kati ya kukodisha mashamba na kuuza viwanda na mashirika tulikokufanya. Angalau hili la kukodisha kuliko la kuuza. Hao tunaowafikiria kuwa wao wana haki ya kuja na kuinyonya Tanzania hawana nia ya kuleta maendeleo kwetu bali kutunyonya tu. Aidha pale tunapofikwa na njaa kwanini huwa tunapokea misaada ya chakula kutoka nje ikiwa tunaufahamu huo msemo wa 'mtumai cha ndugü'?
 
Mwalimu aliliona hili siku nyingi......

"... generally speaking the Africans are poor and the foreigners are rich, it is quite possible that, within eighty or a hundred years, if the poor African were allowed to sell his land, all the land in Tanganyika would belong to wealthy immigrants, and the local people would be tenants. … but even if there were no rich foreigners in this country, there would emerge rich and clever Tanganyikans. If we allow land to be sold like a robe, within a short period, there would only be a few Africans possessing land in Tanganyika and all the others would be tenants"

Mwl. Julius K. Nyerere, 1958
 
Gozigumu,
Mkuu kuhusu kilimo nadhani hufahamu ni wapi panatukwaza.
Binafsi siamini kabisa kwamba tatizo ni fedha au mtaji wa kilimo isipokuwa tatizo linaanza na umiliki wa ardhi..
Nchi nyingi sana zimeweza kuboresha kilimo kwa sababu unapoweka land rights na mahitaji yake ni rahisi kutumia sheria azinazoambatana na ardhi hiyo.
Kwa mfano, nyumba leo zinajengwa Kariakoo na mabadiliko tunayaona kwa sababu mmiliki wa nyumba hiyo ana sauti ya mauzo na serikali ipo kuhakikisha sheria zake za ujenzi zinafuatwa..Upande wa pili kuna nyumba za serikali ambazo zimechukuliwa toka Mkoloni na wananchi ni wapangaji tu kwa miaka sijui 99, nyumba hizi leo hii hazitramani. matumizi nathamani ya nyumba hizi ni karibu na Bure kiasi kwamba mtu anayekaa Samora mjini pale analipa kodi ya Tsh. laki mbili sawa na kupanga chumba Magomeni. Nyumba zimechakaa utafikiri hazikaliwi na watu, hata maintanance yake ni duni vibaya sana kwa sababu kila kitu kinahitaji sahihi ya mkubwa fulani asojulikana.

Kwa hiyo maendeleo ya ardhi yanatokana na mfumo bora wa miliki ya ardhi na mara nyingi maendeleo hata ktk Kilimo yanatokana na hatua kama hizi. Ardhi inayomilikiwa kwa kilimo hutumika kwa kilimo na isipotumika hasara zake huonekana kutokana na hatua mabazo jirani zako wanafuata soko..Msukumo wa maendeleo ya kilimo ni sawa na ule wa Ujenzi Kariakoo tofauti na nyumba ambazo zipo chini ya serikali siku zote maendeleo huwa ni ya kunesanesa.

Kuna rafiki yangu hapa ambaye alipata shamba kubwa sana Handeni, Tanga. Akajaribu sana kupata mkopo benki za nyumbani ili alime machungwa, mananasi na na mazao mengineyo, hakufanikiwa..Katika mazungumzo nilimwambia ajehuku kujaribu kutafuta mtaji na kwa bahati nzuri alipofika alipata kazi na muda mrefu akatumia nguvu zake kununua fvifaa vya kilimo toka matrekta, majembe na kadhalika lakini aliporudi Tanzania akakuta watu wameshahamia ktk shamba lake..
Pamoja na vibali vyote, serikali imeshindwa kuwaondoa watu wale na kesi sasa hivi iko mahakamani miaka minne..Matokeo yake amefikia uamuzi wa kuuza vifaa vyote na kurudi huku kutafuta masiha kwa njia nyingine kwani ameshapoteza fedha kibao kwa lawyers na viongozi wenye tamaa..Hapa sio tu tumepoteza mkulima mwananchi, mzalendo, mjasiriamali ambaye kwa nguvu zake anakuja vunjwa nguvu nba serikali ambayo inauza ardhi kwa sifa zote za uwekezaji kwa Mwarabu au Mzungu.

