Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
- Thread starter
- #101
Hivyo ndivyo unavyoamini ww.Ila sisi tunaamini kuwa Freemason wapo.Hakuna Freemason, ni Idea ya kutungwa tu kama ilivyo habari ya Vampires na Aliens
Ujinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo ndivyo unavyoamini ww.Ila sisi tunaamini kuwa Freemason wapo.Hakuna Freemason, ni Idea ya kutungwa tu kama ilivyo habari ya Vampires na Aliens
Ujinga tu
Thibitisha uwepo wao hapaHivyo ndivyo unavyoamini ww.Ila sisi tunaamini kuwa Freemason wapo.
Siku zote shetani anawafuasi wengi . Treni linaendelea kupata abiria wa kutosha.nakuombea upate kazi ya kufanya uwache kuchunguza maisha ya watu usiwe mtu wa kuhukumu watu kwa yale unaoyaona kuwa mtoto wa kiume bana
Kwa hyo Tukusaidiaje?Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).
Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache wanaoweza kugundua kwani mambo haya huja kwa namna ya usiri mkubwa.
Sauti soul wametoa wimbo wao uitwao "THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.
Sasa kwanini wametunga wimbo huu? Hiyo ni siri yao.Msione umaarufu wao unaongeza siku hadi siku mkazani ni bure bure. There is something going on between these guys and the Dark world.
Watch out guys! Si kila kitu ni cha kusikiliza na kutazama. Others are too demonic. Picha ya wimbo wenyewe inasadifu kila kitu nilichokieleza.
View attachment 1469992
Huo mwezi hapo kwenye picha una maana kubwa sana
Wewe jamaa muongo sanaTHE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.
Jr[emoji769]
kwani hii picha si mtu kapewa kazi ya kudesignUlimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).
Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache wanaoweza kugundua kwani mambo haya huja kwa namna ya usiri mkubwa.
Sauti soul wametoa wimbo wao uitwao "THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.
Sasa kwanini wametunga wimbo huu? Hiyo ni siri yao.Msione umaarufu wao unaongeza siku hadi siku mkazani ni bure bure. There is something going on between these guys and the Dark world.
Watch out guys! Si kila kitu ni cha kusikiliza na kutazama. Others are too demonic. Picha ya wimbo wenyewe inasadifu kila kitu nilichokieleza.
View attachment 1469992
Huo mwezi hapo kwenye picha una maana kubwa sana
Shetani hufanya kazi yake kupitia watu km ambavyo Mungu hutumia watu pia. We ulitegemea achore shetani mwenyewe ndo uamini? Siku zote shetani anataka msiamini km yupo ndio maana anatumia mazingira ambayo ni vigumu mtu wa kawaida kuelewa. Only spiritual people can understand.kwani hii picha si mtu kapewa kazi ya kudesign
wenda walipewa design tofautitofauti wao wakapenda hii au🙂🙂🙂
Inakubidi uachage na Ujinga..! Inaonesha hata nyimbo hukuielewa.Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).
Nguvu ya roho wa Mungu hutoa yale ya ki Mungu na ya roho mchafu hutoa matunda ya kishetani. Ni wachache wanaoweza kugundua kwani mambo haya huja kwa namna ya usiri mkubwa.
Sauti soul wametoa wimbo wao uitwao "THE MIDNIGHT TRAIN". Kwa tulipata neema ya kuyajua mambo ya kiroho, hili ni garimoshi la wachawi na jamii za siri za kishetani km Freemasons ambao hulitumia kwa ajili ya kwenda kuzimu kufanya mambo yao. Pia treni hili hutumika na wachawi kusafirishia Misukule.
Sasa kwanini wametunga wimbo huu? Hiyo ni siri yao.Msione umaarufu wao unaongeza siku hadi siku mkazani ni bure bure. There is something going on between these guys and the Dark world.
Watch out guys! Si kila kitu ni cha kusikiliza na kutazama. Others are too demonic. Picha ya wimbo wenyewe inasadifu kila kitu nilichokieleza.
