Saudi's Lashing Old Women; Is it Law or Religion?

Hii mipasho ya Papaa Mudi ndo unaita ushahidi. LOL!

Hakuna cha nyoyo wala NYONYO. Hizo ayat ungezithibitisha kuwa kweli zinatoka kwa Mungu ningekuona wa maana, na kusingekuwa na swali.

Kabla hata hujathibitisha kuwa ayat ulizonazo zinatoka kwa Mungu, unaanza kuwakata watu shingo na kuwachapa bakora, tena viajuza visivyoweza hata kujitetea na kujimudu. Aibu tupu!

Hivi Yesu (AS), uliwahi kukutana na watu kama Mtindio wa Ubongo et al.?, majibu yake ni haya,

Wanafunzi wake wakamwendea wakamwuliza, ``Kwa nini unazungumza na watu kwa mifano?'' Akawajibu, ``Ninyi mmejaliwa kuzifahamu siri za Ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa. Kwa maana mtu aliye na kitu ataongezewa mpaka awe navyo tele; lakini mtu asiye na kitu, hata kile alichonacho atany ang'anywa. Hii ndio sababu nazungumza nao kwa mifano; wanata zama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawae lewi (Mathayo 13:10-13)

Kama Quran ilivyotamka, wana macho, masikio, nyoyo lakini hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Rejea post #39.
 
Nimefuata ushauri wako na ku-google mingling. Kwa vile Sharia hairuhusu mingling kwa opposite sex basi wanawake hawapaswi kuonekana sehemu yeyote ambako yuko mwanaume na si sebuleni kwao tu! Hii inatokana na tafsiri ya mingling kuwa si kujichanganya tu bali hata ku-come into contact!

Nimeangalia hizo Statistics na ndiyo maana nimekutolea mifano wa nchi ambazo crime rate iko chini sana wakati hawafuati Sharia. Sasa kama unapinga, basi weka za kwako na utaje ni nchi ngapi zenye kufuata Sharia zenye crime rates pungufu ya nchi nilizo zitaja.

Rais Numieri alibadilisha sheria iliyokuweko Sudan na kui-replace na Sharia mwezi Septemba mwaka 1983. Mfano mojawapo wa kuwepo kwa Sharia hii ni hukumu aliyopewa mwalimu wa kike wa Kiingereza kwa kosa la kumuita teddy bear Mohammed. Kama hata hili unaona ni debatable basi iko kazi.

Yes, mingling kwa mwanamme na mwanamke hairuhusiwi kabisa ambae kwa kisheria unaweza kumuoa au kuolewa nae ili mradi kisha balehe na awe ni umri wowote ule. Even in public places, why should you mingle?

Hizo statistics ulizoziona nionyeshe crime rate ya nchi moja katika hizo ambayo crime rate yake iko chini na nchi inayofata Sharia.

Kuhusu Sudan, hakuna Sharia na huyo mwanamke uliyesema adhabu yake ni kifo tu iwepo au isiwepo Sharia, mradi kuna waislam basi hukumu ni hiyo tuu. Waislam hatuchezi na mtu anaetukana mitume, awe Muhammad, au Issa au Ibrahim, mitume yote sisi tunaiheshimu na sio ya kufanyiwa utani.

Kuhusu hili la huyu mwanamke mzee kukutwa na vijana wawili wa kiume peke yao, hilo ni kosa, na umri usihusishwe kwani mwanamke au mwanamme wa miaka 75 wana matamanio na wanaweza wa kafanya ngono kama umri mwingine wowote ule.

Subject ni, jee hukumu ya Sharia ni viboko kwa kosa hilo? age does not matter. Mimi nimesema sijui hukumu ya Sharia kwa kosa hilo, lakini kama Sharia au Sheria imetumika, yote ni sawa kabisa. Kwani ukiwa katika nchi ya watu lazima ufuate Sharia au sheria zao.
 
Hivi Yesu (AS), uliwahi kukutana na watu kama Mtindio wa Ubongo et al.?, majibu yake ni haya,

Naona taratibu utaanza kuokota makopo..teh teh teh..

Wanafunzi wake wakamwendea wakamwuliza, ``Kwa nini unazungumza na watu kwa mifano?'' Akawajibu, ``Ninyi mmejaliwa kuzifahamu siri za Ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa. Kwa maana mtu aliye na kitu ataongezewa mpaka awe navyo tele; lakini mtu asiye na kitu, hata kile alichonacho atany ang'anywa. Hii ndio sababu nazungumza nao kwa mifano; wanata zama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawae lewi (Mathayo 13:10-13)

Kama Quran ilivyotamka, wana macho, masikio, nyoyo lakini hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Rejea post #39.