Kweli kabisa hatuwezi kufika mahala popote bila wawekezaji lakini neno hili lina mapana zaidi ya rangi za watu..Unapouza au kukodisha ardhi kwa mgeni unaingia mkataba mgumu kuliko utaratibu wa kawaida kwani inabidi ulegeze baadhi ya sheria zako kum accommodate huyu mgeni, lakini sheria hizo hizo zinashindwa kumlinda mwananchi. Sasa tazama ktk uwekezaji wa Hotel, wageni wanapewa miaka 5 ya kuendesha biashara kabla ya kodi, huu ni mtaji tosha kabisa lakini kwa mswahili anayeweza jenga Hotel kama hiyo atalipa kodi pindi tu akifungua..na atafuatwa kwa kila kitu toka Ufisadi hadi uraia wake. Kwa tafsiri yetu Mtaliii ni Mjapan au mzungu anayetoka Ulaya, mswahili wewe ni mtembezi tu na kuna sehemu huruhusiwi kwenda!..kifupi neno mtaji kwetu linatokana na mtu mwenye Dollar!
Ndipo naposema sisi Ubepari tumeubeba mgongoni kama ngamia asojua alichobeba.. Hatuwezi kamwe kwenda mbele ikiwa hatufahamu kiini cha Ubepari na unaendeshwa vipi zaidi ya fikra kwamba MTAJI hatuna hivyo wenye MTAJI ndio waje kuwekeza.. Trust na nitarudia tena kama benki za Ulaya zitakufa, Ubepari utakufa, Benks ndio injini ya Ubepari na ikiwa wazungu wanokuja hapa kuwekeza tunafikiria ndio wao injini ya uwekezaji tumepotea maboya wala sii kidogo. mzunguko wa fedha zetu utakuwa unaenda nje hivyo hata maendeleo yetu yatakuwa ya majengo na ardhi wakati wananchi wanakufa njaa...
 
Uganda's population explosion a time bomb - new report
Allan Ssekamatte


Uganda's rapid population growth is putting significant pressure on the country's food, water and energy resources, a report has revealed.

According to the State of East Africa 2008 report sanctioned by the Society of International Development (SID), the region's rich natural resources are to take a severe strain as more ordinary people aspire for prosperity.

The study under the theme Nature Under Pressure, covers Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda and Burundi – the five countries that form the East African Community bloc.
It also warns about the devastating effects of climate change.

According to the report, Ugandans are the East Africans who got to bed with the fullest stomachs, but the availability of food could be behind the country's astronomical population growth.

An average Ugandan consumes 2,380Kcalories per day, while Burundians consume the least at 1,600Kcalories. Kenyans (2,150), Rwandans (2,070) and Tanzanians (1,960) follow in that order.

The SID report projects that East Africa's population, which currently stands at 125 million, will meanwhile reach 190 million in 2030.

However, the biggest increase will come from Uganda, because the national population growth rate of 3.2 percent per annum is the highest in the world.

The information officer at the Population Secretariat, Mr Hannington Burunde says Uganda's population, which currently stands at 31m, will reach a staggering 130 million in 2050.


He blames the rate on a high fertility rate as each woman produces an average of seven children during her lifetime.
"This population growth rate is unsustainable because it is not producing a quality population. It requires an economic growth rate of 10 per cent per annum to sustain such growth, which the country is not achieving," Mr Burunde said.

He added, "We are sensitising people to learn the meaning of having a planned family and want policy makers to teach their people manageable family sizes."

Mr Burunde said government is counting on the UPE programme to bring down the fertility rate as girls stay longer in school, but he repeated President Museveni's oft-mentioned remarks that a big population is not a problem, if it is well educated and involved in the productive process.

His figures are corroborated by the Population Reference Bureau, a Washington DC, USA based research and advocacy group which says such growth rates will entrap the country in poverty and instability.

Indeed the SID report states that as a result of the population growth, the number of malnourished East Africans increased by 8.8 million between 1990 and 2003.

"Tanzania recorded a 73 per cent increase in hungry people and accounted for 42 per cent of hungry East Africans, up from 34 per cent a decade earlier. Kenya Uganda and Rwanda all reduced their share of hungry people in East Africa," the report states.

