Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi kimeondoa utata uliokuwepo na Sasa ni huyu ni Mtanzania anayekerwa na namna serikali inavyoendeshwa.
Lakini pia ni mtu mwenye uelewa mkubwa kulingana na mchango wake kwenye hoja, ni muda Sasa wa serikali kuacha kutumia fedha kumtafuta mtu ambaye kumbe ni Mtanzania na maleengo yake yapo wazi kwamba nimkosoaji wa mambo ya ovyo.
Chakufanya nikujitahidi iwezekanavyo kuchukua positive comments zake na kupuuza negative comments zake.
Aliwahi kuandika kwamba ugomvi wake na dhalimu mwendazake ná Serikali yake haramu ni kuhusu nyumba yake ya thamani kubwa iliyokumbwa na Bomoa Bomoa ya kidikteta.
Aliwahi kuandika kwamba ugomvi wake na dhalimu mwendazake ná Serikali yake haramu ni kuhusu nyumba yake ya thamani kubwa iliyokumbwa na Bomoa Bomoa ya kidikteta.