Sauti Soul mmetisha

Sauti Soul mmetisha

Kibao murua kabisa kutoka kwa vijana.....ikumbukwe vijana siku hizi hawaimbi ujumbe kabisa....lakini wanasifiwa kweli
 
Nimesikiliza kibao kipya kutoka kwa sauti souls kinaitwa NEREA, aiseeh jamaa wanaweza, wimbo mzuri pia una ujumbe mzuri sana. Binafsi nimewakubali.

Jamaa wameimba kwa hisia sana, kazi nzuri sana BIG UP

Yes warumi mi kwa mara ya kwanza nmeusikiliza leo east africa radio mida ya asubuhi dah! Yan hayo mashair mpk ss hv bado najiulza hawa vjana huwa wanawaza nn, bonge ya idea yan!
 
Kibao murua kabisa kutoka kwa vijana.....ikumbukwe vijana siku hizi hawaimbi ujumbe kabisa....lakini wanasifiwa kweli

Umeona eeh? Halafu mtu anachukua tuzo mia kwa mpigo, nyimbo zenyewe upuuzi mtupu, ila hawa jamaa mmh!! Hii nyimbo yao inachoma sana, nadhani wakina dada watajifunza kitu

Naumia pale wanapoimba huwezi jua unaweza zaa baraka obama au lupita nyongo, yani dah inagusa sana kwa kweli, akina nerea wapo wengi sana apa mjini, hyo ndo dawa yao
 
Yes warumi mi kwa mara ya kwanza nmeusikiliza leo east africa radio mida ya asubuhi dah! Yan hayo mashair mpk ss hv bado najiulza hawa vjana huwa wanawaza nn, bonge ya idea yan!

Tukizungumzia ubunifu na usanii ndio huu sasa, wimbo unakuingia mpaka kwenye mishipa ya damu, dah wameimba kwa hisia sana, hii nyimbo itawafundisha wadada wengi kutokutoa mimba maana wanaweza kuua wakina baraka obama wajao au akina oprah, kazi nzuri sana
 
Ni kati ya wimbo wangu bora wa mwaka huu. Topped my list, sitarajii kama nitapata mwingne.

Big up SAUTI SOL
 
Ni kati ya wimbo wangu bora wa mwaka huu. Topped my list, sitarajii kama nitapata mwingne.

Big up SAUTI SOL

Kazi nzuri, ina inspire kwa kweli, nerea kama akitoa mimba kwa maneno aliyopewa basi atakuwa kiboko, a very compelling story
 
Back
Top Bottom