Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Poleni sana ndugu zangu wachagga najua inauma na itawaumiza sana Chato kuwa mkoa kabla ya Moshi kuwa jiji lakini tambueni kwamba vigezo vya sehemu kuwa mkoa sio sawa na vile kuifanya sehemu kuwa jiji na ndio maana majiji yapo matano ila mikoa ipo 26.
Niende kwenye mada baada ya salamu za utangulizi. Leo hii nimekuja na sauti kutoka ndani ambazo muasisi wake ni Pascal kwa hapa JF ambaye hutumia neno la kimombo 'voices from within' lakini ukweli sauti hizi huwa ni za kweli usipozitilia mashaka yoyote.
Kuna sauti kutoka ndani inaniambia ziara ya mama yetu ,Rais wetu mpendwa mkoani Geita kuanzia siku ya kesho itaambatana na tukio la shangwe kuu nalo ni mkoa mpya wa Chato. Hivyo hesabu itasomeka hivyo.
Napenda kuwasilisha sauti hii ninayoisikia imenitesa sana mpaka kuisema hapa nimetua mzigo mzito masikioni
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Samia.