Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki

Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za Jengo hilo .
 
Mwaka jana Chadema walipokuja Mbalali Sauli Alichana kadi ya CCM na kupewa kadi mpya ya Chadema
Sijajua inahusianaje na dhuluma ya Sauli, kama unamaanisha kashurutishwa sababu ya kuchana kadi ya CCM una tatizo mahali, sababu waziri kazunguka mikoa kibao na anasikiliza kesi bila kuangalia sura wala chama.
 
Sasa kabla hujaniuliza mimi muulize Jerry kwamba wale maofisa wanaoidhinisha huu uchafu waliojazana ofisini kwake amewafanyaje (Majina yao ninayo)
Taifa linajengwa Kwa ushirikiano wa Mimi, wewe na yule.

Toa ushirikiano Kwa kuwataja hadharani na ushahidi ikiwa unao,

Hao Si wachumba zako Hadi ukae na Majina Yao kificho.
 
Taifa linajengwa Kwa ushirikiano wa Mimi, wewe na yule.

Toa ushirikiano Kwa kuwataja hadharani na ushahidi ikiwa unao,

Hao Si wachumba zako Hadi ukae na Majina Yao kificho.
Unayemsifia kila uchao hawajui?
 
Back
Top Bottom