Nirejee kitu gani, huko hamna ushahidi kuwa Koran ni kitabu cha Mungu. Miti yote kwisa telesa eenh?
 
Naona taratibu utaanza kuokota makopo..teh teh teh..

Dhihaka na matusi, yote hutolewa na watu imani yao haina muongozo. Zinaletwa aya, wanaleta matusi. Lakini sishangai, hata Mitume wa Allah (SW) walifanyiwa kejeli na kutukanwa, Mitume hao ni kama Daud (AS), Musa (AS), Yesu (AS) na Muhammad (SAW), hivyo sishangai leo Mtindio wa Ubongo anaponitukana kuwa nitaokota makopo, sababu ukiwa ndani ya Haki siku zote unatukanwa na wasio ndani ya haki ili kujaribu kukupotosha. Yesu (AS) naye aliwahi kutukanwa na watu kama hawa wakina Mtindio wa Ubongo, hivyo tabia zao ni zile zile toka zamani mpaka leo,

Wakamjibu, tulitamka sawa tuliposema kuwa wewe ni Msamaria na tena umepagawa na pepo. Yesu akawajibu, "Sina pepo". Mimi namheshimu Baba yangu bali ninyi mnanivunjia heshima yangu" (Yohana 8:48-49).
 
All I can say is thank God I was not born in some countries and some religions.
Hebu imagine this life sisi huku tunapigania women's rights,wot about these women?They cant even drive themselves. woi! woi! Tumshukuru tuu Mola we are not in this unfortunate boat.

Some things pple do in the name of religion can not come from the true God,
All things that opress and bring bondage in the life of anyone are from the Evil One,let us not blame God for such things.
---not all who call me Lord Lord will enter the kingdom of heaven;for they will say Lord did we not ------ in your name? And I will say DEPART FROM ME YOU WORKERS OF INIQUITY.

Rights zipi? za kuwatembeza wanawake uchi au nusu uchi na kuwachagua nani anafaa zaidi? hizo ndizo rights unazoongelea? au do you think a woman being allowed or not allowed to drive is being given or denied her rights?

To allow or not to allow a woman to drive may be to her own good depending on the circumstances at the time of implementation of such a decision. and it has got nothing to do with Sharia in this matter.

For example in Saudi Arabia, I have seen with my own eyes a bedouwi women driving heavy water tanker in the country side and its a norm and no one prohibits her because the circumstances allows her to do so.

Tanzania at one time prohibited all long trip passenger buses to be driven after 10:00 PM, has it got anything to do with religion? the answer is simply NO. It is only circumstances of the time which prompted that decision. Therefore, Saudi Arabia or any other country prohibiting women to drive does not mean it is religious or it can not be changed, its just a matter of circumstances.
 
Yes, mingling kwa mwanamme na mwanamke hairuhusiwi kabisa ambae kwa kisheria unaweza kumuoa au kuolewa nae ili mradi kisha balehe na awe ni umri wowote ule. Even in public places, why should you mingle?

Hizo statistics ulizoziona nionyeshe crime rate ya nchi moja katika hizo ambayo crime rate yake iko chini na nchi inayofata Sharia.

Kuhusu Sudan, hakuna Sharia na huyo mwanamke uliyesema adhabu yake ni kifo tu iwepo au isiwepo Sharia, mradi kuna waislam basi hukumu ni hiyo tuu. Waislam hatuchezi na mtu anaetukana mitume, awe Muhammad, au Issa au Ibrahim, mitume yote sisi tunaiheshimu na sio ya kufanyiwa utani.

Kuhusu hili la huyu mwanamke mzee kukutwa na vijana wawili wa kiume peke yao, hilo ni kosa, na umri usihusishwe kwani mwanamke au mwanamme wa miaka 75 wana matamanio na wanaweza wa kafanya ngono kama umri mwingine wowote ule.

Subject ni, jee hukumu ya Sharia ni viboko kwa kosa hilo? age does not matter. Mimi nimesema sijui hukumu ya Sharia kwa kosa hilo, lakini kama Sharia au Sheria imetumika, yote ni sawa kabisa. Kwani ukiwa katika nchi ya watu lazima ufuate Sharia au sheria zao.