View attachment 1469992
Huo mwezi hapo kwenye picha una maana kubwa sana
Ulimwengu unaoonekana unaongozwa na ulimwengu usionekana kwa 100%.( Spiritual realm).

The Bible says"My people are perishing because of their ignorance".Hosea 4:6"Midnight Train"
Steady rocking on the midnight train
Steady rocking on the midnight train
Oh, Lord, steady rocking on the midnight train
To Zion, to Zion
Hii maisha ni safari
Tunapita kama moshi
Na kabla tuzame mchangani
Kuna kushinda na kufeli oh
Inabidi ujijue tofauti ya mwalimu na mwanafunzi
Ni ujuzi na ujuaji
Oh it's unbelievable
That we make it this far
Undeniable
We see the promised land from afar
And it's so beautiful
No they can't touch the fire
And you know it's not in vain
We steady tripping through the pain
Steady rocking on the midnight train
Steady rocking on the midnight train
Oh, Lord, steady rocking on the midnight train
To Zion, to Zion
Siku zazidi badilika
Mengi Yazidi kunipita jamani oh no
Maji yalipozidi unga
Hawakudhani tutafika fika
It's unbelievable
That we made it this far
Undeniable
To see the promised land from afar
So beautiful
They gon' know who we are
Keep on walking in the rain
Kuna blessings in the pain
Steady rocking on the midnight train
Steady rocking on the midnight train
Oh, Lord, steady rocking on the midnight train
To Zion, to Zion
It's a narrow road to Zion
Nothing will ever deny us
Whatever it takes keep on walking
Whatever it takes keep on moving
To Zion, to Zion, to Zion
Steady rocking on the midnight train
Steady rocking on the midnight train
Oh, Lord, steady rocking on the midnight train
To Zion, to Zion
Steady rocking on the midnight train
Steady rocking on the midnight train
Oh, Lord, steady rocking on the midnight train
To Zion, to Zion
Inakubidi uachage na Ujinga..! Inaonesha hata nyimbo hukuielewa.
Sasa tuambie ni dini ipi wewe unaitetea.. Au we ndo Freemason mwenyewe unakuja kujitangaza huku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sio suzana ni wafuasi wanaomshabikia . Suzana is there as a bait (Chambo)or trap.Kwa hiyo mkuu Suzanna ameenda kupanda midnight train?
Mkuu una hasira sana.Sio suzana ni wafuasi wanaomshabikia . Suzana is there as a bait (Chambo)or trap.
Wasani wote wa kidunia ni Chambo ya kuwakamata vijana ili watumie mda mchache kujadili mambo ya Mungu badala yake watumie mda mwingi kujadili Wema na Diamondi,Ali Kiba na Diamondi n.k mwisho unamuiga Diamondi tabia zake za umalaya, mavazi n.k. Ndio wengi hawajui habari za Mungu lakini wajua jana Diamondi Kalala wapi na mwanamke gani.Lakini ukimwambia kucheza kamali ni dhambi kijana hajui chochote kwa sababu ya ujinga wa maandiko
Tabia ya mtu ni matokeo ya kile anachokitazama na kukisikiliza. Jiulize ni watu gani waliowafundisha vijana kujichora tattoo km sio wanamziki. Biblia imekataza mwanadamu kujichora tattoo.
Usione mdada anatembea nusu uchi hayo ni matokeo ya kuangalia miziki ya kisasa na picha chafu. Hilo ndio treni la kuzimu. Halionekani kwa macho ya nyama bali ya rohoni
[emoji38][emoji38][emoji38] sipendi kuona mtu akitetea dhambi. Watu wengi waangamia kwa ujinga next time ntakuja na uzi asili ya neno Diamond Platinumz na jinsi alivyopewa.Mkuu una hasira sana.
Kunywa kikombe cha chai.
Komaa mkuu wataelewa tu.[emoji38][emoji38][emoji38] sipendi kuona mtu akitetea dhambi. Watu wengi waangamia kwa ujinga next time ntakuja na uzi asili ya neno Diamond Platinumz na jinsi alivyopewa.