SAUT Mnachelewesha boom bila sababu?. Angalia hapa.

Status
Not open for further replies.
Alafu hawa(udsm) wenye kudharau vyuo vingine , mimi naona boraa tuu wangekaa na kutafakari jinsi ya kuuanza huo mwaka wa masomo na sio kuleta majigambo na majivuno tuu,kumbkeni wengine o-level walikuwa vilaza sugu mtu kapigaiii.25,form six kapiga one leo anakuja kukejeli wenye div three tuweni wakimya jamani na tusijisifu

Umenena mkuu hao ndo wale waliopata C tatu za o'level ambazo hazina ushirikiano kwenye combination na kwenda kusoma A'level sasa wamejikakamua na kupata division 2 ndo wanajivuna kuwa wao ndo magenius.kazi kwelkwel
 
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.

Wewe sema tu waliofeli kumbuka hata walioko huko ud,mzumbe sua n,k wengine walitoka shule za private baada ya kufeli darasa la saba na hata form 4.

Hivi kwa akili yako serikali pekee ingeweza kuwa na vyuo vya kutosha kwa wanafunzi wote wanaomaliza form 6 na kutoka vyuoni.

Utaratibu wa vyuo binafsi uko hata huko ulaya walikopiga maendeleo kwenye kila kitu.

Acheni kukarii ud kwani hawana uwezo wa kuchukua wanafunzi wote na imebidi kisingizio kiwe ufaulu wa juu kama ilivyokuwa kwa bodi kwamba ili upate mkopo basi uwe na division 1 au 2.

Mataifa yaliyopiga hatua kielimu mtu mwenye principle 2 hakosi kupata elimu ya chuo kikuu.

Jiulize kama ilikuwa sahihi kwa miaka ya nyuma eti mtu ukiwa na division 2 hupati nafasi pale ud.Sasa unadhani hiyo ilikuwa ni sifa au kudumaza elimu.

Tatizo kwa miaka mingi ilikuwa ni kwa serikali kushindwa kuwekeza ktk elimu ya juu kama ilivyokuwa hata kwa elimu ya sekondari.Jilulize kama elimu ya sekondari ingekuwa ni jikumu la serikali pekee ni wangapi waliopo hapo ud wangekosa nafasi hiyo kwani kuna wengi wametoka shule za sekondari za private baada ya kukosa nafasi ktk shule za serikali na kuambiwa eti wamefeli kumbuka sababu ni kuwa walikosa nafasi.

Kumbuka bongo mtu ukikosa nafasi ktk shule au chuo unaonekana umefeli wakati ni uzembe wa kushindwa kuongeza vyuo na shule.

Ni swala la muda tu kabla hatujasikia baadhi ya vyuo vikuu binafsi kupanda chati na kuwa vyuo bora kabisa.

Kumbuka hata ud ilianza kwa kusuasua tu ukilinganisha na vyuo vingine vya nje kutokana na uchanga wake kwa wakati ule.
 
sababu za mkosaji
 
endeleeni kuishi kwa matumaini tu.
 
sababu za mkosaji
Tunajua roho zinawauma mlitaka graduates wawe wa ud,sua na mzumbe tu ili muendelee kujioana miungu watu.

Itafika wakati kuwa na degree litakuwa ni jambo la kawaida kama ilivyo ktk nchi za wenzetu.

Graduates hasa wa mlimani wamekuwa wakijiona sana kumbe tatizo lilikuwa ni uchache wa vyuo tu.

Mtaendelea kuumiaa roho na vyuo ndio vinazidi kuongezeka kila siku kama ilivyo katika nchi za wenzetu zilizopiga hatu kielimu.
 
hiyo dhambi ya kutosoma vyuo vikuu vya Taifa itakutafuna wewe mpaka kizazi chako cha 3,
 
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.
una utindio wa ubongo wewe sio bure wacha dharau za kitoto mpuuzi kabisa wacha nile ban ila sio ulete dharau zako hapa watu wanatafuta maisha kwa hudi na uvumba wewe unaleta fedheha hapa wacha wasome watapata kile wanachotafuta .wala haikuhusu
 
wanapoteza muda wao tu,mwishowe wataishia kuwa walimu na watendaji wa kata.
 
