Sauti ya Wananchi inapogeuka kuwa Dhoruba

Pole sana ndugu,so unafikir nami nilishika bunduki na kuwaua ndugu zangu watanzania au ni mtoa maamuzi wa operation zilizo fanyika?

Tupo hapa kuzuia umwagaji damu mwingine usitokee kwa kuwaelimisha vijana wasitumiwe kwa manufaa ya wachache wenye agenda zao
Nimesoma maandiko yako, upo sana kutetea uovu uliofanywa na hao washenzi, huwezi kuwalaumu waathiriwa. You blame the victims, they had no guns. Unahalalisha uovu wako na serikali yako na waasi wachache waliofanya fujo kuchoma magari. Udhaifu wa polisi na jeshi hapo ndipo ulipojidhirisha, wamenunua vifaa vingi vya kuzuia uasi kama magari ya washa washa, mabmu ya machozi etc, lakini wao ni silaha moja tuu wanayojua kutumia, bunduki Fyatua ua. Very unprofessional. Wamekalia siasa hata taaluma yao hawajui.
Umewahi kuona maandamano ya SA yanavyothibitiwa?

Eti Simba Jike anauliza: Ni nguvu gani ndogo tungeitumia kuzuia yale maandamano? Kweli hajui jibu lake?
Jibu ni kua, watu hawakupendi, achia ngazi. Huwezi kutawala watu ambao hawakupendi, watu ambao hawajakuchagua. almost 99% ya waTanzania hawampendi.

Sasa wewe unalaumu victims
 
Haya ndio makosa makubwa mnayofanya katika kuleta mabadiliko,kwa kauli yako unaiambia Serikali kwamba mkishika silaha mtakinukisha,halafu kesho kutwa mnataka mruhusiwe kuandamana

Vijana hamko tayar kwa mabadiliko,mnagubikwa na hasira na kushindwa kuona ipi ni njia sahihi ya kuchukua

kwa akili hizi na mawazo haya ya fujo na hasira bado sana kufikia lengo lenu
Kwasababu mtutu wa bunduki ndio unaotumika kuiweka hii serekali madarakani. Tunajua kwa njia ya kura halali ccm haiwezi kushinda. Ili matakwa yetu wananchi yaweze kufikiwa, hatuna budi na sisi kuwa na silaha ili kujilinda. Umepewa kazi ngumu mno ya kuja kutulisha amani ya shuruti.
 
Nimesoma maandiko yako, upo sana kutetea uovu uliofanywa na hao washenzi, huwezi kuwalaumu waathiriwa. You blame the victims, they had no guns. Unahalalisha uovu wako na serikali yako na waasi wachache waliofanya fujo kuchoma magari. Udhaifu wa polisi na jeshi hapo ndipo ulipojidhirisha, wamenunua vifaa vingi vya kuzuia uasi kama magari ya washa washa, mabmu ya machozi etc, lakini wao ni silaha moja tuu wanayojua kutumia, bunduki Fyatua ua. Very unprofessional. Wamekalia siasa hata taaluma yao hawajui.
Umewahi kuona maandamano ya SA yanavyothibitiwa?

Eti Simba Jike anauliza: Ni nguvu gani ndogo tungeitumia kuzuia yale maandamano? Kweli hajui jibu lake?
Jibu ni kua, watu hawakupendi, achia ngazi. Huwezi kutawala watu ambao hawakupendi, watu ambao hawajakuchagua. almost 99% ya waTanzania hawampendi.

Sasa wewe unalaumu victims
Huyu jamaa ni kama amepewa kazi maalum ya hizi mada zake. Hayuko kujadiliana na kupima hoja, bali anasimamia alichochoagizwa. Anasema yuko hadi tarehe 31 december. Kwenye haya mabandiko yake kuna id nahisi ni yeye anaziendesha, zitakuwa zinakazia asemacho
 
Nimesoma maandiko yako, upo sana kutetea uovu uliofanywa na hao washenzi, huwezi kuwalaumu waathiriwa. You blame the victims, they had no guns. Unahalalisha uovu wako na serikali yako na waasi wachache waliofanya fujo kuchoma magari. Udhaifu wa polisi na jeshi hapo ndipo ulipojidhirisha, wamenunua vifaa vingi vya kuzuia uasi kama magari ya washa washa, mabmu ya machozi etc, lakini wao ni silaha moja tuu wanayojua kutumia, bunduki Fyatua ua. Very unprofessional. Wamekalia siasa hata taaluma yao hawajui.
Umewahi kuona maandamano ya SA yanavyothibitiwa?

