Sauti ya Mungu inazidi kutikisa na kutetemesha kambi za shetani

Sauti ya Mungu inazidi kutikisa na kutetemesha kambi za shetani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki?

Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
1748446788300.jpg
 
Maria Sarungi kachelewesha mgao, kuanzia kesho na Anza mgomo wa kupost hapa JF. Wewe umepata zako?
 
leo naona hakuna polisi,, imekuwaje Mshana Jr wako vichochoroni pamoja na kunyimwa uwanja lakini watu wamewafuata walipo. Ishara ya Mungu kwa na chadema
Hahahaha😂😂😂😂✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿💢
 
Back
Top Bottom