Dwindling Nile Perch

Significantly, the report states that Ugandan children may not enjoy the famous Nile Perch due to the dwindling species and its demand in foreign markets which make it expensive.

It says the volume of Nile Perch harvested from Lake Victoria dwindled by 60 per cent between 1999 and 2008, from 1.2 million tons to 500,000 tonnes.

"Nile Perch is being replaced by the much smaller species of dagaa which increased in volume by 123 per cent from 476,000 tonnes to over one million tonnes during the same period.

Two main reasons account for this, according to the report. It forwards the factors of over-fishing and the use of illegal fishing gear as the main contributors to the trend.

Between 2004 and 2008, the number of fishermen also increased by 30 per cent from 155,066 to 199,242 further straining the resource.

"The number of monofilament nets (the most destructive fishing nets) increased by almost 10 times in two years; from 2,293 in 2006 to 20,194 in 2008," the report adds.
Official government figures reveal that fish stocks in the lake fell from 1.9 million tonnes in 1999 to 370,000 currently.

Uganda's export earnings from fish meanwhile fell by $60 million or Shs120b last year, according to Minister of Fisheries Fred Mukisa, who said that 30 factories have already closed while those operating are doing so at 40 per cent capacity.

Tanzania's EAC hesitation

Tanzania is the country with the largest amount of resources in the region. It has the biggest land mass, 45 percent of the region's renewable water, and the most energy potential.

Tanzania has the potential to generate 53,750GWh per year, which is 30 per cent more commercial energy that the rest of East Africa combined (see graph on power generation).
Tanzania's population growth rate of 2 per cent, is also the lowest in the region.

This could explain the country's refusal earlier this week to ratify a protocol that would allow citizens of member states to access land in any part of the Community, reside permanently in any country of their choice and move freely using National Identification Cards.

Forests and climate change

The report warns that unless Ugandans stop cutting trees, there will be a significant negative impact from climate change. It says 26.2 million hectares of trees were cut down between 1990 and 2005 in East Africa, with Rwanda the only country to have increased its forest cover during this period.

Tanzania accounts for 90 per cent of the deforestation in East Africa and its share of the region's forested land dropped sharply from 58 per cent to 47 per cent in the 15 years to 2005. Over the same period, Uganda's forest cover fell from 4.9 million hectares to 3.6 million, an annual depletion rate of 2 per cent.

Due to climate change, temperatures are rising at 0.5 per cent per decade, leading to a higher incidence of tropical diseases like malaria, decline in production of long cycle crops, suffocation of fish species and phenomena like El Nino.

"Climate change impacts have the potential to undermine and even to undo progress made in improving the well-being of East Africans," the report states.

"Areas like the southwest in Kabale, which had been cold, are losing 0.3 degree Celsius off their minimum temperature every 10 years," Mr Paul Isabirye, a principal government meteorologist said recently.

"These places did not have mosquitoes but now malaria is becoming rampant." The coordinator of the Climate Unit at the Ministry of Water and Environment, Mr Phillip Gwage, said the Teso floods of 2007 typify the negative effects of climate change. The floods resulted in an upsurge in waterborne diseases and breakdown of livelihoods as roads were cut off
 
Mwalimu aliliona hili siku nyingi......


Manta:

Ni kweli Mwalimu aliliona hilo. Lakini ni lazima tutafsiri yale yaliosemwa na wakati wake na matukio yalikuwepo wakati huo. Ama sivyo tutakuwa machizi

Mwaka 1958, nchi nyingi duniani hata za Ulaya zilikuwa zinategemea kilimo na matumizi ya rasimali asili kama uti mgongo wa maendeleo yao.

Mwaka 1958, data zinaonyesha watu nchini South Korea walikwenda porini kukata kuni za kupikia kama vile tunavyofanya.

Mwaka 1958, electronics computer ndio kwanza ilikuwa na miaka 13.

Ni miaka zaidi ya 50 toka Nyerere aseme mambo hayo. Na katika kipindi hicho cha miaka 50 tumeshuhudia mabadiliko makubwa duniani katika sayansi na communication.

Wakati anasema maneno hayo matajiri wakubwa Tanzania walikuwa ni waZungu wamiliki mashamba ya biashara.

