SoC04 SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania

Tanzania Tuitakayo competition threads

Abdul Said Naumanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
673
Reaction score
1,318
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama Clubhouse na kuzimika kwa intaneti hasa kipindi cha uchaguzi ni uvunjifu wa haki ya uhuru wa kushirikiana na wengine, kama inavyoelezwa katika Ibara ya 20(1) ya Katiba.
Screenshot_20240523-012715.jpg

Chanzo: Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Katika andiko hili nitajadili umuhimu wa uhuru huu, changamoto zilizopo, na mapendekezo kuelekea kufikia Tanzania tuitakayo.

SURA YA SASA YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
images (76).jpeg

Chanzo: HakiPensheni

Uhuru wa vyombo vya habari ni kiashiria muhimu cha afya ya demokrasia ya nchi. Ingawa uhuru huu unaimarika kwa kiasi fulani, bado kuna changamoto za kisheria na kisiasa zinazokandamiza vyombo vya habari. Sheria kama vile Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya 2016 na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya 2015 zinadhibiti maudhui na kutoa adhabu kwa waandishi wa habari. Hali hii imeibua hofu miongoni mwa waandishi na kudhoofisha uhuru wa kujieleza nchini.
Changamoto:
  • Sheria Kandamizi: Sheria zinazoweka vikwazo vikali kwa vyombo vya habari, kama vile Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, zinanyima uhuru wa vyombo vya habari. Sheria hizi zinawapa mamlaka makubwa wadhibiti wa habari, hivyo kupunguza uwezo wa vyombo vya habari kufanya kazi kwa uhuru.​

View: https://youtu.be/i3MvNuldq48?si=I-7OXUHyhfhSKhHm
Chanzo: Swahili Buzz
  • Udhibiti wa Serikali: Kwa miaka kadhaa, kumekuwa na udhibiti wa serikali kwa kufungia vyombo vya habari vinavyokosoa maovu ya serikali, hivyo kudidimiza uhuru wa vyombo vya habari.Kulingana na utafiti wa Twaweza mwaka 2016, zaidi ya asilimia 50 ya wananchi wanaunga mkono uhuru wa vyombo vya habari bila kuingiliwa na serikali, huku asilimia 75 wakisema vyombo vya habari vinaweza kuiwajibisha serikali.​
IMG_20240523_203010.jpg

Chanzo: Twaweza.org
  • Ukosefu wa Usalama kwa Waandishi: Waandishi wa habari wanakabiliwa na vitisho na vurugu hata wanapokuwa kazini. Mara nyingi vitendo hivi hufanywa na vyombo vya usalama, hali inayoleta hofu na kuzorotesha juhudi za wanahabari katika kutekeleza majukumu yao kwa uhuru na ufanisi.​

View: https://youtu.be/z0j4VBvhxcU?si=1ZRcbgSswL6Htazc
Chanzo:WateteziTv

View: https://youtu.be/g2MWSXLcegI?si=DtrSZGmKDolrkZB_

Chanzo: JamiiForums

UHURU WA MTANDAO NA CHANGAMOTO ZAKE

Mtandao umekuwa uwanja mpya wa mapambano ya uhuru wa kujieleza. Kwa upande mmoja, mtandao unatoa fursa kubwa kwa Watanzania kujifunza, kuburudika, na kushiriki katika uchumi wa kidijitali. Hata hivyo, upande wa pili wa sarafu unajitokeza na changamoto kadhaa. Sheria kama vile Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015 na Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2020 zinatumika kudhibiti maudhui na kufuatilia mawasiliano ya mtandaoni. Hatua hizi zinaweza kusababisha kizuizi au udhibiti wa uhuru wa kujieleza, kinyume na ibara ya 18(a) ya katiba.
IMG_20240523_113450.jpg

Chanzo: Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Changamoto:
  • Sheria za Mtandao: Sheria zinazodhibiti maudhui na mawasiliano ya mtandaoni ni moja ya changamoto kubwa katika uhuru wa kimtandao nchini Tanzania. Mfano, kanuni ya 16 ya Kanuni za Maudhui Mtandao inaweza kutumika kuzuia au kudhibiti maudhui yenye maslahi kwa umma, hivyo kuingilia uhuru wa kimtandao.​

