kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi kubwa ilikuwaga Kahama to Dar ....... kati ya City boy, Kisbo (ndege ya chini)na Reina Tour
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimekuwa assembled na si kuchongwa kama unavyomaanisha....yani material ya body yanakuja yakiwa complete....wao wanaziunganisha tu na chassis hapo hapo kenya. Hiyo ni mechanism ya Gemilang ku expand in Africa wakaamua kushirikiana na AVA ya Kenya.Katoe ujinga wa mama yako kwanza.
Bongo hakuna gemilang original, zote za rungwe,sauli na tahmeed zimechongwa hapo nairobi, nilibishia kama ww baada ya kufanya research nikapata ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Plus Newforce ya Tunduma inaanzia nje pale Shekilango.Dar Lux, Kilimanjaro express, Dar express, Bm Coach za Arusha, Tungis, Frester zinaanzia Shekilango. Usijibu vitu ambavo huna uhakika navo
Katoe ujinga wa mama yako kwanza.
Bongo hakuna gemilang original, zote za rungwe,sauli na tahmeed zimechongwa hapo nairobi, nilibishia kama ww baada ya kufanya research nikapata ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kipindi ameanza route ya mbeya -dar hakuna basi ikiyokuwa inafuata kwakeSiku hizi amebaki Kisbo peke yake ndio mfalme wa barabara za kanda ya ziwa,[emoji119][emoji119] kwa mbaalii namuona Frester anaanza kuja juu.
Hakuna anayetia mguu kwa Allys kwa sasa njia ya Mwanzakisbo pekee aliyebaki anafanya vizuri kanda ya ziwa ni kangi lugola wa Kahama wengine wote cha mende,, wafalme wa Mwanza-Dar ni Allys, Tungiz na Happy nation hao wengine waliobaki hata wakifika ubungo saa 8 hawajali
Huku kuna baraka, na maning nice.. hatari tupu.
Hyu ndio mnyama wa Dar kigoma kwa sasa, sio Saratoga au adventure.. mnyama anatia timu saa saa 7 kasoro mbezi..[emoji2][emoji2][emoji2]
Al saedy kasandaMzukaaaaaa!!!!
Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go
Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio nakujuza
Barabara zote Tanzania zinaligi,ispokuwa ligi maarufu Tanzania ni ligi ya Dar Mbeya kwa miaka mingi ligi hi imeibuka kinara kuwa ligi ngumu kwakuwa gari lazima ziwe nzima na uwezo wa kukwea uwanda wa juu wa nchi
Tofaut na ligi ya Mwanza ambapo sehem kubwa ni tambarale
Ligi ya Mbeya hadi dar ni maarufu kwakuwa aina ya abiria pia wanataka gari zinazokimbia sana.pia abiria wengi wa njia hii ni wafanyabiashara wapo pia wa nchi jirani
Ili kunogesha ligi hi njia nzima kuanzia dar hadi Mbeya kuna makundi ya vijana wanabet waone nani atawahi kupita Kati ya sauli na Alsaedy hapa pesa huchangwa kama kamali
Pia ziko sehem nyingi bus inayowahi kupita dereva hukuta kijana mmoja anaechaguliwa yuko barabarani kwa ajili ya kumpa pesa yake ya ushindi kwa kuwahi kukatiza sehem husika
Zipo sehem unaweza kukuta vijana zaidi ya hamsini wamekaa wanasubiri waone kati ya Alsaedy na Sauli nani atawahi kukatiza hapa vocha zinatumika sana kuuliza sehem za nyuma zilikopita nani anaongoza
Hapa chini nitajaribu kuweka baadhi ya mikeka muone inavyokuwa inarepotiwa na mareporter wake
Date: 26.01.2020
Route:
Dar - Mikoa mbali mbali via Moro road
Reporter:
Specialist; James Jr Mp
Hali ya Hewa
Joto 27°C
High 31°C
Low 25 °C
Loc. Suka
1. KIDIA CVT 0542
Loc. Stop over
2. JET [emoji574][emoji574] DKP 0549
3. JMC DQP 0551
ina abiria robo bus...
