Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).

Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache wanaoweza kugundua kwani mambo haya huja kwa namna ya usiri mkubwa.

Sauti soul wametoa wimbo wao uitwao "THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.

Sasa kwanini wametunga wimbo huu? Hiyo ni siri yao.Msione umaarufu wao unaongeza siku hadi siku mkazani ni bure bure. There is something going on between these guys and the Dark world.

Watch out guys! Si kila kitu ni cha kusikiliza na kutazama. Others are too demonic. Picha ya wimbo wenyewe inasadifu kila kitu nilichokieleza.


download.jpg

Huo mwezi hapo kwenye picha una maana kubwa sana​
 
THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.

Jr[emoji769]
 
Usipoteze muda wako kutaka kujua watu wanapata vipi umaarufu na pesa, wewe poteza muda kutafuta pesa na umaarufu kama unautaka
Ndio maana unaona nimekuja baada ya huu uzi.ningeanzisha uzi special kwa hilo ungehoji kwanini napoteza muda.
 
Hilo treni umewahi kupanda? Huwa linapitia reli ipi? Kwa hapa bongo vituo vyake ni vipi? Unaweza kutupa orodha ya watu waliowahi kupakia misukule humor? Wakati huo ulikuwa wapi na ukifanya mini?

Mwanasanaa ni lazima kuwa mbunifu na usichanganye sanaa na imani. Msanii anaweza kujipa jina ambalo halisadifu wasifu wake. Vile vile majina ya kazi hupewa na msanii mwenyewe kisanii na sio kwa mlengo huo.
 
Back
Top Bottom