Sauti ya Haki ya Askofu yafika Njombe na kukemea vitisho dhidi ya walimu nchini

Sauti ya Haki ya Askofu yafika Njombe na kukemea vitisho dhidi ya walimu nchini

Tunapo elekea siku za mwisho mwisho kabla ya kufikia kilele 28/10 CCM na serikali mchukue tahadhari silaha ya kutumia hofu itaendelezwa kwa mbinu nyingi sana na hawa maadui wa ndani na nje ya Taifa la Tanzania. Kuweni makini na imara msiyumbishwe Ni propoganda za elimu na taaluma inayoitwa lie packages , the psycological warfare know how. Hakikisheni hampoteani na be focused. JPM na kuaminia, jemedari mahiri.
Hao wasipoteane Mara ngapi,walisha poteana zamani,wao wasubiri wanachostahili,hivi karibuni.
 
Hao wasipoteane Mara ngapi,walisha poteana zamani,wao wasubiri wanachostahili,hivi karibuni.

Hapa umerusha kombora la hii silaha niliyo itaja, ingini yake ni uongo ambao umeusema hapa. Mpiganaji wa upande wa maadui wa Taifa. Engini room hujaa watu kuratibu utendaji wake. Ukitoa kakifaa kadogo tu kama fuse ingini huzima.
 
Unauliza maswali ya kijinga sana we DAS wa ...... unaonyesha jinsi akili ya ndogo kama ya bosi wako

Makazi yako mengi CCM hakuna tatizo na JPM katua ahidi. Na jana hapo Mwl Nyerere Conference kasema we are very rich×3. Ruksa kwa viongozi wakuu kufanya biashara halali kwa uwazi si tutabia twa kujificha. Baada ya uchaguzi ni matumaini yangiu sheria zitakerebishwa kuendana na hili. Lakini sera ya mapesa ya Cheyo imegusiwa. Shaka ya nini tena, UDas, Udc, URc, Ubunge dirisha dogo, kujazwa mapesa yote haya yako CCM chini ya JPM, unakosa kosaje kwa mfano.
 
Makazi yako mengi CCM hakuna tatizo na JPM katua ahidi. Na jana hapo Mwl Nyerere Conference kasema we are very rich×3. Ruksa kwa viongozi wakuu kufanya biashara halali kwa uwazi si tutabia twa kujificha. Baada ya uchaguzi ni matumaini yangiu sheria zitakerebishwa kuendana na hili. Lakini sera ya mapesa ya Cheyo imegusiwa. Shaka ya nini tena, UDas, Udc, URc, Ubunge dirisha dogo, kujazwa mapesa yote haya yako CCM chini ya JPM, unakosa kosaje kwa mfano.
Kazi ambazo mwanaume unajipendekeza mpaka unauzalilisha UBINADAMU wako? We kweli ccm
 
SAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI!

Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu.

Pamoja na mambo mengine, nilikemea vitisho dhidi ya Waalimu nchini kote kuhusiana na utashi wao wa kisiasa hasa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hivi karibuni, imeibuka tabia kwa baadhi ya watendaji wanaosimamia Waalimu kuwatisha Waalimu wanaoonyesha hisia zao za kisiasa kwa vyama vya upinzani.

Tuwaache Waalimu wawe huru kuonyesha hisia zao za kisiasa wawapo nje ya kazi au majukumu yao na tusiwalazimishe kukipenda na kukitumikia chama kimoja tu! Kuwafuatilia Waalimu kwa lengo la kudhibiti utashi wao wa kisiasa wawapo nje ya mazingira ya kazi au majukumu yao sio jambo zuri na ni kufinya haki yao ya kujumuika (freedom of association). Waalimu ni sehemu ya utashi wa kimaadili katika jamii, hivyo wasikubali kujazwa hofu na watendaji wachache wenye maslahi ya kisiasa ambao wanatumikia nafasi za uteuzi.

Kama Askofu nimesikia manung'uniko ya Waalimu walio wengi wanaoishi kwa hofu sehemu nyingi nchini baada ya kutishwa ili wasishabikie vyama vingine, bali washabikie chama kimoja tu! Tunawatahadharisha walio na mamlaka juu ya Waalimu kuacha kuwatisha Waalimu wanaoamua kushabikia vyama tofauti na kile kinachoshabikiwa na watendaji walio na mamlaka juu ya Waalimu hao kwani hakuna chama cho chote cha siasa kilichopewa haki ya kuwamiliki Waalimu! Tuepuke kujenga chuki za kiitikadi kwa Waalimu kwa misingi ya kiitikadi kwa kuwa Waalimu pindi wakifikia kikomo cha uvumilivu hakuna atakayeweza kuwanyamazisha! Tukumbuke kuwa, Mungu alimtumia mwalimu katika kuikomboa nchi hii.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Yaani mkiwa na kiongozi kichaa anazalisha vichaa wengine ngazi za chini yake .
IMG_20201005_182732.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nasikia Kuna baadhi ya Mikoa maafisa Elimu kuanzia leo wanafanya sensa kujua maeneo na Vituo ambapo Walimu wamejiandikisha kupiga kura Hili linatakiwa kufuatiliwa kwa ukaribu zaidi.Kweli CCM YA MAGUFULI MAJI YAMEFIKA SHINGONI WALIMU WOTE walishabadilika toka Magu alipoacha kuwawekea incriment,na kuwapandisha madaraja. Wamesalia Walimu wachache Sana wasiojielewa Wala kujitambua.
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele. You are the next victim, bitch.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ulitumia vibaya kwani? Ndio washauri wa Lissu nyie kutaka atumie fursa ya Robertison kunajisi Taifa la Tanzania na kizazi chake, keshashindwa.
 
kwani walimuni wafanyakazi wa serikali, ccm au watumishi wa umma
ni wakati gani mwalimu anakuwa mfanyakazi wa serikali na wakati gani anakuwa mtumishiwa umma
 
Back
Top Bottom