Eti Simba Jike anauliza: Ni nguvu gani ndogo tungeitumia kuzuia yale maandamano? Kweli hajui jibu lake?
Jibu ni kua, watu hawakupendi, achia ngazi. Huwezi kutawala watu ambao hawakupendi, watu ambao hawajakuchagua. almost 99% ya waTanzania hawampendi.

Sasa wewe unalaumu victims
Interested Observer,

Una uwakika katika maandiko yangu ni mewalaumu victims au kuwasimanga kwa namna yoyote ile?

Au unanilisha maneno yako mdomoni mwangu

Mara zote na wenzangu tunalaumu kuwajaza vijana upepo na kwenda kuanzisha fujo au vurugu hali ya kuwa watu kama nyinyi mpo salama mitandaoni mna observe kila hatua inayoendelea

Hapa mnajionesha kwamba mna uchungu mkubwa vijana hawa,tunapojitokeza baadhi yetu na kuelimisha umuhimu wa kuepuka hatar ambayo inaweza kutokea tena,tunaonekana ni wabaya
 
Ni kweli ndio hulka ya wanadamu wanasahau haraka sana

Lakini jukumu letu ni kukumbushana umuhimu wa kuwa na jamii ambayo maelewano ndio msingi wa kutatua changamoto zetu

Huu ujumbe umfikie bi mkubwa wa Kizimkazi, hii nchi sasa iko kwenye mpasuko ambao si wa kupuuzwa lakini ego aliyonayo na kiburi chake hataki kusikia la mtu yeyote.
 
Interested Observer,

Una uwakika katika maandiko yangu ni mewalaumu victims au kuwasimanga kwa namna yoyote ile?

Au unanilisha maneno yako mdomoni mwangu

Mara zote na wenzangu tunalaumu kuwajaza vijana upepo na kwenda kuanzisha fujo au vurugu hali ya kuwa watu kama nyinyi mpo salama mitandaoni mna observe kila hatua inayoendelea

Hapa mnajionesha kwamba mna uchungu mkubwa vijana hawa,tunapojitokeza baadhi yetu na kuelimisha umuhimu wa kuepuka hatar ambayo inaweza kutokea tena,tunaonekana ni wabaya
Mambo haya hutokea baada ya watawala kuendelea kujisahau na wananchi vile vile kuchoka. Serikali ya CCM imekaa miaka 60 plus, maneno bila vitendo, corruption tangu ziku hizo, hadi leo. Baada ya kuchokwa sasa wanalazimisha. Angalia utekaji, angalia uwizi wa kura, wewe unafikiri kuna mtu atasukumwa na mtu kuandamana; weng walienda kwa hiari yao. Watu wamechoka, wnashindwa kusema kwa sababu wakisema wanatekwa wanauawa.

Juzi umetoa mfano wa kipumbavu sana, ati kama Abdul atamiliki Ndege au sijui atamiliki mali za nchi wewe huwezi kujali kwa sababu unachohitaji ni amani. Sawa kabisa kama Abdul atanunua ndege kwa pesa yake mwenyewe aliyoipata kwa jasho lake. Huwezi kuwa unawakata watu masikini kodi, wanakula mlo mmoja wakupe wewe tozo ufuje. Kuna atu wanasema huu ni wivu hapana, hizi ni mali ambazo zinabidi zituzwe. Dawa zinahitajika, mahospitali hayana madaktari kwa sababu ya ukosefu wa pesa. Fiscal discipline ni muhimu, kuiba pesa za nchi na kutumia binafsi ni wizi.
 
Nakubaliana na maoni yako juu hayo uliyasema,wala sina shida juu ya hilo

Ule mfano kwa mtazamo wa juu unaweza ona ni wa kipumbavu,lkn mantic yake ni kwamba mbele ya amani na material things,basi amani inakuja kwanza
 
Back
Top Bottom