Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

Saudia Arabia isipojiunga na Abraham Accord nusu ya Nchi yake itachukuliwa na Israel.

Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi.

Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
Hawana jeshi
 
Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi.

Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
Atagawana vipi na Iran wakati hapakani nayo Kwa nchi kavu, labda Kwa Bahari na ni kipande kidogo na hapo mpaka azuie mashambukizi ya kambi za Marekani zilizo jirani yake kutoka nchi km Kuwait, Bahrain,Qatar na UAE
 
Ujinga na Upumbavu unakusumbua sana!!!

Israel haina uchu wa kunyakua nchi joyote ile!!
Bro, huoni Israel na sapoti anayopata kutoka US na baadhi nchi za EU, anavyozidi kusogea kwenye ardhi za Palestine/Gaza,Lebanon na Syria
 
Bro, huoni Israel na sapoti anayopata kutoka US na baadhi nchi za EU, anavyozidi kusogea kwenye ardhi za Palestine/Gaza,Lebanon na Syria
Tumia akili yako vizuri!!

Hujui kwa nini Israel iko Gaza,Lebanon na Syria? Kama hujui sema nikujulishe!!

Hakuna nchi inayoitwa Palestine ujinga wako tu unakusumbua!!

Hata hivyoKama Saudi Arabia, Oman, Kuwait na mataifa mengine ya Kiarabu yangejiunga na Makubaliano ya Abraham na kujenga muungano mpana wa usalama wa kikanda na Israeli na UAE, Mashariki ya Kati ingekuwa tofauti sana leo. Huku Iran na Houthi zikizidi kutishia mataifa ya Ghuba na njia muhimu za meli, muungano wa kikanda ulioungana ungeweza kutoa kizuizi chenye nguvu na uwezo wa kijeshi kukabiliana na vitisho hivi kwa pamoja, na hivyo kupunguza utegemezi wa uingiliaji kati wa moja kwa moja wa Marekani. Makubaliano ya Abraham hayakuwa tu kuhusu Israeli. Yalitoa msingi wa Mashariki ya Kati mpya yenye uwezo wa kujilinda dhidi ya vitisho vya pamoja.
 

Attachments

  • IMG_20260911_163556_559.jpg
    IMG_20260911_163556_559.jpg
    145.8 KB · Views: 11
Back
Top Bottom