Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Tatizo la kuzamia nchi za watu kwa miaka kibao.. Angalia sasa Harmonize humjui... In short dai hana sauti hata moja hapo.
 
Kwani walikuwa wanashindana!!!!
Kwani wimbo ni wa nani si Dully Sykes!!!!
 
Anamaanisha kuwa sauti anayoimba Harmonize si yake, akiwa na maana kiuhalisia ameimba Diamond ila Harmonize kawekwa kama geresha tu. Isikilize vizuri ina make sense.
zauti zote zinasikika ndo kinachowachanganya watu wote wamerecord verse moja kama kwaya kwa pamoj
 
Jamani wabongo acheni chuki mbna sauti ni ya harmonize hebu sikiliza ya kwenye vionjo vya indeeeeee moni yani ni harmonize halafu jamani achani ushabiki mavi
Sema sasa tukija kwenye video duh huyu harmonize kacopy sana swagga za bosi wake mpka mapozz
Kweli mkuu hata mie baada ya kusikiliza sauti ni ya harmonize.
 
WCB inabidi muelewe watu wakiwakosoa sio mara zote wanakua haters hasa kwa suala kama hili la Harmo, huyu bwana anachofanya kinamsaidia kwa sasa kipindi ambacho diamond yupo kwenye chat ya juu, but diamond akishadrop automatically na Harmo atakua amedrop vibaya sana maana mashabiki watakapokua wameuchoka mziki wa diamond hawatakua na haja ya kuusikiliza miziki wa Harmo maana ndo kitu kilekile. Sisi mashabiki tunachotaka diamond akidrop awepo mtu ndani ya WCB wa kuongoza jahazi. Huwezi kujitetea kwa kusema mbona flani anafanya hivi kwa hiyo mtu fulani akiwa mwizi na wewe utahalalisha kua mwizi
 
Kwakweli huu wimbo mkali sana napenda style za kudance za wale ma dancer. Japo sauti ka ya daimond kwa mbali ila still unaskia kuwa huyu ni harmonize ila hamonize mimi sijawahi penda kuimba kwakwe ila humu you killed it.
Dully we nyoko
 
kusema kweli...sauti mwanzo mwisho ni harmonize mwenyewe km unamjua vizuri hamomize na sauti yake..hakuna sehemu diamond kaimba humo..ila kweny video appearance ya hamonize na movements zake ni diamomd mt
upu...so he must change to be himself with his own charac
ter! japo namkubali saana huyu dogo miongoni mwa Makinda ya mondi.
 
Kama kuiga sauti ndo kirahisi hivyo mbona wengine hawaigi wakatoka???

By the way sijaisikia sauti ya Diamond mle labda thibitisha!
 
unataka kusema aliyeimba ni diamond na sio harmonize? sidhani coz sauti zinafanana lakini zina tofauti yake.halafu kwa nn umeogopa kusema wewe ni team kiba? maana umeongea vitu vingine ambavyo inaonekana vilikuuma kipindi cha nyuma.kuna mengi umeyaacha,nwakubali wote ila naamini diamond yupo juu.ila sioni point yoyote yenye ukweli kwenye uzi wako,naona kama una jazba tuu.
 
Kwakweli huu wimbo mkali sana napenda style za kudance za wale ma dancer. Japo sauti ka ya daimond kwa mbali ila still unaskia kuwa huyu ni harmonize ila hamonize mimi sijawahi penda kuimba kwakwe ila humu you killed it.
Dully we nyoko
Mkuu wale madancers hata mm wamenikosha hasa wale wa kike
 
Ni kawaida kwenye lebel wasanii kufanana kwasababu ya kuwa Karibu muda wote japo hawa wanaelekea kuwa sawa jst bcoz mmoja ni rolemodel wa mwingine lakin utofauti wao upo kwnye wimbo wa harmonize ft diamond #bado! Binafsi namkubali Dully sykes wa zamani kuliko wa sasa coz kwa ukongwe alionao hapaswi kuwa na flow za ki_underground kuna vimaneno na melody fulani hivi Anatumiaga Dully nadhani haviendani na ukongwe wake kwenye game
 
WCB inabidi muelewe watu wakiwakosoa sio mara zote wanakua haters hasa kwa suala kama hili la Harmo, huyu bwana anachofanya kinamsaidia kwa sasa kipindi ambacho diamond yupo kwenye chat ya juu, but diamond akishadrop automatically na Harmo atakua amedrop vibaya sana maana mashabiki watakapokua wameuchoka mziki wa diamond hawatakua na haja ya kuusikiliza miziki wa Harmo maana ndo kitu kilekile. Sisi mashabiki tunachotaka diamond akidrop awepo mtu ndani ya WCB wa kuongoza jahazi. Huwezi kujitetea kwa kusema mbona flani anafanya hivi kwa hiyo mtu fulani akiwa mwizi na wewe utahalalisha kua mwizi
Kwa hiyo na wewe umesikiliza Huo wimbo na UKASIKIA KABISA ILE NI SAUTI YA DIAMOND, Kama umeona sio sauti ya diamond basi ndo maana mtoa mada tunamuona hater
 
Teh teh..Bro unaishi K/koo shimoni nn?

Dah mkuu, huku niliko bora K/Koo shimoni.

Ila ngoma nimeisikia vizuri mara kadhaa sijasikia sauti ya Diamond, sema dogo kaicopi vizuri sauti ya kaka yake!
 
mwe! sasa lawama zote kwa mondi? kwani yeye ndo alimtuma shemeji yangu "mayonaizi" amuige? tushishirki wivu jamani.
 
Back
Top Bottom