okaoni
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 1,471
- 1,303
Hapo kwenye red unafahamu maana ya kosa la jinai? Katika kosa la jinai mlalamikaji ni nani?Kuibia mtihan nikosa la jinai na adhabu yake ni kufukuzwa chuo na kufungiwa masomo miaka 5. Achen siasa kile chuo kizur sana kinatenda ipasavyo hata kama ungekuwa ifm au udsm hata chuo chochote wangefukuzwa tu ndo sheria nyie mnataka ubabaishaji. Afu suala la ada nan alokwambia chuon kuna bagain ya ada hamna shukuran kunachuogan cha private kinalipa ada ndogo kama saut au mnaongea t.mnajua ada ya arusha university ilivyokubwa na michango mingne ya ziada na maxngra magum ya kusomea. Na hakunachuo kinachoruhusu kudanya mtihan kama hujamaliza ada hata 100 labda vya serikali.achen kuingia na vbut serious in studying.