Halafu bado mnashangaa kwa nini watu wanaona hata vitu kama Mahakama ya Kadhi kuwa ni mwanzo mbaya? Kama nyinyi mnaosema Sharia ndiyo inayosema mtu mzima achapwe viboko kwa kukaa sebuleni na watu wanaoweza kumuoa ndio mnaodai Mahakama ya Kadhi, nani asiye wa dini yenu atawakubalia?

Usiwe mvivu. Seychelles na Montserrat zina crime rate chini ya Qatar na Maldives. Saudi Arabia, hao watetezi wakubwa wa Sharia ni wa 48 kayika nchi 82 zilizomo katika hesabu hizi!

Nimekueleza Sudan Sharia imeingizwa mwaka 1983 na wewe unabisha! Fuata ushauri wako na nenda ka-google ili uelimike. Kilichofanyika baada ya makubaliano ya amani ni kuwaondoa wasio waislamu katika wigo la sharia. Lakini bado ni kosa la jinai kwa muislamu kuslimu na kuingia ukristu wakati ni ruksa kwa mkristu kuingia uislamu.

Hakuna ulazima kufuata sheria gandamizi hata kama zinatokana na Sharia, biblia au bunge. Blind obedience itatupeleka kubaya.
 
Dhihaka na matusi, yote hutolewa na watu imani yao haina muongozo. Zinaletwa aya, wanaleta matusi. Lakini sishangai, hata Mitume wa Allah (SW) walifanyiwa kejeli na kutukanwa, Mitume hao ni kama Daud (AS), Musa (AS), Yesu (AS) na Muhammad (SAW), hivyo sishangai leo Mtindio wa Ubongo anaponitukana kuwa nitaokota makopo, sababu ukiwa ndani ya Haki siku zote unatukanwa na wasio ndani ya haki ili kujaribu kukupotosha. Yesu (AS) naye aliwahi kutukanwa na watu kama hawa wakina Mtindio wa Ubongo, hivyo tabia zao ni zile zile toka zamani mpaka leo,

Wakamjibu, tulitamka sawa tuliposema kuwa wewe ni Msamaria na tena umepagawa na pepo. Yesu akawajibu, "Sina pepo". Mimi namheshimu Baba yangu bali ninyi mnanivunjia heshima yangu" (Yohana 8:48-49).

Bua ha ha ha..

Sijakwambia nina shida ya ayat wala HAYA. Hizo ayat hata mimi naweza sana kuzimuvusisha, hivyo usijione mahiri kwa kazi isiyo tija. Challange nilokupa umechemsha unabaki kuwayawaya kama hondohondo.

Challenge nilikupa ni hii: THIBITISHA KUWA KORAN INATOKA KWA MUNGU. FULL STOP.
 
Wala sijatoa aya na kusema mimi ni mahiri, unanilisha maneno nisiyojisifia. Waislamu tunakatazwa kujisifu sifu. Kuhusu uthibitisho, vunja aya nilizotoa kuwa si kweli. Usigeuze mada eti nikuthibitishie Quran inatoka kwa Mungu. Nimetoa aya kwa Biblia na Quran, toa nawe aya kupinga hizo aya zilizotolewa.
 
Halafu bado mnashangaa kwa nini watu wanaona hata vitu kama Mahakama ya Kadhi kuwa ni mwanzo mbaya? Kama nyinyi mnaosema Sharia ndiyo inayosema mtu mzima achapwe viboko kwa kukaa sebuleni na watu wanaoweza kumuoa ndio mnaodai Mahakama ya Kadhi, nani asiye wa dini yenu atawakubalia?

Usiwe mvivu. Seychelles na Montserrat zina crime rate chini ya Qatar na Maldives. Saudi Arabia, hao watetezi wakubwa wa Sharia ni wa 48 kayika nchi 82 zilizomo katika hesabu hizi!

Nimekueleza Sudan Sharia imeingizwa mwaka 1983 na wewe unabisha! Fuata ushauri wako na nenda ka-google ili uelimike. Kilichofanyika baada ya makubaliano ya amani ni kuwaondoa wasio waislamu katika wigo la sharia. Lakini bado ni kosa la jinai kwa muislamu kuslimu na kuingia ukristu wakati ni ruksa kwa mkristu kuingia uislamu.

Hakuna ulazima kufuata sheria gandamizi hata kama zinatokana na Sharia, biblia au bunge. Blind obedience itatupeleka kubaya.

