Sauti Soul mmetisha

Sauti Soul mmetisha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nimesikiliza kibao kipya kutoka kwa sauti souls kinaitwa NEREA, aiseeh jamaa wanaweza, wimbo mzuri pia una ujumbe mzuri sana. Binafsi nimewakubali.Jamaa wameimba kwa hisia sana.

Kazi nzuri sana BIG UP
 
mi hao jamaa toka wahusishwe na ushoga sijui nawaonaje

Wanakuja vizuri sana, hilo la ushoga sina comment.... wimbo bomba sana unaeleimisha na kuburudisha vibaya
 
kinomaaaa
lkn kwa kizaz hiki cha abortion......sijui!!!

Ahahah ahah, ngoma yao kali sana, ukipita sehemu ukasikia lazima usimame usikilize mashairi yaliyopangiliwa wenye ujumbe wenye kusisimua
 
Huo wimbo wadada wengi especially waliofanya abortion wanauchukia sana
 
Kwa sasa hapa East Africa hakuna kundi bora la muziki kuwashinda Sauti Sol
 
Ninayo audio hii version mpya ya Jamiiforums nashindwa ku-upload audio ngoja nijaribu PC
 
mi hao jamaa toka wahusishwe na ushoga sijui nawaonaje

Kwani zile taarifa si wazikanusha wenyewe!?au nimesahau!?halafu siku hizi wasanii hawa wakioneana kijicho tu wanazushiana ushoga kama wanavyomzushia KANYE WEST lengo lao linakuwa ni ili upoteze Confidence na upoteze mashabiki.

Kwa kenya hili kundi ndio linafanya mziki mzuri kuliko hata msanii mmoja mmoja.
 
Sio Kenya,kwa sasa East Africa yote hakuna wanaowafikia
 
Huo wimbo wadada wengi especially waliofanya abortion wanauchukia sana

Tukizungumzia kazi ya sanaa, hii ndio moja wapo, wimbo unaonya na kuikanya jamii kuhusu utoaji mimba, kama una historia hiyo lazima uichukie, lazima uumie, dah jamaa wanaweza sana, ivi vitu ndo tunavitaka sio ngololo kila siku, ata wakipata tuzo kweli tumeona kazi imegusa jamii kwa ujumla
 
Kwani zile taarifa si wazikanusha wenyewe!?au nimesahau!?halafu siku hizi wasanii hawa wakioneana kijicho tu wanazushiana ushoga kama wanavyomzushia KANYE WEST lengo lao linakuwa ni ili upoteze Confidence na upoteze mashabiki.

Kwa kenya hili kundi ndio linafanya mziki mzuri kuliko hata msanii mmoja mmoja.

Apa bongo hatunaga kabisa nyimbo za kuionya jamii na kuielimisha, kila siku wanawaimbia akina masogange tuu mxiuuu
 
Back
Top Bottom