Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi kimeondoa utata uliokuwepo na Sasa ni huyu ni Mtanzania anayekerwa na namna serikali inavyoendeshwa
Inawezekana jamaa haishi Tanzania. Ile sauti inavyosikika vizuri, kama anafanya kazi serikalini anaofanya nao kazi rahisi kumfahamu
 
Kigogo atakuwa ni Kiranga bila shaka maana jamaa akili zao zinafanana. (high level)

Kusema ni lichalamila acha kumpaisha yule mhehe hana akili nyingi kiasi hicho.
 
Kama ana lafudhi ya Iringa basi atakuwa ni Mzee Mgaya bila shaka! Kwa jina lingine hujiita johnthebaptist!

Huyu Mzee naye ni akili kubwa sana 🥵 na anatuwakilisha vizuri sana sisi wakazi wa Nyanda za Juu Kusini humu JF na pia huko Twitter akitumia hilo jina la kigogo
 
Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi kimeondoa utata uliokuwepo na Sasa ni huyu ni Mtanzania anayekerwa na namna serikali inavyoendeshwa.

Lakini pia ni mtu mwenye uelewa mkubwa kulingana na mchango wake kwenye hoja, ni muda Sasa wa serikali kuacha kutumia fedha kumtafuta mtu ambaye kumbe ni Mtanzania na maleengo yake yapo wazi kwamba nimkosoaji wa mambo ya ovyo.

Chakufanya nikujitahidi iwezekanavyo kuchukua positive comments zake na kupuuza negative comments zake.

Anaongea lafudhi ya Chalamila[emoji3][emoji3]
Ile siyo voice yake anatumia filter unazani limbukeni aongee na voice yake? Anatumia app za kubadilisha sauti
 
Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi kimeondoa utata uliokuwepo na Sasa ni huyu ni Mtanzania anayekerwa na namna serikali inavyoendeshwa.

Lakini pia ni mtu mwenye uelewa mkubwa kulingana na mchango wake kwenye hoja, ni muda Sasa wa serikali kuacha kutumia fedha kumtafuta mtu ambaye kumbe ni Mtanzania na maleengo yake yapo wazi kwamba nimkosoaji wa mambo ya ovyo.

Chakufanya nikujitahidi iwezekanavyo kuchukua positive comments zake na kupuuza negative comments zake.

Anaongea lafudhi ya Chalamila[emoji3][emoji3]
Ila sidhani huyo aliyeongea ndio anaye twiti. Yule wa twita uandishi wake na huyo aliyeongea ni kariba tofauti kabisa. Sauti inaonesha ni mtu mzima lakini yule wa twita ni mid 40s tena inaonesha ni born town si huyo aliyeongea.

All in all ameongea facts tupu! Kuna ukichaa tunahitaji kukomboa hili Taifa.
 
Back
Top Bottom