Soma vizuri post yangu, usitie matamshi yako kinywani mwangu, hakuna pahala niliposema hukumu ya Sharia imetumika au imesema ku-mingle adhabu yake ni viboko. Ukisoma vizuri post yangu utaona kuwa nimesema sijui hukumu ya hilo kwa Sharia. Nimesema kama Sharia au sheria imetumika basi ni sawa kwani ukiwa nchi ya watu ufate Sharia au sheria zao. Naomba soma vizuri post yangu kabla hujakurupuka.

Qatar na Maldives hawafati Sharia.

Sudan haifati Sharia.

Saudi Arabia inaweza ikawa hata zaidi ya 48, kwani Saudi Arabia wageni ni wengi kuliko wenyeji na, kwa mfano hata huyo mwanamke aliyecharazwa utaona kuwa si m-Saudi. Majority ya crimes za Saudi Arabia zinakuwa commited na foreigners zaidi kuliko wa-Saudi wenyewe. Kumbuka, sisemi kuwa wa Saudi hawafanyi crime nasema ni wachache.
 
Siwezi kujadili ayat za charlatan, tena ngumbaru, Mwamedi, ambaye ni IMPOSTOR. Ni upotevu wa wakati wangu na ku-insult intelligence yangu. Siwezi jadili vitu visivyo na credential . Ili Koran yako tuianze kuijadili inabidi kwanza uithibitishie hadhira hii ya JF ya kuwa ni kitabu cha Mungu, kinyume na hivyo basi, itabidi uendelee kuijadili na watu kama akina Daresalamu, Pasta wa Wapoteao, nk,maana hao hawajui kuwa hawajui, kama wewe. Thats was for the case of KORAN (the manuscropt of Mwamedi)

Secondly, kama nilivyoongelea hapo juu, si haki na ni uonevu wa kutisha, kwamba watu wanaadhibiwa kwa kupitia kisingizio cha 'Koran imesema', pasi na kwanza kujiridhisha kuwa Koran imetoka kwa Mwenyezi Mungu, au la. Mwamedi introduced as to the Koran, which he claims, to be from God, but God never introduced us to Mwamedi, ONLY Mwamedi introduced himslef to us, forcibly and by SWORD.

Hivyo basi hamna connection baina ya
1)Mwenyezi Mungu--- Koran, na
2) Mungu --- Mwamedi.

Connection pekee tuionayo ni Mwamedi --- Koran.

Sasa sijui kama unaona tatizo hapa. Hivyo basi, ndio maana nimekutaka uoneshe connection #1) au #2) au both. Umeshindwa, unabakia kulialia kama kifaranga kilichokosa nyonyo.
 
Nimefata ushauri wako wa ku-google, na haya ndio niliyoyakuta:

SEARCH ALL

FACTS & STATISTICS Advanced view

Search encyclopedia, statistics and forums:

(* = Graphable)

SOURCE
Seventh United Nations Survey of Crime Trends and Operations of Criminal Justice Systems, covering the period 1998 - 2000 (United Nations Office on Drugs and Crime, Centre for International Crime Prevention)
DEFINITION
Total recorded intentional homicides, completed. Crime statistics are often better indicators of prevalence of law enforcement and willingness to report crime, than actual prevalence. Per capita figures expressed per 1,000 population.

Crime Statistics - Murders (per capita) (most recent) by country

VIEW DATA:

