Sauti kutoka Butiama: Haya ni "kansa" kwa Taifa letu, Mkiziba masikio, tunagota!

Tukijirekebisha tunaweza tusifike huko
Nchi nyingi zimepita njia hiyo.
Kwa level za kiburi cha hawa watawala wetu weusi hatuwezi kuikwepa!
Na tukiikwepa itatusumbua as we go...!
 
Katafute kazi upate ela ya kula sio kulia lia vitu vumepanda bei

Sasa ukipata kazi huo mshahara utakufikisha wapi na huu mfumuko wa bei? Au huelewi athari za mfumuko wa bei kuwa unapunguza thamani ya pesa kwani kwa sababu ya bei kupanda unapata bidhaa chache kuliko kabla ya bei kupanda!!
 
Ndugu waTz wengine wana kejeli sana, Mimi naandika hoja. Yeye anasema nitafute hela ya kula, niache kulalamika bei juu. Inashangaza sana.
 
Nchi nyingi zimepita njia hiyo.
Kwa level za kiburi cha hawa watawala wetu weusi hatuwezi kuikwepa!
Na tukiikwepa itatusumbua as we go...!
Ni njia mbaya sana. Hasa ktk karne ya 21.
Mazonge yake hayaishi.
Misri, Sudan, Uganda, Rwanda, Guinea, Mali, Togo, n.k zote hazijatulia..
 
Ndugu waTz wengine wana kejeli sana, Mimi naandika hoja. Yeye anasema nitafute hela ya kula, niache kulalamika bei juu. Inashangaza sana.
Watawala ndio wanawapenda watu wa namna hiyo; wapumbavu!!!
 
Tatizo kubwa lipo hapo..
Watu woote wanatakiwa kuwa na mawazo ya aina moja, akili mgando!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…