Barikiwa na Bwana Mtumishi wa MunguSAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI!
Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu.
Pamoja na mambo mengine, nilikemea vitisho dhidi ya Waalimu nchini kote kuhusiana na utashi wao wa kisiasa hasa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hivi karibuni, imeibuka tabia kwa baadhi ya watendaji wanaosimamia Waalimu kuwatisha Waalimu wanaoonyesha hisia zao za kisiasa kwa vyama vya upinzani.
Tuwaache Waalimu wawe huru kuonyesha hisia zao za kisiasa wawapo nje ya kazi au majukumu yao na tusiwalazimishe kukipenda na kukitumikia chama kimoja tu! Kuwafuatilia Waalimu kwa lengo la kudhibiti utashi wao wa kisiasa wawapo nje ya mazingira ya kazi au majukumu yao sio jambo zuri na ni kufinya haki yao ya kujumuika (freedom of association). Waalimu ni sehemu ya utashi wa kimaadili katika jamii, hivyo wasikubali kujazwa hofu na watendaji wachache wenye maslahi ya kisiasa ambao wanatumikia nafasi za uteuzi.
Kama Askofu nimesikia manung'uniko ya Waalimu walio wengi wanaoishi kwa hofu sehemu nyingi nchini baada ya kutishwa ili wasishabikie vyama vingine, bali washabikie chama kimoja tu! Tunawatahadharisha walio na mamlaka juu ya Waalimu kuacha kuwatisha Waalimu wanaoamua kushabikia vyama tofauti na kile kinachoshabikiwa na watendaji walio na mamlaka juu ya Waalimu hao kwani hakuna chama cho chote cha siasa kilichopewa haki ya kuwamiliki Waalimu! Tuepuke kujenga chuki za kiitikadi kwa Waalimu kwa misingi ya kiitikadi kwa kuwa Waalimu pindi wakifikia kikomo cha uvumilivu hakuna atakayeweza kuwanyamazisha! Tukumbuke kuwa, Mungu alimtumia mwalimu katika kuikomboa nchi hii.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Walimu tuna letu tar 28 octWalimu msiwe wanyonge Sana na ninyi. Mbona mnaburuzwa? Tarehe 28/10/2020 chagueni Uhuru, haki na Maendeleo.
Wandhani kwa kufanya hivyo ndio watapata kira za walimu?? Walimu wana jambo laoWalimu tuna jambo letu tarehe28.
Baba Askofu, asante sana. Ujumbe murua kabisa huu umefika. Tatizo ni sikio la kufa halina dawa. Watawala wataweka pamba masikioni mwao. Nawe Baba Askofu utapata musukosuko mingi. Hatimaye sikio litakufa na utawala dhalimu kudondoka kama si uchaguzi huu, ni uchaguzi ujao.SAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI!
Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu.
Pamoja na mambo mengine, nilikemea vitisho dhidi ya Waalimu nchini kote kuhusiana na utashi wao wa kisiasa hasa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hivi karibuni, imeibuka tabia kwa baadhi ya watendaji wanaosimamia Waalimu kuwatisha Waalimu wanaoonyesha hisia zao za kisiasa kwa vyama vya upinzani.
Tuwaache Waalimu wawe huru kuonyesha hisia zao za kisiasa wawapo nje ya kazi au majukumu yao na tusiwalazimishe kukipenda na kukitumikia chama kimoja tu! Kuwafuatilia Waalimu kwa lengo la kudhibiti utashi wao wa kisiasa wawapo nje ya mazingira ya kazi au majukumu yao sio jambo zuri na ni kufinya haki yao ya kujumuika (freedom of association). Waalimu ni sehemu ya utashi wa kimaadili katika jamii, hivyo wasikubali kujazwa hofu na watendaji wachache wenye maslahi ya kisiasa ambao wanatumikia nafasi za uteuzi.