Rank Countries Amount (top to bottom)
#1 Colombia: 0.617847 per 1,000 people
#2 South Africa: 0.496008 per 1,000 people
#3 Jamaica: 0.324196 per 1,000 people
#4 Venezuela: 0.316138 per 1,000 people
#5 Russia: 0.201534 per 1,000 people
#6 Mexico: 0.130213 per 1,000 people
#7 Estonia: 0.107277 per 1,000 people
#8 Latvia: 0.10393 per 1,000 people
#9 Lithuania: 0.102863 per 1,000 people
#10 Belarus: 0.0983495 per 1,000 people
#11 Ukraine: 0.094006 per 1,000 people
#12 Papua New Guinea: 0.0838593 per 1,000 people
#13 Kyrgyzstan: 0.0802565 per 1,000 people
#14 Thailand: 0.0800798 per 1,000 people
#15 Moldova: 0.0781145 per 1,000 people
#16 Zimbabwe: 0.0749938 per 1,000 people
#17 Seychelles: 0.0739025 per 1,000 people
#18 Zambia: 0.070769 per 1,000 people
#19 Costa Rica: 0.061006 per 1,000 people
#20 Poland: 0.0562789 per 1,000 people
#21 Georgia: 0.0511011 per 1,000 people
#22 Uruguay: 0.045082 per 1,000 people
#23 Bulgaria: 0.0445638 per 1,000 people
#24 United States: 0.042802 per 1,000 people
#25 Armenia: 0.0425746 per 1,000 people
#26 India: 0.0344083 per 1,000 people
#27 Yemen: 0.0336276 per 1,000 people
#28 Dominica: 0.0289733 per 1,000 people
#29 Azerbaijan: 0.0285642 per 1,000 people
#30 Finland: 0.0283362 per 1,000 people
#31 Slovakia: 0.0263303 per 1,000 people
#32 Romania: 0.0250784 per 1,000 people
#33 Portugal: 0.0233769 per 1,000 people
#34 Malaysia: 0.0230034 per 1,000 people
#35 Macedonia, The Former Yugoslav Republic of: 0.0229829 per 1,000 people
#36 Mauritius: 0.021121 per 1,000 people
#37 Hungary: 0.0204857 per 1,000 people
#38 Korea, South: 0.0196336 per 1,000 people
#39 Slovenia: 0.0179015 per 1,000 people
#40 France: 0.0173272 per 1,000 people
#41 Czech Republic: 0.0169905 per 1,000 people
#42 Iceland: 0.0168499 per 1,000 people
#43 Australia: 0.0150324 per 1,000 people
#44 Canada: 0.0149063 per 1,000 people
#45 Chile: 0.014705 per 1,000 people
#46 United Kingdom: 0.0140633 per 1,000 people
#47 Italy: 0.0128393 per 1,000 people
#48 Spain: 0.0122456 per 1,000 people
#49 Germany: 0.0116461 per 1,000 people
#50 Tunisia: 0.0112159 per 1,000 people
#51 Netherlands: 0.0111538 per 1,000 people
#52 New Zealand: 0.0111524 per 1,000 people
#53 Denmark: 0.0106775 per 1,000 people
#54 Norway: 0.0106684 per 1,000 people
#55 Ireland: 0.00946215 per 1,000 people
#56 Switzerland: 0.00921351 per 1,000 people
#57 Indonesia: 0.00910842 per 1,000 people
#58 Greece: 0.0075928 per 1,000 people
#59 Hong Kong: 0.00550804 per 1,000 people
#60 Japan: 0.00499933 per 1,000 people
#61 Saudi Arabia: 0.00397456 per 1,000 people
#62 Qatar: 0.00115868 per 1,000 people
Weighted average: 0.1 per 1,000 people

DEFINITION: Total recorded intentional homicides, completed. Crime statistics are often better indicators of prevalence of law enforcement and willingness to report crime, than actual prevalence. Per capita figures expressed per 1,000 population.

SOURCE: Seventh United Nations Survey of Crime Trends and Operations of Criminal Justice Systems, covering the period 1998 - 2000 (United Nations Office on Drugs and Crime, Centre for International Crime Prevention)
 
Siwezi kujadili ayat za charlatan, tena ngumbaru, Mwamedi, ambaye ni IMPOSTOR. Ni upotevu wa wakati wangu na ku-insult intelligence yangu. Siwezi jadili vitu visivyo na credential . Ili Koran yako tuianze kuijadili inabidi kwanza uithibitishie hadhira hii ya JF ya kuwa ni kitabu cha Mungu, kinyume na hivyo basi, itabidi uendelee kuijadili na watu kama akina Daresalamu, Pasta wa Wapoteao, nk,maana hao hawajui kuwa hawajui, kama wewe. Thats was for the case of KORAN (the manuscropt of Mwamedi)

Secondly, kama nilivyoongelea hapo juu, si haki na ni uonevu wa kutisha, kwamba watu wanaadhibiwa kwa kupitia kisingizio cha 'Koran imesema', pasi na kwanza kujiridhisha kuwa Koran imetoka kwa Mwenyezi Mungu, au la. Mwamedi introduced as to the Koran, which he claims, to be from God, but God never introduced us to Mwamedi, ONLY Mwamedi introduced himslef to us, forcibly and by SWORD.

Hivyo basi hamna connection baina ya
1)Mwenyezi Mungu--- Koran, na
2) Mungu --- Mwamedi.

