Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

Mwinuka hayupo kwny list ya wapiga mpini, ni chipukizi tu

Wakongwe kina rama wanajulikana miaka yote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee kwa njia ya SONGEA-LINDI-DAR TAVAVIL hana mpinzani anazinyoosha basi zote kwa mara ya kwanza nafika ikwiriri saa 12:18 haijawahi kutokea tangu nipite hii njia lazima nitafika ikwiriri saa 1:30 hapa tunaitafuta kibiti soon Dar hii hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tava zimekuja vizuri kwakweli
 
We jamaa katika hangaika na maisha inawezekana tulikuwa pamoja, Enzi hizo Nina nguvu kweli ya kusafiri!

Nilishawahi kufika tunduma, nikitokea dar, saa 9.30, basi ilikuwa hood iliendeshewa na mzee flan machachari kuitwa mwang'onda, kuvuka upande wa Zambia naikuta Mkwema bus, nayo ilivuma Sana Enzi zile tawfiq ana basi ya Adidas, Lusaka tulifika saa saba usiku, kesho yake nikapande translux safari kwa madiba. Siku hizi haliwezekani kabisa Hilo jambo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahangaiko mkuu ila mimi nilikwenda kwa Sam ,Namibia miaka hiyo unakula bus pale Lusaka hadi Livingstone pale unakumbana na Intercape hadi Widhoek,safari salama na kwa kasi.
 
Ligi kubwa ilikuwaga Kahama to Dar ....... kati ya City boy, Kisbo (ndege ya chini)na Reina Tour

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa,Reina Tour,Kisbo hapana aisee. Sijui kama enzi zile walikua wanaacha hata moja,yaani kama gari maximum speed ni 160kph,naamini enzi zile walikua wanafuta kisahani. Kwa sasa sidhani kama itawezekana, speed limit na torch,naamini kwa sasa gari linalowahi ni lile lisilokua na vituo vingi vya kusimama bila sababu za msingi.
Na principal ya safari ni kuzingatia muda lakini mwendo standard na wa ustaarab. Wapo watu wana mbio sana lakini hawazingatii muda,nao huchelewa sana njiani. Kuzingatia muda ndiyo silaha kuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi amebaki Kisbo peke yake ndio mfalme wa barabara za kanda ya ziwa,[emoji119][emoji119] kwa mbaalii namuona Frester anaanza kuja juu.
 

Katika wapuuzi wa 2020 unaongoza wewe eti Gemilang ni ya kuchonga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha story za kijiweni 🤣🤣🤣🤣🤣 ati Gemilang ya kuchonga, pumbavu kabisa
 

nimekusaidia kutoa ujinga na upumbavu wa body Gemilang zinachongwa Nairobi
 
Siku hizi amebaki Kisbo peke yake ndio mfalme wa barabara za kanda ya ziwa,[emoji119][emoji119] kwa mbaalii namuona Frester anaanza kuja juu.
kisbo pekee aliyebaki anafanya vizuri kanda ya ziwa ni kangi lugola wa Kahama wengine wote cha mende,, wafalme wa Mwanza-Dar ni Allys, Tungiz na Happy nation hao wengine waliobaki hata wakifika ubungo saa 8 hawajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…