totolito
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 708
- 431
Jambazi nae anajuaga nyimbo au aina za bastora[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu ni wimbo mbaya mbaya kuwahi kuimbwa ndani ya karne ya 21, pamoja na kuwa sijau skiliza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambazi nae anajuaga nyimbo au aina za bastora[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu ni wimbo mbaya mbaya kuwahi kuimbwa ndani ya karne ya 21, pamoja na kuwa sijau skiliza!
HahahahaJambazi nae anajuaga nyimbo au aina za bastora[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kijana anastahili PONGEZI..!
Anajua nyimbo vibaya sana eti mbaya kimbia fasta hospitali ukatibiweJambazi nae anajuaga nyimbo au aina za bastora[emoji1] [emoji1] [emoji1]
zauti zote zinasikika ndo kinachowachanganya watu wote wamerecord verse moja kama kwaya kwa pamojAnamaanisha kuwa sauti anayoimba Harmonize si yake, akiwa na maana kiuhalisia ameimba Diamond ila Harmonize kawekwa kama geresha tu. Isikilize vizuri ina make sense.
Kweli mkuu hata mie baada ya kusikiliza sauti ni ya harmonize.Jamani wabongo acheni chuki mbna sauti ni ya harmonize hebu sikiliza ya kwenye vionjo vya indeeeeee moni yani ni harmonize halafu jamani achani ushabiki mavi
Sema sasa tukija kwenye video duh huyu harmonize kacopy sana swagga za bosi wake mpka mapozz
Mkuu wale madancers hata mm wamenikosha hasa wale wa kikeKwakweli huu wimbo mkali sana napenda style za kudance za wale ma dancer. Japo sauti ka ya daimond kwa mbali ila still unaskia kuwa huyu ni harmonize ila hamonize mimi sijawahi penda kuimba kwakwe ila humu you killed it.
Dully we nyoko
Kwa hiyo na wewe umesikiliza Huo wimbo na UKASIKIA KABISA ILE NI SAUTI YA DIAMOND, Kama umeona sio sauti ya diamond basi ndo maana mtoa mada tunamuona haterWCB inabidi muelewe watu wakiwakosoa sio mara zote wanakua haters hasa kwa suala kama hili la Harmo, huyu bwana anachofanya kinamsaidia kwa sasa kipindi ambacho diamond yupo kwenye chat ya juu, but diamond akishadrop automatically na Harmo atakua amedrop vibaya sana maana mashabiki watakapokua wameuchoka mziki wa diamond hawatakua na haja ya kuusikiliza miziki wa Harmo maana ndo kitu kilekile. Sisi mashabiki tunachotaka diamond akidrop awepo mtu ndani ya WCB wa kuongoza jahazi. Huwezi kujitetea kwa kusema mbona flani anafanya hivi kwa hiyo mtu fulani akiwa mwizi na wewe utahalalisha kua mwizi
Teh teh..Bro unaishi K/koo shimoni nn?