Connection pekee tuionayo ni Mwamedi --- Koran.

Sasa sijui kama unaona tatizo hapa. Hivyo basi, ndio maana nimekutaka uoneshe connection #1) au #2) au both. Umeshindwa, unabakia kulialia kama kifaranga kilichokosa nyonyo.

Tatizo lako huiamini Quran, nikikuletea aya kuwa Quran ni maneno ya Mwenyezi Mungu lakini hiyo aya itoke ndani ya Quran utaamini?. Suala linabaki pale pale, zimetolewa aya toka kwa Quran na Biblia pia, hujajibu hata moja zaidi ya kuleta matusi. Jibu aya zilizotolewa.
 
Yaani unataka kuthibitisha Koran kwa kutumia Koran? Hii inawezekana ktk kichwa mtu mwenye mtindio pekee. Huwezi kuthibitisha madai kwa kutumia madai. Ndo maana sishangazwi na busara finyu iliyoionesha so far.
 
Sasa kama hutaki ushahidi wa Quran. Jaribu kujibu aya zilizotolewa toka kwa Quran na Biblia, usilete vioja. Manake kuna aya tayari zimetumwa huku, unazikwepa. Kama sio hivyo kwa leo nitaishia hapa, manake hujibu aya unaleta vioja.
 
Kioja ni wewe, uliyeshindwa kuonesha kuwa Koran ni kitabu cha Mungu, lakini bado unasubiria eti nijibu ayat za hichohicho kitabu cha Mwamedi, Bua ha ha ha....

Kaazi kwelikweli..
 
Nimefata ushauri wako wa ku-google, na haya ndio niliyoyakuta:

Haya tena. Hizi statistics zako ni za homicide tu. Haziunganishi ubakaji, unyang'anyi, madawa ya kulevya na kadhalika. Nilizokuwekea ni za crime in general. Nilifuata ulichosema, nanukuu "Tazama nchi zinazofata Sharia (sio sheria) ulinganishe na zinazofata sheria uone tofauti ya crime rates. (NO MATTER WHICH CRIME)".
Hizi statistics zako ni za mwaka 2000. Zangu ni za mwaka 2002.

Pamoja na yote hayo, katika nchi 30 zenye hesabu za mauaji ya chini kabisa ni nchi mbili tu ndizo zinazofuata Sharia. Tunisia (ya 50), Malaysia ( ya 34) na Indonesia ( ya 57) ingawa zina waislamu wengi hazitumii Sharia. Zilizobaki zinafuata sheria iliyokuwa based kwenye Judaeo Christian principles.

#30 Finland: 0.0283362 per 1,000 people
#31 Slovakia: 0.0263303 per 1,000 people
#32 Romania: 0.0250784 per 1,000 people
#33 Portugal: 0.0233769 per 1,000 people
#34 Malaysia: 0.0230034 per 1,000 people
#35 Macedonia, The Former Yugoslav Republic of: 0.0229829 per 1,000 people
#36 Mauritius: 0.021121 per 1,000 people
#37 Hungary: 0.0204857 per 1,000 people
#38 Korea, South: 0.0196336 per 1,000 people
#39 Slovenia: 0.0179015 per 1,000 people
#40 France: 0.0173272 per 1,000 people
#41 Czech Republic: 0.0169905 per 1,000 people
#42 Iceland: 0.0168499 per 1,000 people
#43 Australia: 0.0150324 per 1,000 people
#44 Canada: 0.0149063 per 1,000 people
#45 Chile: 0.014705 per 1,000 people
#46 United Kingdom: 0.0140633 per 1,000 people
#47 Italy: 0.0128393 per 1,000 people
#48 Spain: 0.0122456 per 1,000 people
#49 Germany: 0.0116461 per 1,000 people
#50 Tunisia: 0.0112159 per 1,000 people
#51 Netherlands: 0.0111538 per 1,000 people
#52 New Zealand: 0.0111524 per 1,000 people
#53 Denmark: 0.0106775 per 1,000 people
#54 Norway: 0.0106684 per 1,000 people
#55 Ireland: 0.00946215 per 1,000 people
#56 Switzerland: 0.00921351 per 1,000 people
#57 Indonesia: 0.00910842 per 1,000 people
#58 Greece: 0.0075928 per 1,000 people
#59 Hong Kong: 0.00550804 per 1,000 people
#60 Japan: 0.00499933 per 1,000 people
#61 Saudi Arabia: 0.00397456 per 1,000 people
#62 Qatar: 0.00115868 per 1,000 people
Unajua watu kama wewe ni hatari sana. Watu ambao mko tayari kukubali chochote ambacho mashehe wenu na maimamu wenu watakachodai kinaongozwa na Sharia. Unakiri kuwa haujui kama adhabu aliyopewa huyu mama imo kwenye Sharia lakini badala ya kudadisi mwenyewe unakubali maamuzi ya hao wanaojifanya wana namba ya simu ya Mwenyezi! Jielimishe kwanza kabla ya kupokea kila unachoambiwa.