Tunajua roho zinawauma mlitaka graduates wawe wa ud,sua na mzumbe tu ili muendelee kujioana miungu watu.

Itafika wakati kuwa na degree litakuwa ni jambo la kawaida kama ilivyo ktk nchi za wenzetu.

Graduates hasa wa mlimani wamekuwa wakijiona sana kumbe tatizo lilikuwa ni uchache wa vyuo tu.

Mtaendelea kuumiaa roho na vyuo ndio vinazidi kuongezeka kila siku kama ilivyo katika nchi za wenzetu zilizopiga hatu kielimu.

ebu fikiria makampuni makubwa ya auditing kama ernest and young,pwc nk,kwa nini huwa hayaendi kurecruit wahitimu wa hvo vyuo vyenu mnavoviita vya private na kuishia kuchukua vipanga wa ud,mzumbe na udom?tafakari then chukua hatua..kuliko niwe na degree ya chuo chochote cha binafc cha hapa bongo bora niishie form 6 tu.
 
una utindio wa ubongo wewe sio bure wacha dharau za kitoto mpuuzi kabisa wacha nile ban ila sio ulete dharau zako hapa watu wanatafuta maisha kwa hudi na uvumba wewe unaleta fedheha hapa wacha wasome watapata kile wanachotafuta .wala haikuhusu

Ukweli unabaki pale pale najua roho inakuuma sana, pole sana,
 
Nani kasema udsm hakuna divisheni three? Zipooo kuna kozi udsm wamechukua mpaka division three anayebisha abishe tuuu
 
ebu fikiria makampuni makubwa ya auditing kama ernest and young,pwc nk,kwa nini huwa hayaendi kurecruit wahitimu wa hvo vyuo vyenu mnavoviita vya private na kuishia kuchukua vipanga wa ud,mzumbe na udom?tafakari then chukua hatua..kuliko niwe na degree ya chuo chochote cha binafc cha hapa bongo bora niishie form 6 tu.

Hembu nawe niambie ni kwanini kila siku tunachukua wataalamu kutoka nje wakati hao wa ud wapo.

Tembele miradi mingi na maofisi ya serikali uone tulivyojaza expert kutoka nje na sii hao wa ud.Sasa hao wa ud sijui uwezo mdogo au wamekariri tu mimi sijui.

Hivi tulivyowapa wazungu wa net solution kuendesha TANESCO nini maana yake kwa wale wa ud wa hapo TANESCO kwa wakati ule.

Na maamuzi hayo ya kuwapa uongozi wa shirika wazungu hao yalifanywa na graduates wa ud au wa vyuo binafsi.

Ukitafakari utendaji wa graduates wa ud kwa nchii hii utapata majibu mwenyewe ni kwanini hata kiwanda cha kutengeneza toothpick kimetushinda na badala yake tunaagiza toka nje ya nchi.
 
