Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata mimi nitashiriki.
Roho yangu huwa inauma sana ninapoona dhulma. Natamani none viongozi wanaostahili kuwepo wawe ni chaguo la wengi na sio huu uhuni unaofanyika.
Nipo tayari kuchangia mabadiliko
 
Tuwape ili mtusaidie nini?
Sisi tunawekeza kwenye maslahi ya taifa zima. Taifa liwe na mifumo imara ya kidemokrasia itakayotupatia viongozi bora, bunge bora, mahakama thabiti isiyoingiliwa na siasa uchwara za kukomoa watz wenzetu kwa sababu ya tofauti za kisiasa
 
ClubHouse ni kikundi cha watu wanaoishi nje ya nchi yetu kikiongozwa na Maria Sarungi kwa support ya vikundi fulani za wazungu wa ulaya ya magharibi kwa kwa malengo yao fulani yakiwemo ya kigaidi. ClubHouse haina usajili wa Tanzania. Hivyo pesa yo yote watakayoiingiza nchini kwetu itahesabika ni pesa chafu na ye yote atakayeipokea atashitakiwa kwa kosa la money laundering na ugaidi. Pesa ya kufanyia ukombzi wa nchi yetu maana yake ni pesa ya kufanyia uhaini na ugaidi. Nchi yetu ilishajikomboa mwaka 1961, huyo anayetaka kuikomboa tena ni mhaini kwa asilimia 100%. Cha mtema kuni atakipata.
 
Inapitishwa vipi iingie chamani?
 
Kila la heri
 
Tlaahtlaah na Mwashambwa wataficha wapi sura zao!
 
Hawa Sasa hivi wanajificha kwenye mashimo wakiogopa kukamatwa na TRUMP awaerudishe nchini. Hiyo bilioni watapatia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…