View: https://www.instagram.com/reel/C7R8AOkMVZQ/
Chanzo: Malisa gj Via Instagram
  • Udhibiti wa Serikali: Kumekuwa na hali ya mtandao kuzimika, hasa wakati wa kipindi cha uchaguzi, kitu ambacho kimepelekea kuvunjwa kwa haki ya kutafuta na kupokea habari, kufanya mawasiliano, pamoja na kupata taarifa, kama ilivyoainishwa katika ibara ya 18(b)(c) na (d) ya katiba. Aidha, udhibiti wa serikali katika upatikanaji wa mtandao na baadhi ya mitandao ya kijamii na tovuti imekuwa changamoto kubwa katika uhuru wa kimtandao nchini Tanzania.​
IMG-20240501-WA0015.jpg

Chanzo: JamiiForums
  • Ulinzi wa Data: Natambua uwepo wa sheria mpya na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi hapa nchini, lakini bado ukosefu wa ulinzi wa data binafsi za Watanzania mtandaoni ni changamoto kubwa. Hii ni kutokana na uelewa mdogo wa sheria hii mpya kwa wananchi wa Tanzania, ambao mara nyingi hawafahamu haki zao za faragha mtandaoni na jinsi ya kuzilinda.​
MAPENDEKEZO YA KUELEKEA TANZANIA TUITAKAYO
1. Kwa Vyombo vya Habari:
  • Kurekebisha Sheria Kandamizi: Ni muhimu kufanyia marekebisho au hata kufuta kabisa sheria zinazokandamiza uhuru wa vyombo vya habari ili kuhakikisha kuwa wanaweza kutekeleza majukumu yao kwa uhuru na bila hofu.​
  • Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari: Serikali inapaswa kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vina uhuru wa kufanya kazi zao bila kuingiliwa na vyombo vya kiserikali au wafadhili wengine.​
  • Kulinda Waandishi: Ni muhimu kuanzisha mifumo ya kisheria na kijamii inayolenga kulinda waandishi wa habari kutokana na vitisho, unyanyasaji, au hata mashambulizi. Hii inaweza kujumuisha kuweka mikakati ya kutoa ulinzi wa kisheria kwa waandishi na kuhakikisha adhabu kali kwa wale wanaowadhuru.​
2. Katika Mtandao:
  • Kupitia Upya Sheria za Mtandao: Ni muhimu kupitia upya na kufanyia marekebisho sheria za mtandao kama vile Sheria ya Makosa ya Mtandao ili ziendane na haki za msingi za binadamu. Kuna haja ya kuanzisha Sheria ya Ulinzi wa Kimtandao (Cybersecurity Act) ili kuwalinda wananchi wa Tanzania dhidi ya vitisho vya kimtandao na kuhakikisha uhuru wa kimtandao unaimarishwa.​
  • Kuimarisha Ulinzi wa taarifa: Ingawa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilianzishwa mwaka 2022, bado kuna haja ya kuimarisha sheria hii kwa kurekebisha baadhi ya vifungu ambavyo vinaweza kukiuka faragha na taarifa binafsi za watu. Mfano, vifungu kama 42(1)(c)(d)(e) (3) na (4) vinaipa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi mamlaka ya kuingilia faragha na taarifa binafsi za watu, hivyo kukiuka ibara ya 16 ya katiba.
  • Kuhamasisha Ubunifu na Uchumi wa Kidijitali: Serikali inapaswa kutoa mazingira wezeshi kwa ubunifu na uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha kuwa miundombinu dhabiti inawekwa ili kusaidia upatikanaji wa huduma za mtandao kwa urahisi na nafuu. Hii itawawezesha wananchi kufaidika na teknolojia na kuchangia katika ubunifu na ukuaji wa uchumi wa kidijitali​
HITIMISHO
#TanzaniaTuitakayo ni ile inayoheshimu na kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza na upatikanaji wa habari. Serikali na wananchi tunawajibika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na mtandao. Kwa juhudi za pamoja, tunaweza kufikia Tanzania inayothamini uhuru wa vyombo vya habari na mtandao, Tanzania ambayo kila mwananchi ataweza kujivunia na kuona fahari kuwa sehemu yake. Hii ndiyo Tanzania tuitakayo kufikia maendeleo endelevu na demokrasia ya kweli kwa manufaa ya umma.
 
Upvote 190
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (nayo ipigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama Clubhouse
bora umegusia swala la internet kuzimika jamani ikanera mno
 
Swala la mtandao limekuwa changamoto kweli hasa kipindi cha uchaguzi, natumai kupitia andiko hili serikali itatambua kero zetu na kulifanyia kazi
 
MWANZO
Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama Clubhouse na kuzimika kwa intaneti hasa kipindi cha uchaguzi ni uvunjifu wa haki ya uhuru wa kushirikiana na wengine, kama inavyoelezwa katika Ibara ya 20(1) ya Katiba.
View attachment 2997671
Chanzo: Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Katika andiko hili nitajadili umuhimu wa uhuru huu, changamoto zilizopo, na mapendekezo kuelekea kufikia Tanzania tuitakayo.

