Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Yote Tisa, tunataka Ridhiwani Kikwete akamatwe kwa uuzaji wake madawa ya kulevya akitumia wadhifa wa baba yake. Hakuna kumlinda na ikiwezekana hata baba yake pia akamatwe ahukumiwe kifungo si chini ya miaka 20 kwa kuliingizia hasara taifa letu kwenda kumtoa mwanawe China asinyongwe.
 
Kwa mtazamo wangu ninavyofahamu ni kuwa, Kigogo ni unanimous social media platform account, kuna utitiri wa watu (tena wengi hata hawafahamiani) wanaopewa access na moderator wa hiyo account kuandika na kuongea on behalf. Ni ngumu kumjua core owner ni nani na hata ukimjua haitakuwa na mantiki sana maana kuna unanimous wengi ndani ya akaunti moja.
Jamani, Mmiliki wa Account ya Kigogo ni Dk. Shika, full stop.
Dk. Shika.jpg

dk-shika-na-mdhamini.jpg
 
Kwa mtazamo wangu ninavyofahamu ni kuwa, Kigogo ni unanimous social media platform account, kuna utitiri wa watu (tena wengi hata hawafahamiani) wanaopewa access na moderator wa hiyo account kuandika na kuongea on behalf. Ni ngumu kumjua core owner ni nani na hata ukimjua haitakuwa na mantiki sana maana kuna unanimous wengi ndani ya akaunti moja.
Server yao ipo wapi ???
 
Back
Top Bottom