Sauti ya umauti masikioni mwangu

Sauti ya umauti masikioni mwangu

Hakuna kaz ya kutumia nguvu nitashindwa labda nguvu zangu ziwe ndogo sawa na ukubwa wa kazi. Shida ni kuwa nitatumia muda gan kulipa deni. Isingekuwa deni mbona easy ningechoma ata mahindi. Mkuu,
kwa hiyo ukiendelea kukaa ndo utapata hela ya kulipa deni?
 
muombe aliekukopesha asimamishe riba... mwambie hali yako harisi... mkuu nayahisi maumivu yako... 😭😭😭​
Mkuu, nashukuru kwa yako idea. Nilishawaza hivo pia na nitafanya hivo nione mapokeo yake. Ila nawaza litanichukua muda gan had kuisha. Je nitakuwa mtu wa namna gan sasa miaka inaenda mm sifanyi cha maana! Anyway nitajaribu hii huenda ikawa afadhar
 
Habari ya usiku wana jf!

Leo ninayofuraha kuweka bando kwenye simu yangu baada ya siku nyingi bila kuweka bando!

Kwanini hiyo heading! Ipo hivi, mm kijana wa miaka 28.6, lakini nipo kama mtu mzima wa miaka 40. Sijaoa wala sina mtoto. Maisha nayoyaishi hiki kipindi sidhani kama Mungu ndiye aliyepanga niyaishi. Naishi maisha ya ovyo sanaa. Nimelelewa na mama tu na ndiye aliyenipambania hadi kupata haka kaelimu ka ovyo ambako hakana msaada na mm kabisa.

Ipo hivi, mwaka huu tangu uanze sina hamu nao tena maana ulikaribishwa kwa majanga ya kuanza kumwuguza mama yangu. Toka mwezi wa 11 hadi huu mwez wa tatu ndo bi mkubwa amerudishwa nyumbani. Nimempambania ili nisije kubaki na uchungu hapa duniani kama mama angefariki. Ningejiona sina maana kabisa ukizingatia mama aliza vitu vyake vyote ili anisomeshe mm akiamini nikipata ajira nitamtunza. Marehemu hasemwi vibaya ila utawala wa mwamba umeniharibia future yangu kwa 100%.

Tuachane huyo marehemu na utawala wake,. Baada ya mama kulazwa ilibidi nitoe hela yangu yote hadi hela iliyokuwa kwenye biashara nikatoa yote. Haikutosha ikabidi nianze kukopa hela kwa wakopeshaji wa mitaani maana walikuwa wananiamin kuwa nitawalipa maana nilikuwa nafanya biashara na wao wanaona. Nimeingiza deni kubwa sana saiz linasoma milion 6. Mimi sina ata mia mbovu, yan ata cha kuuza. Uwanja nilishauza muda. Sasa jana nimeambiwa na mmoja wa watu niliowakopa akaniambia "nitakudai kwa namna nyingine" hii kauli imenitisha sanaa, niliwaza nitakamatwa na police ila nahisi hapana ni uchawi utatumika na jana usiku nimelala vibaya sijui n wenge sijui ndo simu ya kifo yenyewe hiyo nilipigiwa ndotoni!

Mwisho mm nina amani kuona nimemsaidia bi mkubwa. Lakini pia nina huzuni maana nahisi nakufa muda wowote na nawaza mama atasikiaje habari ya mimi kufa, nawaza mchumba niliyekaa nae miaka mitatu akinisubiri nimuoe atasikiaje habari ya mm kufariki. Kiufupi hicho ndo kinanitisha. Lakini acha iwe hivo tu maana sina uwezo wa kulipa hizo hela mm.

Makala ni ndefu poleni ila nawaomba tuwapende mama zetu, usimtendee baya mama yeyote huendi ndiye mama yangu ambaye nitamwacha pekee yake hapa duniani bila uwepo wangu. Upendo ni amri kuu ya Mungu!
Piga simu kwa Pastor Dominic Nabii Koboko ya Wachawi pale Buza Kwa Kulenge matatizo yako yanaisha in few minutes.
 