Amandla.......
 
Wala sijatoa aya na kusema mimi ni mahiri, unanilisha maneno nisiyojisifia. Waislamu tunakatazwa kujisifu sifu. Kuhusu uthibitisho, vunja aya nilizotoa kuwa si kweli. Usigeuze mada eti nikuthibitishie Quran inatoka kwa Mungu. Nimetoa aya kwa Biblia na Quran, toa nawe aya kupinga hizo aya zilizotolewa.

Hivi bible huwa mnasoma ya nini wakati inaonyesha wazi kuwa Quran toka imetungwa hamjaielewa mpaka leo?!! Na kama mnasema Quran ndiyo kitabu cha mwisho chenye mambo yote, mimi nadhani hakuna sababu ya kuhangaika na bible. Mtu anayejiamini siku zote atasimamia kwenye msimamo wake na si kujifananisha na wenzake.
 
Soma vizuri post yangu, usitie matamshi yako kinywani mwangu, hakuna pahala niliposema hukumu ya Sharia imetumika au imesema ku-mingle adhabu yake ni viboko. Ukisoma vizuri post yangu utaona kuwa nimesema sijui hukumu ya hilo kwa Sharia. Nimesema kama Sharia au sheria imetumika basi ni sawa kwani ukiwa nchi ya watu ufate Sharia au sheria zao. Naomba soma vizuri post yangu kabla hujakurupuka.

Qatar na Maldives hawafati Sharia.

Sudan haifati Sharia.

Saudi Arabia inaweza ikawa hata zaidi ya 48, kwani Saudi Arabia wageni ni wengi kuliko wenyeji na, kwa mfano hata huyo mwanamke aliyecharazwa utaona kuwa si m-Saudi. Majority ya crimes za Saudi Arabia zinakuwa commited na foreigners zaidi kuliko wa-Saudi wenyewe. Kumbuka, sisemi kuwa wa Saudi hawafanyi crime nasema ni wachache.

In September 1983, Nimeiri issued several decrees, known as the September Laws, that made the sharia the law of the land. In November the People's Assembly approved without debate legislation to facilitate the implementation of the sharia. These bills included the Sources of Judicial Decisions Bill, mentioned above, and a new penal code based on hudud.

The imposition of Islamic law was bitterly resented by secularized Muslims and the predominantly non-Muslim southerners. The enforcement of hudud punishments aroused widespread opposition to the Nimeiri government. Several judges who refused to apply the sharia were summarily dismissed. Their replacements, men with little or no legal training but possessing excessive zeal for the strict application of hudud, contributed to a virtual reign of terror in the court system that alienated many devout Muslims, including Sadiq al Mahdi, great-grandson of the religious ruler who defeated the British in 1885. By early 1985, even Turabi believed it was time to disassociate the Muslim Brotherhood from Nimeiri's vision of Islamic law. He resigned as attorney general and was promptly arrested.

Following Nimeiri's overthrow in April 1985, imposition of the harshest punishments was stopped. Nevertheless, none of the successor governments abolished Islamic law.

Nimeitoa hapa:Sudan - THE LEGAL SYSTEM

Bado utadai Sudan haifuati Sharia? Kwako wewe nchi inayofuata sheria ni Saudi tu?

Unasema wanaofanya uhalifu Saudi Arabia ni wageni tu. Je hao wa Saudi wanaobaka wafanyakazi wao wakike wakifilipino nao ni wageni? Je hao waSaudi waliombaka yule binti wa al-Qateef aliyebakwa mande mwaka 2006 ( angalia hapa: Saudi court ups punishment for gang-rape victim - CNN.com) nao walikuwa wamefoji bali walikuwa wageni? Ni kawaida wageni kuwasingizia wageni kwa maovu yote. Saudi Arabia hawana tofauti.

