SAUT Mwanza yasimamisha wanafunzi 8!

Hapo kwenye red unafahamu maana ya kosa la jinai? Katika kosa la jinai mlalamikaji ni nani?
 
Unajua kuna discontinue na disqualified!! Discontinue unarudia mwaka!! But disqualified ndo inakubidi ukae kitaa miaka mitatu,zen kaombe chuo chochote tena kwa tz! But kama mshua yuko njema waweza soma nje!! So hawa jamaa wame discontinue!!!
acha uongo ukidisco hurudii mwaka mwaka labda vyuo vya kata.
 

Hata mimi dogo kaniambia!! Saut hawana pesa, hadi VC ka resign
 
Sasa mnalalamikia nini?.......
Siku zote Vyuo vikuu Mwanafunzi akikamatwa na chochote kisichohitajika kwenye mtihani no debate, Ni Kuwa Discontinued!!.
Wasiofaa wasivumiliwe!!.
 
mnaongea ya kweli na ya uongo. msitie chumvi ulizeni waliosoma au wanaosoma sasa. nlikua pale 2008/2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…