Sasa hivi matajiri waTanzania sio watu wanaofanya shughuli za kilimo. Hata Marekani matajiri wanaongoza sio wenye viwanda vya magari au Mashamba ya ngano. Matajiri ni wale wenye Intellectual Properties kama vile Microsoft, Oracle, Intel etc.

Hivyo usemi wa Nyerere ulikuwa-valid kwa assumptions zilizokuwepo wake hule.
 
Zakumi,
Maneno yako msumari lakini unasahau tu kwamba Tanzania ya mwaka 1958 na hii ya leo hazitofautiani sana ktk uzalishaji..Tofauti kubwa zipo ktk Uagizaji (imports)wa mali ghafi..
Kikubwa zaidi nadhani inatakiwa utazame kuwa mfumo wa biashara na uwekezaji wa Kilimo huko Marekani mwaka 1958 pamoja na mabadiliko yote ya nyezo na zana za kilimo bado wanatumika leo hii ktk sheria na rights za hakiardhi toka wapate Uhuru miaka sijui 200.
 
Zakumi,
Maneno yako msumari lakini unasahau tu kwamba Tanzania ya mwaka 1958 na hii ya leo hazitofautiani sana ktk uzalishaji..Tofauti kubwa zipo ktk Uagizaji (imports)wa mali ghafi..
Kikubwa zaidi nadhani inatakiwa utazame kuwa mfumo wa biashara na uwekezaji wa Kilimo huko Marekani mwaka 1958 pamoja na mabadiliko yote ya nyezo na zana za kilimo bado wanatumika leo hii ktk sheria na rights za hakiardhi toka wapate Uhuru miaka sijui 200.

Mkandara:

Mfano: Marekani wanatumia 2 percent ya uchumi wao kwenye kilimo, Ethiopia ambao tupo karibu nao wanatumia 57 ya uchumi wao kwenye kilimo. Wamarekani wanazo skill kubwa katika mambo mengi (less than 5 percent illiterate). Ethiopia on average wana skills set ndogo (65 percent illiterate)

Kwa kutumia mfano huu inawezakana tunachopambana au kuzungumza hapa ni phenomena nyingine kabisa na sio matumizi ya ardhi.

Na kuna uwezekano mkubwa kuwa kama tutaendelea kutoa elimu ya kubabaisha, maneno ya Mwalimu yatakuwa na ukweli hata miaka 1000 inayokuja.
 
Mkandara mkuu: umenigusa sana na ile anecdote ya rafiki yako aliyepewa ardhi ya kuendeleza na kukata tamaa. Nakubaliana na wewe ya kuwa tatizo ni kuwa tunaendekeza populist sentiment eti mtanzania anayewekeza basi aidha ni fisadi, ni tapeli au mbabaishaji na hatuna respect yoyote. Wawekezaji wa nje wote ni mabepari.
We have to change our mindset. Kuwekeza ina maana ya kuwa mtu anayewekeza nguvu zake, mtaji wake anachukua risk. Cha ajabu kwa Kiswahili neno 'risk' haina tafsiri ya moja kwa moja na ndo maana tunaishi tunavyoishi bila kufirikia kuhusu risk in our lives.
But back to uwekezaji, kama mtu wa ndani au nje akiwekeza ni lazima tukubali kuwa amewekeza ili apate faida (it is not charity). Na akiwekeza mtu wa nje basi atataka kuchukua faida yake nje. Na kama amewekeza mtu wa ndani basi anataka kuchukua na kutumia faida aliyopata. But we are busy latching on and going about unyonyaji na ubepari... tumebaki ku-admire wachina na watu wa Singapore bila ya kuwaza kuwa kilichowendeleza ni uwekezaji wa nje na ndani.
Ardhi ni area moja ya uwekezaji, kwa hiyo let us use it to boost our economy.
 
Mchele wa Kyela Ndugu yangu - ni mzuri ndio huo. Lakini hebu niambie utauzaaje kule Uarabuni, bila kuwa na Kampuni ya huko Inayochukua jukumu la ku-produce na ku-market mchele huo. Hata bibi yetu alime- hatauza. Na acha tu wewe hizo kampuni za hao Wasaudia ndio zinauza mchele hata huku UK- sasa unaona namna gani mchele wa bibi unavyowea kusambaa duniani. Sasa wewe baki na Land yako- na watoto uwarithishe udongo na manjasi.