SURA YA SASA YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
View attachment 2997674
Chanzo: HakiPensheni

Uhuru wa vyombo vya habari ni kiashiria muhimu cha afya ya demokrasia ya nchi. Ingawa uhuru huu unaimarika kwa kiasi fulani, bado kuna changamoto za kisheria na kisiasa zinazokandamiza vyombo vya habari. Sheria kama vile Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya 2016 na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya 2015 zinadhibiti maudhui na kutoa adhabu kwa waandishi wa habari. Hali hii imeibua hofu miongoni mwa waandishi na kudhoofisha uhuru wa kujieleza nchini.
Changamoto:
  • Sheria Kandamizi: Sheria zinazoweka vikwazo vikali kwa vyombo vya habari, kama vile Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, zinanyima uhuru wa vyombo vya habari. Sheria hizi zinawapa mamlaka makubwa wadhibiti wa habari, hivyo kupunguza uwezo wa vyombo vya habari kufanya kazi kwa uhuru.​

View: https://youtu.be/i3MvNuldq48?si=I-7OXUHyhfhSKhHm
Chanzo: Swahili Buzz
  • Udhibiti wa Serikali: Kwa miaka kadhaa, kumekuwa na udhibiti wa serikali kwa kufungia vyombo vya habari vinavyokosoa maovu ya serikali, kudidimiza uhuru wa vyombo vya habari. Kulingana na utafiti wa Twaweza mwaka 2016, zaidi ya asilimia 50 ya wananchi wanaunga mkono uhuru wa vyombo vya habari bila kuingiliwa na serikali, huku asilimia 75 wakisema vyombo vya habari vinaweza kuiwajibisha serikali.​
View attachment 2997691
Chanzo: Twaweza.org
  • Ukosefu wa Usalama kwa Waandishi: Waandishi wa habari wanakabiliwa na vitisho na vurugu hata wanapokuwa kazini. Mara nyingi vitendo hivi hufanywa na vyombo vya usalama, hali inayoleta hofu na kuzorotesha juhudi za wanahabari katika kutekeleza majukumu yao kwa uhuru na ufanisi.​

View: https://youtu.be/z0j4VBvhxcU?si=1ZRcbgSswL6Htazc
Chanzo:WateteziTv

View: https://youtu.be/g2MWSXLcegI?si=DtrSZGmKDolrkZB_

Chanzo: JamiiForums

UHURU WA MTANDAO NA CHANGAMOTO ZAKE

Mtandao umekuwa uwanja mpya wa mapambano ya uhuru wa kujieleza. Kwa upande mmoja, mtandao unatoa fursa kubwa kwa Watanzania kujifunza, kuburudika, na kushiriki katika uchumi wa kidijitali. Hata hivyo, upande wa pili wa sarafu unajitokeza na changamoto kadhaa. Sheria kama vile Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka 2015 na Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2020 zinatumika kudhibiti maudhui na kufuatilia mawasiliano ya mtandaoni. Hatua hizi zinaweza kusababisha kizuizi au udhibiti wa uhuru wa kujieleza, kinyume na ibara ya 18(a) ya katiba.
View attachment 2997695

  • Sheria za Mtandao: Sheria zinazodhibiti maudhui na mawasiliano ya mtandaoni ni moja ya changamoto kubwa katika uhuru wa kimtandao nchini Tanzania. Mfano, kanuni ya 16 ya Kanuni za Maudhui Mtandao kinaweza kutumika kuzuia au kudhibiti maudhui yenye maslahi kwa umma, hivyo kuingilia uhuru wa kimtandao.​