Utateteaje kitu ambacho haukijui? Utasemaje, wewe ambae bila shaka unajiona ni muumini safi, kuwa haujui kama hii adhabu iko kwenye Sharia au sheria? Unashindwa nini kusoma kitabu chako kitakatifu ili ujue ukweli uko wapi? Ni watu kama wewe ambao wanakubali kujitoa mhanga wanapoambiwa na mashehe uchwara kuwa peponi zawadi yao ni mabikira!

Amandla........
 
Haya tena. Hizi statistics zako ni za homicide tu. Haziunganishi ubakaji, unyang'anyi, madawa ya kulevya na kadhalika. Nilizokuwekea ni za crime in general. Nilifuata ulichosema, nanukuu "Tazama nchi zinazofata Sharia (sio sheria) ulinganishe na zinazofata sheria uone tofauti ya crime rates. (NO MATTER WHICH CRIME)".
Hizi statistics zako ni za mwaka 2000. Zangu ni za mwaka 2002.

Pamoja na yote hayo, katika nchi 30 zenye hesabu za mauaji ya chini kabisa ni nchi mbili tu ndizo zinazofuata Sharia. Tunisia (ya 50), Malaysia ( ya 34) na Indonesia ( ya 57) ingawa zina waislamu wengi hazitumii Sharia. Zilizobaki zinafuata sheria iliyokuwa based kwenye Judaeo Christian principles.

Unajua watu kama wewe ni hatari sana. Watu ambao mko tayari kukubali chochote ambacho mashehe wenu na maimamu wenu watakachodai kinaongozwa na Sharia. Unakiri kuwa haujui kama adhabu aliyopewa huyu mama imo kwenye Sharia lakini badala ya kudadisi mwenyewe unakubali maamuzi ya hao wanaojifanya wana namba ya simu ya Mwenyezi! Jielimishe kwanza kabla ya kupokea kila unachoambiwa.

Amandla.......

Hizo data unazopigia kelele mbona huziweki wazi tuzione? zangu nimekuwekea wazi hapo. Na hizo nchi unazosema, mfano, Malaysia na Tunisia hazifati Sharia. Hebu tueleze unatowa wapi kuwa nchi hizo zinafata Sharia? au kichwani mwako tu?

Ahsante sana kwa fikra yako uliyonipa ya nijielimishe kwanza, sasa nakuuliza wewe, jee wewe umejielimisha kuhusu uIslam au unabishana tu?
 
Nimeitoa hapa:Sudan - THE LEGAL SYSTEM

Bado utadai Sudan haifuati Sharia? Kwako wewe nchi inayofuata sheria ni Saudi tu?

Unasema wanaofanya uhalifu Saudi Arabia ni wageni tu. Je hao wa Saudi wanaobaka wafanyakazi wao wakike wakifilipino nao ni wageni? Je hao waSaudi waliombaka yule binti wa al-Qateef aliyebakwa mande mwaka 2006 ( angalia hapa: Saudi court ups punishment for gang-rape victim - CNN.com) nao walikuwa wamefoji bali walikuwa wageni? Ni kawaida wageni kuwasingizia wageni kwa maovu yote. Saudi Arabia hawana tofauti.

Utateteaje kitu ambacho haukijui? Utasemaje, wewe ambae bila shaka unajiona ni muumini safi, kuwa haujui kama hii adhabu iko kwenye Sharia au sheria? Unashindwa nini kusoma kitabu chako kitakatifu ili ujue ukweli uko wapi? Ni watu kama wewe ambao wanakubali kujitoa mhanga wanapoambiwa na mashehe uchwara kuwa peponi zawadi yao ni mabikira!

Amandla........

1) Ndio maana nikakwambia Sudan haifati Sharia, ungekuwa na Elimu japo kidogo tu ya uIslam ungelijuwa hili:

''Following Nimeiri's overthrow in April 1985, imposition of the harshest punishments was stopped''

Hicho ni kisehemu cha source yako ya information, napenda kukufahamisha kuwa ukifata Sharia huwezi kupunguza au kuzidisha hukumu yoyote, Kwa hicho tu, ina maanisha kuwa Sudan haifati Sharia. Uliza uelimishwe.

2) Unatia maneno yako katika kinywa changu, hakuna post hata moja niliyosema kuwa wa Saudi hawafanyi crime na nilitahadharisha hilo. Naomba quote nilichosema na usitie maneno yako kinywani mwangu, vipi wewe?
 
Back
Top Bottom