Sauti ya umauti masikioni mwangu

Pole mkuu! Nimeamini sisi binadamu tunapitia meng sana. Ukimtazama mtu usoni n kama yuko poa, kumbe yuko hoi, na anayeonekana anashida fulani kumbe ndiye afadhari hana shida kubwa. Shida zetu zingekuwa zinaonekana laivu au zinabebwa kama gunia la mahindi, bc wengine hapa tungekuwa hatuwezi kuzibeba.
 
N hatr aiseeh yaan ukiambiwa mtu kufikia hatua y kufa ndo Ile nilikuwa nmefikia Mimi. Hii Dunia Ina mengi sana
 
Ni panic tu elimu kama aikuletei ugali ni sawa kuita ni ya ovyo.
Hila kwenye elimu akuna uovyo wa milele kuna siku itakuletea ugali na uovyo ndo utabadilikia hapo
Umeelezea vzr mkuu nashukuru. Ulielewa nini nilichomanisha kusema "elimu ya ovyo"
 
usjali bro,,,MUNGU yupo atakusaidia!!!!! sali sana utaishinda ROHO YA MAUTI"..........kama muislam mtafute sheikh atakusaidia,,kama mkristo mtafute mchungaji atakusaidia,,,,,usikate tamaa kabisa!!
 
usjali bro,,,MUNGU yupo atakusaidia!!!!! sali sana utaishinda ROHO YA MAUTI"..........kama muislam mtafute sheikh atakusaidia,,kama mkristo mtafute mchungaji atakusaidia,,,,,usikate tamaa kabisa!!
Asante Mkuu. Nam saiz nimeamua nitaishi . Hakika sitafariki. NITAISHI
 
Hii post imenipa picha Halisi jinsi Hili jukwaa lilivyojaa watu wabinafsi na Wasiojali Lolote kuhusu wengine.

Mtu anacomment utani na mzaha amekaa yuko baa anaendelea na Bia ya 12.. Ivi ukifia hapo utasema ni mapenzi ya nani? Sijui hii Jamii inakoelekea ila Kwa picha hii Mbele ni Giza Totoro.

N wale wanaopigia chapuo mifumo ya Kueneza ubinafsi wanazidi kujiona washindi.

Badilikeni kungali mapema. Bei na thamani ya Binadamu iko kwa kwa kuwajali wengine.

Usipozingatia hilo huna tofauti na mbwa anaepita hapo jalalani.
 
Umewaza mbali mkuu. Mm nilizipuuza maana naishi na huu msemo wa "Huwezi kuujua uchungu wa msiba ukiwa kwa jirani yako, mpaka ukufike miguuni kwako". Ukiufahamu vzr huu msemo hutahangaika kuhusu binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…