Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikiliza kibao kipya kutoka kwa sauti souls kinaitwa NEREA, aiseeh jamaa wanaweza, wimbo mzuri pia una ujumbe mzuri sana. Binafsi nimewakubali.
Jamaa wameimba kwa hisia sana, kazi nzuri sana BIG UP
Kibao murua kabisa kutoka kwa vijana.....ikumbukwe vijana siku hizi hawaimbi ujumbe kabisa....lakini wanasifiwa kweli
Yes warumi mi kwa mara ya kwanza nmeusikiliza leo east africa radio mida ya asubuhi dah! Yan hayo mashair mpk ss hv bado najiulza hawa vjana huwa wanawaza nn, bonge ya idea yan!