View: https://www.instagram.com/reel/C7R8AOkMVZQ/
Chanzo: Malisa gj Via Instagram
  • Udhibiti wa Serikali: Kumekuwa na hali ya mtandao kuzimika, hasa wakati wa kipindi cha uchaguzi, ambacho kimepelekea kuvunjwa kwa haki ya kutafuta na kupokea habari, kufanya mawasiliano, pamoja na kupata taarifa, kama ilivyoainishwa katika ibara ya 18(b)(c) na (d) ya katiba. Aidha, udhibiti wa serikali katika upatikanaji wa mtandao na baadhi ya mitandao ya kijamii na tovuti imekuwa changamoto kubwa katika uhuru wa kimtandao nchini Tanzania.​
View attachment 2997696
Chanzo: JamiiForums
  • Ulinzi wa Data: Natambua uwepo wa sheria mpya na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi hapa nchini, lakini bado ukosefu wa ulinzi wa data binafsi za Watanzania mtandaoni ni changamoto kubwa. Hii ni kutokana na uelewa mdogo wa sheria hii mpya kwa wananchi wa Tanzania, ambao mara nyingi hawafahamu haki zao za faragha mtandaoni na jinsi ya kuzilinda.​
MAPENDEKEZO YA KUELEKEA TANZANIA TUITAKAYO
1. Kwa Vyombo vya Habari:
  • Kurekebisha Sheria Kandamizi: Ni muhimu kufanyia marekebisho au hata kufuta kabisa sheria zinazokandamiza uhuru wa vyombo vya habari ili kuhakikisha kuwa wanaweza kutekeleza majukumu yao kwa uhuru na bila hofu.​
  • Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari: Serikali inapaswa kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vina uhuru wa kufanya kazi zao bila kuingiliwa na vyombo vya kiserikali au wafadhili wengine.​
  • Kulinda Waandishi: Ni muhimu kuanzisha mifumo ya kisheria na kijamii inayolenga kulinda waandishi wa habari kutokana na vitisho, unyanyasaji, au hata mashambulizi. Hii inaweza kujumuisha kuweka mikakati ya kutoa ulinzi wa kisheria kwa waandishi na kuhakikisha adhabu kali kwa wale wanaowadhuru.​
2. Katika Mtandao:
  • Kupitia Upya Sheria za Mtandao: Ni muhimu kupitia upya na kufanyia marekebisho sheria za mtandao kama vile Sheria ya Makosa ya Mtandao ili ziendane na haki za msingi za binadamu. Kuna haja ya kuanzisha Sheria ya Ulinzi wa Kimtandao (Cybersecurity Act) ili kuwalinda wananchi wa Tanzania dhidi ya vitisho vya kimtandao na kuhakikisha uhuru wa kimtandao unaimarishwa.​
  • Kuimarisha Ulinzi wa taarifa: Ingawa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilianzishwa mwaka 2022, bado kuna haja ya kuimarisha sheria hii kwa kurekebisha baadhi ya vifungu ambavyo vinaweza kukiuka faragha na taarifa binafsi za watu. Mfano, vifungu kama 42(1)(c)(d)(e) (3) na (4) vinaipa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi mamlaka ya kuingilia faragha na taarifa binafsi za watu, hivyo kukiuka ibara ya 16 ya katiba.
  • Kuhamasisha Ubunifu na Uchumi wa Kidijitali: Serikali inapaswa kutoa mazingira wezeshi kwa ubunifu na uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha kuwa miundombinu dhabiti inawekwa ili kusaidia upatikanaji wa huduma za mtandao kwa urahisi na nafuu. Hii itawawezesha wananchi kufaidika na teknolojia na kuchangia katika ubunifu na ukuaji wa uchumi wa kidijitali​
HITIMISHO
#TanzaniaTuitakayo ni ile inayoheshimu na kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza na upatikanaji wa habari. Serikali na wananchi tunawajibika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na mtandao. Kwa juhudi za pamoja, tunaweza kufikia Tanzania inayothamini uhuru wa vyombo vya habari na mtandao, Tanzania ambayo kila mwananchi ataweza kujivunia na kuona fahari kuwa sehemu yake. Hii ndiyo Tanzania tuitakayo kufikia maendeleo endelevu na demokrasia ya kweli kwa manufaa ya um

Hii ni kubwa sana kaka👍
 
🔥🔥🔥
 
This is big brother
 
Swala la mtandao limekuwa changamoto kweli hasa kipindi cha uchaguzi, natumai kupitia andiko hili serikali itatambua kero zetu na kulifanyia kazi
Hili limekua kero kweli kwa muda, ila nadhani serikali ya awamu ya sita haito rudia mambo haya.​
 
This is great in deed👏👏
 
😂😂Kwamba hadi la nyaya za baharini tuseme ni mtandao ulizimwa? Sina uhakika, lakini sidhani.​
We unaijua vizuri serikali ya CCM? hakuna fitna hawaweza fanya mzee ngoja uone kama aijafika kipindi cha uchaguzi wakazima mtandao tena, alafu waje wasingizie tena baharini ili watu waone ni tatizo la kawaida cz limeshatokea hata kabla.
 
🤔sema nalo neno, ila bado nina imani hayo mambo hayatojitokeza 2025. Na kana yakijitokeza nadhani inaweza kuwa mwanzo wa mmbo mengine ya ajabu.

Unaweza pitia Thread 'Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu'

IMG_20240524_134115.jpg
 
Back
Top Bottom