Mkuu, nashukuru kwa yako idea. Nilishawaza hivo pia na nitafanya hivo nione mapokeo yake. Ila nawaza litanichukua muda gan had kuisha. Je nitakuwa mtu wa namna gan sasa miaka inaenda mm sifanyi cha maana! Anyway nitajaribu hii huenda ikawa afadhar
mwenyezi Mungu akupe matumaini, akuondolee moyo wa kukata tamaa... 😭😭😭 kweli maisha hayakupi unacho kitaka 😭
 
Habari ya usiku wana jf!

Leo ninayofuraha kuweka bando kwenye simu yangu baada ya siku nyingi bila kuweka bando!

Kwanini hiyo heading! Ipo hivi, mm kijana wa miaka 28.6, lakini nipo kama mtu mzima wa miaka 40. Sijaoa wala sina mtoto. Maisha nayoyaishi hiki kipindi sidhani kama Mungu ndiye aliyepanga niyaishi. Naishi maisha ya ovyo sanaa. Nimelelewa na mama tu na ndiye aliyenipambania hadi kupata haka kaelimu ka ovyo ambako hakana msaada na mm kabisa.

Ipo hivi, mwaka huu tangu uanze sina hamu nao tena maana ulikaribishwa kwa majanga ya kuanza kumwuguza mama yangu. Toka mwezi wa 11 hadi huu mwez wa tatu ndo bi mkubwa amerudishwa nyumbani. Nimempambania ili nisije kubaki na uchungu hapa duniani kama mama angefariki. Ningejiona sina maana kabisa ukizingatia mama aliza vitu vyake vyote ili anisomeshe mm akiamini nikipata ajira nitamtunza. Marehemu hasemwi vibaya ila utawala wa mwamba umeniharibia future yangu kwa 100%.

Tuachane huyo marehemu na utawala wake,. Baada ya mama kulazwa ilibidi nitoe hela yangu yote hadi hela iliyokuwa kwenye biashara nikatoa yote. Haikutosha ikabidi nianze kukopa hela kwa wakopeshaji wa mitaani maana walikuwa wananiamin kuwa nitawalipa maana nilikuwa nafanya biashara na wao wanaona. Nimeingiza deni kubwa sana saiz linasoma milion 6. Mimi sina ata mia mbovu, yan ata cha kuuza. Uwanja nilishauza muda. Sasa jana nimeambiwa na mmoja wa watu niliowakopa akaniambia "nitakudai kwa namna nyingine" hii kauli imenitisha sanaa, niliwaza nitakamatwa na police ila nahisi hapana ni uchawi utatumika na jana usiku nimelala vibaya sijui n wenge sijui ndo simu ya kifo yenyewe hiyo nilipigiwa ndotoni!

Mwisho mm nina amani kuona nimemsaidia bi mkubwa. Lakini pia nina huzuni maana nahisi nakufa muda wowote na nawaza mama atasikiaje habari ya mimi kufa, nawaza mchumba niliyekaa nae miaka mitatu akinisubiri nimuoe atasikiaje habari ya mm kufariki. Kiufupi hicho ndo kinanitisha. Lakini acha iwe hivo tu maana sina uwezo wa kulipa hizo hela mm.

Makala ni ndefu poleni ila nawaomba tuwapende mama zetu, usimtendee baya mama yeyote huendi ndiye mama yangu ambaye nitamwacha pekee yake hapa duniani bila uwepo wangu. Upendo ni amri kuu ya Mungu!
😆😆😆😆Uyo mwamba Kisha kuweka kwenye line yake jiandae kupigwa radi mchana kweupe
 
Asante mkuu, ila huyo Mungu ndiye aliyenipitisha njia ya namna hii mkuu.
Mungu hakupi jaribu usilo limudu,ni vile tu watu hatusemi shida zetu,Usikengeuke.Wew ni kijana jasiri wengine wangeishia kukopa na kuhonga wanawake.Ila wewe umefanya hivyo kwa mama.
Fikiria mama atabaki na hali gani? Wew ndio nguzo yake.

Amini ipo siku mtakaa na kusimulia nyakati ngumu mlizopita mama yako akiwa na wajukuu zake.

Munguakutie nguvi kijana mwenzangu
 
Em komaa bhana...acha hizo jamani
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???
 
At your age 28 yrs tayari umeanza kukata tamaa.

Ukiwa unahitaji msaada wa kubadilisha mtazamo mindset naomba unitafute .
 
Back
Top Bottom