4. Esther [emoji126][emoji126] 0554
. 5. Ally's 0555
6. Ally's 0556
7. KLM 0557 ipo nusu
8. BM 0557
9. Isamilo 0557
10. DEER 715 DPK 0558
11. Tungi's 0601
12. Abood 0603
13. Dada hepi 0604
14. Dar lux 0606
15. Dar lux 0606
Mdhamini
Kemebos a.k.a Kaizirege Polo na bendera ya CCM
Ubungo Bus Terminal
16. Masalu 0610
17. Ngasere 0612
18. Al saedy 0613
19. Al saedy 435DNN 0613
ROUTE: Mwanza to Mikoani
LOCATION: misigiri
REPORTER : Classic_boy_de_tz[emoji41]
DATE: 26 january 2020
WEATHER : Sunny[emoji940]
POSTED BY: TANZANIA BUSES DAILY
******************************
1. Asante rabi express [emoji1652]ATH 11:17
2 Allys star bus DQZ [emoji94]11:20
3. Tungiz express DPZ [emoji481]11:20
4. isamilo Express DPK [emoji93]11;24
5. mghamba express BZL [emoji1153] 11:28
6. kibo confidential [emoji1241] 11:35
7. nyehunge DPU 11:37
8. Isamilo Express DSB[emoji93] 11:37
9. abood polo 11:38[emoji1264]
From Dar Es Salaam To Southern Highland Zone
Iringa, Njombe, Mbeya, Tunduma, Songea, Sumbawanga & Lubumbashi
Day :: Sunday
Date :: 26th January 2020
Location :: Tazama Pipelines Iringa
Reporter :: #mimi
[emoji991][emoji991][emoji991] :: @
----------------------------------------------
1-CLASSIC-INT-COACH-AGUERO 13:30
2-GOLDEN-DEER-715-DPK-TNDM 13:41
3-SAULI-LUXURY-BUS-300-DRH-MBY 13:41
4-AL-SAEDY-HIGH-CLASS-437-DNN-MBY 13:44
5-MAJINJAH-SPECIAL-779-CSN-SWAX 13:44
6-MAJINJAH-SPECIAL-572-DDH-KYL14:00
7-SELOUS-EXPRESS-637-DNZ-SNGA 14:07
8-ABOOD-BUS-SERVICE-448-AYG-TNDM 14:12
9-GOLDEN-DEER- 14:12
10-NYAGAWA-SAFARI'S-220-DJQ-NJMB 14:12
----------------------------------------------
Posted by tzshb
Year 2020
View attachment 1335580View attachment 1335582View attachment 1335583
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hakamatiki
Masuki yupo dar express kumbeMbeya Boy Goodluck Mwinuka ananinuooshea DPK za kina Linyama daily,
Sauli ni moto wa kuotea mbali ziko tatu tu lakini anamnyanyasa muwekezaji (New Force na Golden Deer) hatari bado Majinjah ya Swax BUL inasumbua DMG hatari.
Ila hizo zote watoto mbabe wao ni Kangi Lugola DCJ Kisbo anawatafuna mbwa wa Shekilango wanaotoka 5:30am. Kuna Frester dpp ya Bukopa moto wa kuotea mbali ukija kaskazini kuna mkata shombo DPM zake Judica Mremi chini ya usimamizi wa Shaban Kikoti na Masuki, wakikaa mbele hawa watu sahau kuwakuta.
Ligi bado zipo japokua kuna vingamuzi lakini chuma bado zinapaa.
Anahangaika tu sasa ivi huyo tavaWazee kwa njia ya SONGEA-LINDI-DAR TAVAVIL hana mpinzani anazinyoosha basi zote kwa mara ya kwanza nafika ikwiriri saa 12:18 haijawahi kutokea tangu nipite hii njia lazima nitafika ikwiriri saa 1:30 hapa tunaitafuta kibiti soon Dar hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
30 years experience😀😀View attachment 1352669 nimekusaidia kutoa ujinga na upumbavu wa body Gemilang zinachongwa Nairobi