Kama Askofu nimesikia manung'uniko ya Waalimu walio wengi wanaoishi kwa hofu sehemu nyingi nchini baada ya kutishwa ili wasishabikie vyama vingine, bali washabikie chama kimoja tu! Tunawatahadharisha walio na mamlaka juu ya Waalimu kuacha kuwatisha Waalimu wanaoamua kushabikia vyama tofauti na kile kinachoshabikiwa na watendaji walio na mamlaka juu ya Waalimu hao kwani hakuna chama cho chote cha siasa kilichopewa haki ya kuwamiliki Waalimu! Tuepuke kujenga chuki za kiitikadi kwa Waalimu kwa misingi ya kiitikadi kwa kuwa Waalimu pindi wakifikia kikomo cha uvumilivu hakuna atakayeweza kuwanyamazisha! Tukumbuke kuwa, Mungu alimtumia mwalimu katika kuikomboa nchi hii.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Achana na stori za vijiweni.
Nenda kwa maaskofu na mashekhe ubwabwa kule ccm utawakuta.
Ndugu yangu, hapo tatizo ni wewe.
Ni kweli kabisa wanatutisha na tuonaonyesha utii machoni ila moyoni hakuna wa kututisha 28.10 tuenda kumuonjesha bosi wao ladha ya kutumbuliwaSAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI!
Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu.
Pamoja na mambo mengine, nilikemea vitisho dhidi ya Waalimu nchini kote kuhusiana na utashi wao wa kisiasa hasa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hivi karibuni, imeibuka tabia kwa baadhi ya watendaji wanaosimamia Waalimu kuwatisha Waalimu wanaoonyesha hisia zao za kisiasa kwa vyama vya upinzani.
Tuwaache Waalimu wawe huru kuonyesha hisia zao za kisiasa wawapo nje ya kazi au majukumu yao na tusiwalazimishe kukipenda na kukitumikia chama kimoja tu! Kuwafuatilia Waalimu kwa lengo la kudhibiti utashi wao wa kisiasa wawapo nje ya mazingira ya kazi au majukumu yao sio jambo zuri na ni kufinya haki yao ya kujumuika (freedom of association). Waalimu ni sehemu ya utashi wa kimaadili katika jamii, hivyo wasikubali kujazwa hofu na watendaji wachache wenye maslahi ya kisiasa ambao wanatumikia nafasi za uteuzi.
Kama Askofu nimesikia manung'uniko ya Waalimu walio wengi wanaoishi kwa hofu sehemu nyingi nchini baada ya kutishwa ili wasishabikie vyama vingine, bali washabikie chama kimoja tu! Tunawatahadharisha walio na mamlaka juu ya Waalimu kuacha kuwatisha Waalimu wanaoamua kushabikia vyama tofauti na kile kinachoshabikiwa na watendaji walio na mamlaka juu ya Waalimu hao kwani hakuna chama cho chote cha siasa kilichopewa haki ya kuwamiliki Waalimu! Tuepuke kujenga chuki za kiitikadi kwa Waalimu kwa misingi ya kiitikadi kwa kuwa Waalimu pindi wakifikia kikomo cha uvumilivu hakuna atakayeweza kuwanyamazisha! Tukumbuke kuwa, Mungu alimtumia mwalimu katika kuikomboa nchi hii.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Tatizo ni wewe.Baalam alishia kuwa muhanga wa vita, na vita viko options 2 yaani vya baridi na moto wafikishie ujumbe wajitafakari.
Ni kweli kabisa wanatutisha na tuonaonyesha utii machoni ila moyoni hakuna wa kututisha 28.10 tuenda kumuonjesha bosi wao ladha ya kutumbuliwa
Walimu kuburuzwa Sasa basi.Walimu tuna jambo letu tarehe28.
SASA kwa nini mnalazimisha watumishi kuwa wanaccm kama wapiga kura ni million 27?Hata haya unayo ya sema yangekuwa ni kweli, namba ya walimu ni ngapi ukilinganisha na Wapiga kura 27M?
Uonevu na kutojiamini.SASA kwa nini mnalazimisha watumishi kuwa wanaccm kama wapiga kura ni million 27?
Pia hofu kwani wanauhakika wa kushindwa😂😂😂😂Uonevu na kutojiamini.
SASA kwa nini mnalazimisha watumishi kuwa wanaccm kama wapiga kura ni million 27?