Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Haya sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaiita Gemilang gari ya kimasikini wakati ina bei kuliko bus yoyote ya kichina? Gemilang hazichongwi Kenya bali zinakuwa manufactured Malaysia na kuwa assembled in Kenya n kampuni ya AVA.
Tofautisha ku assemble na manufacturing.
Acha stori basi Mwinuka aachiwe na nani ili ajulikane leo? Mwinuka yuko vizuri toka yuko Happynation...unazi wa team yako usikupofushe usione uhalisia.
Tava zimekuja vizuri kwakweliWazee kwa njia ya SONGEA-LINDI-DAR TAVAVIL hana mpinzani anazinyoosha basi zote kwa mara ya kwanza nafika ikwiriri saa 12:18 haijawahi kutokea tangu nipite hii njia lazima nitafika ikwiriri saa 1:30 hapa tunaitafuta kibiti soon Dar hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea FACTS mkuu tatizo sio mabasi TATIZO NI BARABARA ZETU ni uchafu tu,kipindi hicho unapanda Scandanavian Bus pale ilipokuwa ofisi ys mabasi ya kamata saa 10jioni upo Tunduma,mnavuka border mnatembea usiku kucha alfajiri mpo LUSAKA!1,siku hizi unabidi upoteze muda Tunduma kwa kulala pale;Windhoek to Katima Mulilo ni zidi ya 1400kms na bus linasafiri umbali huu kwa 17hrs,kikwazo kwetu miundo mbinu yetu bado sana,finish and kraal.
Tava zimekuja vizuri kwakweli
mahangaiko mkuu ila mimi nilikwenda kwa Sam ,Namibia miaka hiyo unakula bus pale Lusaka hadi Livingstone pale unakumbana na Intercape hadi Widhoek,safari salama na kwa kasi.We jamaa katika hangaika na maisha inawezekana tulikuwa pamoja, Enzi hizo Nina nguvu kweli ya kusafiri!
Nilishawahi kufika tunduma, nikitokea dar, saa 9.30, basi ilikuwa hood iliendeshewa na mzee flan machachari kuitwa mwang'onda, kuvuka upande wa Zambia naikuta Mkwema bus, nayo ilivuma Sana Enzi zile tawfiq ana basi ya Adidas, Lusaka tulifika saa saba usiku, kesho yake nikapande translux safari kwa madiba. Siku hizi haliwezekani kabisa Hilo jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa,Reina Tour,Kisbo hapana aisee. Sijui kama enzi zile walikua wanaacha hata moja,yaani kama gari maximum speed ni 160kph,naamini enzi zile walikua wanafuta kisahani. Kwa sasa sidhani kama itawezekana, speed limit na torch,naamini kwa sasa gari linalowahi ni lile lisilokua na vituo vingi vya kusimama bila sababu za msingi.Ligi kubwa ilikuwaga Kahama to Dar ....... kati ya City boy, Kisbo (ndege ya chini)na Reina Tour
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi amebaki Kisbo peke yake ndio mfalme wa barabara za kanda ya ziwa,[emoji119][emoji119] kwa mbaalii namuona Frester anaanza kuja juu.Daaa,Reina Tour,Kisbo hapana aisee. Sijui kama enzi zile walikua wanaacha hata moja,yaani kama gari maximum speed ni 160kph,naamini enzi zile walikua wanafuta kisahani. Kwa sasa sidhani kama itawezekana, speed limit na torch,naamini kwa sasa gari linalowahi ni lile lisilokua na vituo vingi vya kusimama bila sababu za msingi.
Na principal ya safari ni kuzingatia muda lakini mwendo standard na wa ustaarab. Wapo watu wana mbio sana lakini hawazingatii muda,nao huchelewa sana njiani. Kuzingatia muda ndiyo silaha kuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio Man Diesel inamwaga moto haswaa. Kwa njia yenye milima sana kuikamata inabidi ujipange sana.Mkuu nakubali nakubali hizi chuma huwa nyoko sana hata huyo Linyama akirudia tena anaweza kukaanga mashine yake....unataka kuniambia sauli ile benz imekaanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemilang za kuchonga kenya na engine 95 kawaida ifike hiyo bei? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi 2 af nahesabia 1
Gemilang ni gari za kimaskin zinazovumilia had mwisho wa marejesho ila matajir wote wanatumia vitu original kutoka uchinani.
Hiyo story ya ubungo na shekilango ni ya kipuuzi na huwa sijibu, ndo mana kwa wakongwe wa ligi tunaanza kuhesabaia kuanzia igumbilo had getin NSALAGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna basi inayoanzia shekilango huu ni uongo...gari zote zinatoka ubungo terminal pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemilang za kuchonga kenya na engine 95 kawaida ifike hiyo bei? Ungekuwa karibu ningekuzaba kofi 2 af nahesabia 1
Gemilang ni gari za kimaskin zinazovumilia had mwisho wa marejesho ila matajir wote wanatumia vitu original kutoka uchinani.
Hiyo story ya ubungo na shekilango ni ya kipuuzi na huwa sijibu, ndo mana kwa wakongwe wa ligi tunaanza kuhesabaia kuanzia igumbilo had getin NSALAGA
Sent using Jamii Forums mobile app
kisbo pekee aliyebaki anafanya vizuri kanda ya ziwa ni kangi lugola wa Kahama wengine wote cha mende,, wafalme wa Mwanza-Dar ni Allys, Tungiz na Happy nation hao wengine waliobaki hata wakifika ubungo saa 8 hawajaliSiku hizi amebaki Kisbo peke yake ndio mfalme wa barabara za kanda ya ziwa,[emoji119][emoji119] kwa mbaalii namuona Frester anaanza kuja juu.
Katika wapuuzi wa 2020 unaongoza wewe eti Gemilang ni ya kuchonga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha story za kijiweni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ati Gemilang ya kuchonga, pumbavu kabisa
View attachment 1352669 nimekusaidia kutoa ujinga na upumbavu wa body Gemilang zinachongwa Nairobi