Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Wale wengine wapo kutukana tu hadi wanatia kichefuchefu kila post zao matusi.Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.
Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.
Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini:
Mbowe ni mtu mwenye upeo mkubwa na mwanademokrasia wa kutukuka. Hotuba yake ni nzuri mno na tunapaswa kumuunga mkono.Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse.
Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa au vurugu.
Unaweza kumsikiliza mchambuzi mwenyewe hapa chini:
Hicho kichefuchefu tayar ni dalili ya mimba hiyo!!Wale wengine wapo kutukana tu hadi wanatia kichefuchefu kila post zao matusi.
Hotuba yake ni nzuri sanaMbowe ni mtu mwenye upeo mkubwa na mwanademokrasia wa kutukuka. Hotuba yake ni nzuri mno na tunapaswa kumuunga mkono.