There is no simple solution to land question more than to develop an understanding that land makes us as a nation in present and in the future. We must development commitment beyond our logical explanation, beyond our failure, beyond the market demand that our exestance in the world is marked by our territories. It is that peace of land define who we are, what we do and who we can become. The national is not only measured by what it produce, rather by what is his possession. Let's us be wrong of how we are using our land, lets us be wrong we have failed to produce. But let us not sell more rights our our sovergnity within our entities.
 
Sawa na sisi kule kwetu hatuna Land ( it is limited) Sasa inatoka rajuwa katika Land hiyo mnataka kuwakamua Watoto wetu . No way

Kwani wasipokodishiwa waarabu, watoto wako wana-guarantee ya kuikuta hiyo ardhi? It's like wanastahili kupata ardhi bure, is this what you are implying? Kwa vyovyote, ardhi inaongezeka value kila kukicha [Marginal User Cost/Scarcity rent]. It will reach a time when everyone has to incur cost to own a land - pretty much the same way we pay for things like vehicles. Mambo ya kuvamia pori, kufyeka na kusema ardhi ni ya kwako yatakwisha. And that is when we can have the efficient allocation and use of land.
 
There is no simple solution to land question more than to develop an understanding that land makes us as a nation in present and in the future. We must development commitment beyond our logical explanation, beyond our failure, beyond the market demand that our exestance in the world is marked by our territories. It is that peace of land define who we are, what we do and who we can become. The national is not only measured by what it produce, rather by what is his possession. Let's us be wrong of how we are using our land, lets us be wrong we have failed to produce. But let us not sell more rights our our sovergnity within our entities.

I am afraid you may be wrong. A resource is a resource if and only if it can be used by man to improve welfare. That have being said, if we cannot use whatever we have in improving our welfare, then it doesn't make any difference. You may own the whole planet but if you cannot improve your livelihood, then that's synonymous to owning nothing.

And the topic on the table is not about selling the land. Our Land policy doesn't allow that. The issue is about leasing the land to some investors. By doing so we may accrue benefits from that deal while retaining the ownership of the land and sovereignty and whatever rights you are referring to.
 
I am afraid you may be wrong. A resource is a resource if and only if it can be used by man to improve welfare. That have being said, if we cannot use whatever we have in improving our welfare, then it doesn't make any difference. You may own the whole planet but if you cannot improve your livelihood, then that's synonymous to owning nothing.

And the topic on the table is not about selling the land. Our Land policy doesn't allow that. The issue is about leasing the land to some investors. By doing so we may accrue benefits from that deal while retaining the ownership of the land and sovereignty and whatever rights you are referring to.

it is ok to be wrong! and i am happy to be corrected!

Sometime i feel our arguments are confined to the meaning of words! leasing, ownership, investors, sovereignty - at the end of the day we are talking about production relations over land, and who benefit from that exchange. You know, ownership means to have power over your resource, and understanding the usage limitation when transforming that right, and creating conditions of equal value over the exchange to our basic rights. Contracts!!!

I mean there is no value, there is no point of having what so called investors if the relationship of productions are not articulated to benefit Tanzania. Foreign investors are not new. We have seen it, we have lived it, we are working through it now and only we know we have been exploited! Give me sucessful story of investors over land? Provide me one!

At the end of the day what i am arguing for is people to understand the value of land! Believe me, people value cars, buildings, clothing more than land! That is insanity! If we can't see that the current and historical transactions and management over land have serious miss, then i agree that i am suffering from madness.
 
Wakati sie tunataka kutoa hekari 500,000, wenzetu wanatoa 1 Million hk.

read here Food, Beverage & Tobacco : Pakistani province blocks UAE farm deals

hapo juu inaonesha wawekezaji wamekwamishwa kutokana na vitendo vyao kudeal straight na wakulima....Muhim hapa kwetu TZ tujue serikali imeweka Plan gani za hawa wawekezaji ktk ardhi, its true wawekezaji wa Nje muhim ku boost Kilimo...lkn HAKI za WANANCHI ZILINDWE

Sina Hakika kama mwekezaji wa Ndani kazuiwa. Kinachotushinda ni MTAJI ambao unaweza kufacilitate pembejeo na vitu vingine muhim ktk Kilimo.
 
Back
Top Bottom