Ukweli unabaki pale pale najua roho inakuuma sana, pole sana,
na ndio sababu hatuendelei sababu ya akili kama hizi hivi watu wote tanzania wakasoma ud,udom,mzumbe sua hivi itakuwaje?????????sijui kama mnaliwaza hili au niushabiki wa empty set.msianze kutukana mamba kabla ya kuruka mto kumbukeni kuna watoto wenu,na ndugu zenu je wakakosahivyo vyuo mtafanyaje ?kumbukeni siku hizi hujichagulii chuo kama enzi zetu za kushinda kwa matriculation sasa hivi unachaguliwa na tcu so wadogo zangu/kaka /dada zangu kuweni makini msiwe wabinafsi wakujiona mko sahihi kukashifu vyuo still mna watoto,wajukuu,vitukuu ndugu zenu wa damu mmepata we still have long run to go am perfect sure on what am talking about
my intake :usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
ebu fikiria makampuni makubwa ya auditing kama ernest and young,pwc nk,kwa nini huwa hayaendi kurecruit wahitimu wa hvo vyuo vyenu mnavoviita vya private na kuishia kuchukua vipanga wa ud,mzumbe na udom?tafakari then chukua hatua..kuliko niwe na degree ya chuo chochote cha binafc cha hapa bongo bora niishie form 6 tu.
na ndio sababu hatuendelei sababu ya akili kama hizi hivi watu wote tanzania wakasoma ud,udom,mzumbe sua hivi itakuwaje?????????sijui kama mnaliwaza hili au niushabiki wa empty set.msianze kutukana mamba kabla ya kuruka mto kumbukeni kuna watoto wenu,na ndugu zenu je wakakosahivyo vyuo mtafanyaje ?kumbukeni siku hizi hujichagulii chuo kama enzi zetu za kushinda kwa matriculation sasa hivi unachaguliwa na tcu so wadogo zangu/kaka /dada zangu kuweni makini msiwe wabinafsi wakujiona mko sahihi kukashifu vyuo still mna watoto,wajukuu,vitukuu ndugu zenu wa damu mmepata we still have long run to go am perfect sure on what am talking about,nakuombea maisha marefu upate kuwaona ndugu zako jamaa wakisoma hivyo vyuo nakufanikiwa kabisa,there ull prove me right
my intake :usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
umenena mkuu hao ndo wale waliopata c tatu za o'level ambazo hazina ushirikiano
dogo pora nina choongea nina ushahidi nacho kuna watu walikuwa wana division three(22-25) o-level wapo udsm kozi za llb,pspa,sociology alafu wana kuja kukuejeli wenye three wee angalia vijishule walivyosomea advance utajua tuu
 
Hembu nawe niambie ni kwanini kila siku tunachukua wataalamu kutoka nje wakati hao wa ud wapo.

Tembele miradi mingi na maofisi ya serikali uone tulivyojaza expert kutoka nje na sii hao wa ud.Sasa hao wa ud sijui uwezo mdogo au wamekariri tu mimi sijui.

Hivi tulivyowapa wazungu wa net solution kuendesha TANESCO nini maana yake kwa wale wa ud wa hapo TANESCO kwa wakati ule.

Na maamuzi hayo ya kuwapa uongozi wa shirika wazungu hao yalifanywa na graduates wa ud au wa vyuo binafsi.

Ukitafakari utendaji wa graduates wa ud kwa nchii hii utapata majibu mwenyewe ni kwanini hata kiwanda cha kutengeneza toothpick kimetushinda na badala yake tunaagiza toka nje ya nchi.
hahahahahahahahahaahahahahaahah kwikwi kwikwikwiwkwiwkwiwiwwkwkwiiiiiiiiiiiiiiii
 
na ndio sababu hatuendelei sababu ya akili kama hizi hivi watu wote tanzania wakasoma ud,udom,mzumbe sua hivi itakuwaje?????????sijui kama mnaliwaza hili au niushabiki wa empty set.msianze kutukana mamba kabla ya kuruka mto kumbukeni kuna watoto wenu,na ndugu zenu je wakakosahivyo vyuo mtafanyaje ?kumbukeni siku hizi hujichagulii chuo kama enzi zetu za kushinda kwa matriculation sasa hivi unachaguliwa na tcu so wadogo zangu/kaka /dada zangu kuweni makini msiwe wabinafsi wakujiona mko sahihi kukashifu vyuo still mna watoto,wajukuu,vitukuu ndugu zenu wa damu mmepata we still have long run to go am perfect sure on what am talking about
my intake :usitukane mamba kabla hujavuka mto!

Tumeshasema sisi watoto wetu bora waishie form six kuliko kwenda vyuo wamejaa wanyoa viduku
 
ficha upumbavu wako usifiche hekima yako!!!!!!!!

Hakuna cha Invicible wala nani, vyuo vya wanyoa viduku tunavipiga vita kwa sana, toka vyuo viongezeke spirit ya vijana kupigania masilahi ya taifa hakuna! Usicheze na udsm! Ogopa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom