MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hawana jeshiAisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi.
Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
Ujinga na Upumbavu unakusumbua sana!!!Aisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi.
Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
Tokea lini mtu akavaa nguo za vitenge πππUjinga na Upumbavu unakusumbua sana!!!
Israel haina uchu wa kunyakua nchi joyote ile!!
Atagawana vipi na Iran wakati hapakani nayo Kwa nchi kavu, labda Kwa Bahari na ni kipande kidogo na hapo mpaka azuie mashambukizi ya kambi za Marekani zilizo jirani yake kutoka nchi km Kuwait, Bahrain,Qatar na UAEAisee Saudia Arabia ni moja ya mataifa ya ovyo na kijinga sana, yaani licha ya kuwa na vifaa vya kisasa imeshindwa kuwadhibiti Wahouthi.
Iran na Israel watagawana hiyo Nchi.
Bro, huoni Israel na sapoti anayopata kutoka US na baadhi nchi za EU, anavyozidi kusogea kwenye ardhi za Palestine/Gaza,Lebanon na SyriaUjinga na Upumbavu unakusumbua sana!!!
Israel haina uchu wa kunyakua nchi joyote ile!!
Tumia akili yako vizuri!!Bro, huoni Israel na sapoti anayopata kutoka US na baadhi nchi za EU, anavyozidi kusogea kwenye ardhi za Palestine/Gaza,Lebanon na Syria
Kuna uwezekano mkubwa sana wewe unasumbuliwa na Ujinga na Upumbavu tu!!Labda kama uliambiwa na huyu mchungaji wako
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/849709911362922
Dahhh kavaa kitenge ila ww jamaaTokea lini mtu akavaa nguo za vitenge πππ