wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hata wakimkamata hutu maria bado sana kumjua hiyo kigogo maana maria anaweza muuliza kigogo swali (kwa humo aliko)kwenye kujibu maria akarecod na baada ya mahojiano ndio anarushia sasa hapo utajuaje kama ilikuwa live kumbe ni recoded.watahangaika vipi wakati maria aliyewaunganisha na anayemhoji yupo hapahapa bongo, wamuulize tu maria atawaonyesha alikuwa anaongea na mtu gani huyo anayetema nyongo namna hiyo? very simple. au labda kama maria anaogopwa.
Nina uhakika hata huyo maria sijui shangazi hata wao hawamjui huyo kigogo ni mazoea tuu wamekutana kwenye mtandao huko wakakutana itikadi zao zinaendana basi